Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wilayani Siha, Kata ya Endumeti Mkoani Kilimanjaro kuna rushwa kubwa na uhujumu uchumi katika Shamba la miti TFS West Kilimanjaro. Katika msitu wa hifadhi, kuna shughuli za kilimo cha mazao kama...
0 Reactions
1 Replies
151 Views
Magical power!!!! SEHEMU YA KWANZA Leo Nataka Nizungumzie Juu ya Dawa Za Meno katika sehemu ya Kwanza na sehemu ya Pili Nitazungumzia Miswaki ya Plastiki !!!. Ninashukuru Mimi Nimezaliwa katika...
9 Reactions
38 Replies
659 Views
Ule msemo wa wadhungu 'you are what you eat' ni kweli kabisa... muonekano na afya yako vinaendana na tabia zako za kula - espesheli aina ya vyakula unavokula. ukila haraka haraka bila kutafuna...
2 Reactions
33 Replies
304 Views
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unapenda kuwajulisha kuwa, leo tarehe 26 Agosti 2026 Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu - Natal...
0 Reactions
7 Replies
109 Views
Ni lini sisi CHADEMA hatukuwalalamikia CCM kwenda kinyume na katiba toka enzi na enzi na Nchimbi akiwepo? Wamepotezwa watu kibao, kina Saanane wamepotea ila Nchimbi ziiiiiii. Upinzani umetekwa...
3 Reactions
23 Replies
163 Views
Kwanza hushindi ofisini,muda mwingi unashinda kwa mfipa kunywa pombe na supu ya makongoro. Hapo ofisini kwako kila siku nyie mnasingizia hamna mtandao na wakati maeneo jirani kama Kinondoni na...
7 Reactions
37 Replies
421 Views
Ukimuuliza Atheist " Hicho kitanda ulicho lalia kimetengenezwa au kimetokea tu chenyewe? " . Atakujibu kimetengenezwa na mtu.". Haya sasa muulize " Huyo mtu alie tengeneza hicho kitanda unamjua au...
42 Reactions
601 Replies
5K Views
Je umewahi kumsikia mtu aliyepata ajali mbaya au moyo wake kusimama akiwa hospitalini, madaktari wakamtangaza amefariki, lakini baada ya dakika chache moyo ukaanza tena kudunda na akazinduka...
8 Reactions
65 Replies
757 Views
INTELLIGENCE vs KNOWLEDGE! (UFAHAMU DHIDI YA AKILI Ufahamu (au intelligence) ni kitu ambacho mtu au mnyama au kiumbe hai yeyote anazaliwa nacho, hafundishwi na yeyote. Intelligence ni tofauti na...
1 Reactions
3 Replies
143 Views
Tukiwa Sekondari enzi mitandao ya kijamii haijasambaa sana Wanafunzi Waislamu maustadh kutoka Dar walileta kwa ushupavu mkubwa shuleni story ya watoto waliobadilika na kuwa mijusi wakubwa au...
19 Reactions
73 Replies
580 Views
Wapashiwa ni kabila au jamii ambayo kwa sasa imekua sana. Miaka ya nyuma ilikuwa ni uchafu na laana kuwa Mpashiwa. Kwa sasa unakuta wanasiasa, wanamichezo, waigizaji, wanadini, wanamuziki, watu...
2 Reactions
12 Replies
135 Views
Kuna Madereva wa serikali wapo rafu sana barabarani. Hivi hakuna sheria ya kuwadhibiti ? Inatakiwa iwekwe sheria ya kuwajibishwa na askari wa barabarani/traffic police. Kama haujawahi kuendesha...
10 Reactions
31 Replies
234 Views
Wakati natafakari swala hili kwa kina hakika Mungu amenipa jibu lifuatalo. Utofauti wa rangi na nywele za wanadamu ulitokana na kuzaliana kwa wanadamu wa kwanza baada ya uumbaji. Biblia...
3 Reactions
37 Replies
266 Views
Kwa mujibu wa Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 50(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Rais anapojiuzulu na nafasi yake kuwa wazi, utaratibu wa kisheria wa...
3 Reactions
1 Replies
169 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana Kabla ya vurugu na mauaji ya Oktoba 2025, TCRA waliwahi kuchezea mifumo ya utendaji kazi pale ofisi zao kuu za Dar Es Salaam kisha nikawaandikia ujumbe huu wa barua pepe...
8 Reactions
37 Replies
841 Views
Kwamba wote walio jiuzulu ni product ya seminari? Najiuliza wangekuwa ndio kama akina sisi ambao hatukupita huko tungeweza kuwa na ujasiri huo?
1 Reactions
4 Replies
90 Views
✍️Kuna jambo moja ambalo vijana tunapaswa kujifunza kwa umakini sana katika safari ya uongozi si kila mtu anayetamani kuwa mkubwa ana uwezo wa kubeba ukubwa huo. Kuwa na ndoto kubwa ni jambo...
0 Reactions
0 Replies
19 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…