Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna dhana ipo katika watu wengi kuangaika kutuma maombi yao kwa Mungu (ulimwengu wa kiroho) ili kuweza kupata majibu ya maombi yao. Tatizo ni jinsi ya kutuma maombi. Shida kubwa kwa watu ipo...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Huku kwetu katika mitaa ya Manispaa ya Songea kuna wimbi la wizi wa Mita za Maji na kila aliyeibiwa anatakiwa kulipia Sh elfu 45 ili aweze kufungiwa mita nyingine. Tunajiuliza huu ni mchezo ambao...
1 Reactions
4 Replies
762 Views
Hivi karibuni watumishi katika idara mbalimbali wamekuwa wakipokea meseji kutoka NMB Benki zikiwataka kukopa hadi milioni 200 huku Benki ikijua kuwa watumishi hao hawakopesheki kutokana na mikopo...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
I WILL BE SHORT Wengi tunasubiria hii complex ifunguliwe , naona tarehe inasogea , it was december , naona now kimya ?? When are they planning on opening this complex ,watu tufungue biashara...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
JOHN Chibuga (31), mkazi wa Kijiji cha Bugolola wilayani Ukerewe, mkoani Mwanza, ambaye Desemba 9, mwaka jana aliachiliwa kwa msamaha wa Rais, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya...
7 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari wadau,iv iz elimu za kusoma nyota ,kuangalia kiganja cha mkono ni sahihi au ni za upande wa giza?maana wengine wanasema sio za giza ila unaweza kuzitumia vizuri,dhambi ni pale unapotumia...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Serikali au Wizara husika angazieni kwa kufuatilia uhujumu uchumi unaoendelea katika soko kubwa kabisa Tanzania la Kariakoo. Utaratibu ambao sio rasmi ila unafuatwa upo hivi, Kariakoo kwa mtu...
11 Reactions
22 Replies
3K Views
Baadhi ya Wananchi kijiji cha Kagunga Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi wamelalamika kufyekewa hekari 60 za mahindi jambo ambalo wamedai kuzorotesha ukuaji wa sekta kilimo na kujikwamua...
1 Reactions
1 Replies
420 Views
Naona bwana mkubwa Ulega anaendelea kujitengenezea mazingira ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Yani yupo tayari kusomesha wanafunzi. Haya tunasubiri tuone itakuwa mwendelezo au ndiyo lambisha...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Je, unajua kwamba karibu na Ziwa Eyasi nchini Tanzania, kuna kabila la kale la watu takriban 1,000 ambao ndio wawindaji wa mwisho waliosalia nchini? Wahadzabe wameishi maisha mengi kama...
2 Reactions
9 Replies
808 Views
Nyie haya mambo yakubeti mtu asije kusubutu kama anajua hela yake ni ya mawazo Jana ilikua nusu nife kwa presha kwasababu ya betting. Sikuhiyo nimekaa na mtu wangu waheshima kabisa...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect...
27 Reactions
137 Replies
7K Views
Anonymous
Eneo Mbutu limekuwa sehemu kuu ya kuchimbwa vifusi kwa ajili ya ujenzi mbalimbali. Hatari kuu kwa watumiaji wa barabara ni haya malori kujaza vifusi kupita kiasi kinachotakiwa na hakuna hatua...
0 Reactions
1 Replies
341 Views
Anonymous
Yaani kwa mwezi tunaweza kupata maji mara moja, na maji yenyewe yatatoka masaa mawili au chini ya hapo, na pressure inakuwa ndogo sana. Ukiwauliza watu wa DAWASA hawana majibu ya kueleweka...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Nimeambiwa unafokafoka hapa, unadhani we nani, ondoka hapa. Nimekwenda pale jana ikapimwa uziti Ile sanamu nikaambiwa nilipe Sh.100,000( laki moja). Sina laki moja, nikaanza kuondoka. Nikaambiwa...
3 Reactions
11 Replies
779 Views
Anonymous
Hii changamoto tulisha itolea taarifa kwa Viongozi wetu wa Serikali za Mtaa lakini hakuna mabadiliko yoyote, barabara hiyo iliyoharibiwa na mvua kubwa ya mwaka Jana (2024) na vipindi vingine tena...
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote unategemea upatikanaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu. Soma Pia: Dkt...
0 Reactions
3 Replies
338 Views
Wenye uzoefu tunaomba mwongozo Naona wako cheap January hii bima ya afya muhimu wadau Watoto wa kiume WA 2000 naomba msije hapa.
1 Reactions
8 Replies
559 Views
Hii imetangazwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka huyo Aretas Lyimo. Ilikuwa ni operesheni ya Dec. 2024,ambapo pia walinasa crystal meth 224 kg katika fukwe za Bahari ya Hindi Meth ni stimulant ya...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Back
Top Bottom