Once CCM always CCM, eti Nchimbi ni mwema!

Once CCM always CCM, eti Nchimbi ni mwema!

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
58,066
Reaction score
166,584
Ni lini sisi CHADEMA hatukuwalalamikia CCM kwenda kinyume na katiba toka enzi na enzi na Nchimbi akiwepo?

Wamepotezwa watu kibao, kina Saanane wamepotea ila Nchimbi ziiiiiii.

Upinzani umetekwa na upepo wa kipumbavu sana wa maslahi binafsi, na yenyewe kwa sababu ni viazi watupu yamejaa kama zuzu tu, gademitt yamejaa kwenye 18, takata kabisa, mchezo bado upo sisiem 🤔

Haya yanayofanyika ni kwamba maslahi binafsi tu yameshikwa, amkeni nyie vilaza, acheni kupelekwa pelekwa na matukio kama mwanasesere!

Note: Nimelewa mno hivyo unaweza nipuuzia tu mlevi mimi.
Cc. Bufa
 
1787747638825.png
 
Ni lini sisi cdm hatukuwa lalamikia sisiem na kwenda kinyume na katiba toka enzi na enzi na chimbilili akiwepo?


Wamepotezwa watu kibao ,kina ⌚ 8 wamepotea ila chimbilili ziiiiiii.


Upinzani umetekwa na upepo wa kipumbavu sana wa maslahi binafsi, na yenyewe kwa sababu ni viazi watupu yamejaa kama zuzu tu ,gademitt yamejaa kwenye 18, takata kabisa ,mchezo bado upo sisiem 🤔


Haya yanayofanyika ni kwamba maslai binafsi tu yameshikwa, amkeni nyie vilaza ,acheni kupelekwa pelekwa na matukio kama mwanasesere.


Note:nimelewa mno hivyo unaweza nipuuzia tu mlevi mimi.
Cc. Bufa
Endelea kulewa, ni wapi umesikia CHADEMA wamesema Nchimbi ni mwema?, hayo ya huko hayatuhusu tuko mahakamani sisi kufuatilia kesi, mambo ya kutoana maini watoane tu
 
Back
Top Bottom