Mungu mkubwa japokuwa tuition yangu ni majumbani nawatembela watoto wa kishua hapa mtaani. Nilifanya savey mwezi wa 10 mwishoni hapa mtaani, kweli baada ya likizo nikapigiwa na wazazi wanne. So...
Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma.
Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba...
Labda kama ni kilimo cha kumpatia chakula chake tu. Lakini kama ni kilimo cha kumpatia hela, asahau "kutoboa" bila mtaji!
Kilimo kinajitaji hela! Kilimo kinahitaji uwe umejipanga! Vinginevyo...
Japo inasemekana hali ya usalama siyo nzuri sana Afrika Kusini, bado watu wanamiminika huko kila siku iitwayo leo!
Walipokamatwa Wasomalia waliokuwa wakipita Tanzania kinyemela, walisema wanaenda...
Bado napata meseji zao. Sielewi hizi namba wanazotumia kama zimesajiliwa kwa NIDA na alama za vidole wanapata wapi ujasiri wa kutapeli watu maana kuwakamata ni jambo rahisi. Mamlaka husika nataka...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na utendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akitoa maagizo uongozi wa kituo cha miito ya simu (call centre) ufumuliwe...
Marekani na nchi nyingi za Ulaya zimejuwa kama viranja kwa nchi masikini, hasa za Kiafrika. Lakini alau Misri na Afrika Kusini zipo vizuri kiuchumi.
Najua fedha huwa inaongeza heshima, na Misri &...
Kuwa na idadi kubwa ya wanaokushangilia kipindi ukiwa unaelekea kushinda hakumaanishi una marafiki wengi! Siku utakapoupoteza ushindi ndiyo utashangaa kuwa katika watu mia moja ulioamini ni...
MTOTO REGNALDO SAMWELI MSUYA MIAKA (16) anatafutwa, inadaiwa aliondoka nyumbani kwao 15/12/2024 hadi sasa hajulikani alipo.
Nyumbani kwao ni kinondoni mtaa mwananyamala kwa kopa, dar es salaam...
Nimepata kazi Dar es salaam maeneo ya temeke foma na kuna mtu kanitafutia chumba maeneo ya Tandika kaburi moja kwa Bakar Amadi
Lakini kabla ya kuhamia kama kuna wenyeji naomba mnipe ushauri,sifa...
Kwa waliosoma na kuelewa habari za Yesu watakubaliana nami yafuatayo:
Mosi, alikuwa maskini au lofa wa kawaida mwana wa seremala ambaye kama angerudi leo na kukuta wanaomhubiri na utajiri wao...
📖Mhadhara (65)✍️
Si kila mwanamke au mwanaume ambaye mtakuwa marafiki ni lazima utembee nae au awe mpenzi wako, utapoteza marafiki wengi wa faida kwasababu ya kutaka kuwa nao kwenye mahusiano ya...
Ikiwa ni siku moja baada ya ya Mkuu wa wilaya ya lindi Victoria mwanziva kuwataka madereva wanaoendesha magari ya abiria stendi kuu ya lindi wawe watulivu na kuendelea kufanya kazi zao za...
Habari wakuu, nataka kuleta historia fupi ya Familia yangu ila sipo vizuri kabisa kiuandishi ila mtanivumilia guys sijui hata sehemu ya kuweka aya ni wapi.
Mimi naitwa John (fake name) nimezaliwa...
Jamii za Kiafrika zilikuwa na mifumo iliyokuwepo ya utumwa, lakini mahitaji kutoka kwa wafanyabiashara wa Ulaya na Uarabuni yalibadilisha kwa kiasi kikubwa ukubwa na asili ya biashara hii...
Hii ni THE GIDEONS Edition 1980 Copyringht by Thomas Nelson Inc.
Kwenye kitabu hiki kitakatifu cha Mungu, Musa aliandika kama ninavyo nukuu.
"IN THE BEGINING GOD CREATED THE HEAVEN AND THE...
Jana usiku nilikua na drive nje ya mji...nikaona dot 2 zinawaka kwa mbele, hatimaye nikagundua ni fisi amechill pembeni ya barabara... TAPETUM LUCIDUM ni layer yenye asili ya mng'ao iliyopo nyuma...
Mtu mmoja alishawahi kuniambia kuwa alipokuwa akiishi Marekani yeye na familia yake alipokuwa masomoni, hakuwa akisumbuka kununua baadhi ya vitu vya ndani kama sofa, TV, n.k. Alichokuwa akifanya...
Wakuu salaam,
Nadhani sasa ifike mahali sisi wananchi tuache kudanganywa kwa ahadi hewa. Tumesha kuwa watu wazima sasa, sio watoto.
Huu mradi sote tulishuhudia utiaji saini wake na Mh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.