Habarini za muda huu wanajf kama caption inavojieleza, bodaboda wengi hasa hapa DSM ni mawakala wa usambazaji wa mirungi, cocaine, na bangi. Kwa utafiti wangu, nimegundua bodaboda sio bodaboda...
Unakuta kijana ana miaka 30+, ametumia miaka 28 au zaidi shuleni hadi kuhitimu shahada yake ya udaktari.
Anarudi nyumbani bila ajira. Hana mtaji na hana ujuzi zaidi ya alichosomea. Wazazi nao...
NURJEHAN ALIYEOONGOZA MITIHANI AKIWA NA PROF. SHIVJI MIAKA YA 1960s YU WAPI?
Jina la Nurjehan Walli limekuwa maarufu sana katika mitandao ya kijamii baada ya picha yake kuonekana akiwa na Issa...
👉Mimi hii ndo sababu iliyo fanya nikaacha kwenda kwenye kampeni na kuachana na mambo ya siasa🥶ni maigizo haswa ya kupretend kupata service kwenye local areas
👉Hebu tuambie nawewe nini huwa...
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 52 (jina limehifadhiwa) mkazi wa Bagamoyo mkoani Pwani, Januari 7, 2025 amefanyiwa upasuaji mkubwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala iliyopo Jijini...
Mimi ni dereva wilayani rombo imetokea kero ya askari polisi kitengo cha usalama barabarani kukamata madereva wasio na uhakiki wa leseni wanakamata gari wanapeleka kituoni kitu kinachosababisha...
Kuna situation zingine unaweza kuwa unazipitia mfano umeenda ukweni kwao na mke wako kuwasalimia kidogo au kula sikukuu harafu huko yupo mama mkwe pekee ake ama bahati mbaya au nzuri baba mkwe...
Yahusu: Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa
Habari,
Tunapenda kuwasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya maji machafu yaliyotapakaa barabarani katika eneo la Dodoma -...
Habari wana Jf
Nahtaji kubadilisha umiliki wa gari yangu toka kwa mhusika nilienunua toka kwake,tatizo lililopo ni kuwa sina kitambulisho cha yule alieniuzia(first owner),ila nina mkataba tu ambao...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wana JF.
Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema, wewe ambae unapitia changamoto moja au nyingine Mwenyezi Mungu akufanyie...
Jumla ya miradi ya maendeleo 84 inatekelezwa kwa ubia baina ya sekta binafsi na Serikali kupitia kituo cha ubia Kati ya Seikali na Sekta binafsi (PPPC) kikieleza miradi miwili ya Barabara za...
Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Sumbawanga unaondelea ukiwa umefikia asilimia 40.
Aidha Kasekenya amesema Ujenzi wa Uwanja huo...
Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa...
Habari wadau.
Leo majira ya Saa 8 mchana, nikiwa Maeneo ya Mlimani city napata mahitaji yangu Mara akatokea jamaa mmoja mwenye asili ya Asia, akiwa na kavaa nguo nyeusi juu mpaka chini na viatu...
Heri ya Mwaka Mpya Wana JF Wote!
Ninaomba msaada wa mawazo kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna mtu amenipa wazo la kufungua kiwanda kidogo cha juice na kuwa washirika wa biashara (business...
Fikiria ulimwengu ambao mkulima nchini Tanzania au Uganda anabashiri wakati mwafaka wa kupanda mazao yake, mwanafunzi nchini Kenya anapata elimu bora kupitia simu yake, na hospitali nchini Nigeria...
Habari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.
Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.
Pia, Sikumuomba anilete duniani...
Kitendo cha kuinuka na mabilion ya pesa kumpelekea mtu kwa Dunia hii leo iliyojaa uchu, tamaa, ufisadi, ujambazi, laana plus njaa ya kila namna na shida na mahangaiko ya kila namna na akazikataa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.