Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,411
- 27,776
Usije kufukuzia ID feki ukadhani ni pisi utakuja kujiona fala
Nawasanua usiku usiku wasije wakastukia
Wanawake wakali huwa wajifichi fichi,
Ukiona demu anakuzungusha zungusha na kuanza kujifanya mkali jua mbovu tena wa kutupwa
Kama mlishuhudia mkeka, mmejionea wenyewe, zile pisi kali wala hazina vibweka kabisa, ila haya mangijangija ndo masumbufu
Ama, kweli mtoto mkali hana nongwa kabisa, na yuko direct hata kama hakupendi atakukataa bila kukukwaza.
Nawasanua, moja ya redflag ni pisi kujifanya ina ego kubwa, ukishaona analeta miyeyusho na hakujibu comments zako, jua nilibovu hatari,
Pisi kali hazina nongwa na hazina trauma, haiwezi kukusumbua na kukujibu vibaya. Na itakua friendzone bila kukufanya ukiskie vibaya, ila haya mengine yanayojifanya sijui high class hayana jambo lolote.
Anyways asije kusema mtu nimemsema hapa, nilikuwa Nawasanua wana tu...
Weekend vibez, hakuna kulala.