Rais Mwinyi ndani ya miaka 4 kaifanyia Zanzibar Mambo makubwa sana hasa ukizingatia uwezo wa kibajeti ni mdogo.
Mfano mdogo tu, ndani ya miaka yake yake 4, amejenga shule za ghorofa 34.
Kwahiyo idadi ni shule nyingi sana kwa Zanzibar Tena za ghorofa ikilinganishwa na haya mabanda yanayojengwa huku Tanganyika vyumba 6 tayari shule ya kata imekamilika. Mwinyi amejenga masoko ya kisasa, barabara zimepigwa lami anakaribia kumaliza Unguja yote ahamie Pemba. Hospitali za Wilaya za kisasa. Huko kwenye uchumi wa buluu anatoa vyombo vya kuvulia samaki na kujenga masoko ya samaki.
Sijataja uboreshaji wa viwanja vya ndege na bandari mpya zinazojengwa.
Juu ya yote hayo, ukipitia mitandao ya Wazanzibari unaona kabisa commenti hasi. Wengine wanaenda mbali zaidi wanamwita Babu wa mkuranga. Zanzibar imeongozwa na Marais wazawa miaka mingi lakini aliyefanya la maana sana ni Hayati Karume kwa kujenga maghorofa ya michenzani na micheweni kule Pemba na kuwapa wanachi bure. Hao wengine wote baada ya Karume Hakuna Cha maana kilichofanyika. Wazanzibari wanapaswa wamshikilie Mwinyi lakini wao wanamuona sio mzawa ni mtanganyika.
Hata Mwinyi akiwapa chakula bure bado tu watamuona huyu sio wetu ni mgeni huyu.