Jeshi la polisi mkoani Iringa linamshikilia Mkurugenzi wa shule ya Sun Academy, Nguvu Chengula, kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Alifa Mkwawa, ambaye ni mzazi, kwa kutumia kitako cha bastola...
Wakuu, hii imetokana na mambo kadha wa kadha ni kama mwezi mmoja umepita nilienda kwenye mgahawa mmoja local kuchukua chakula majira ya saa 3 usiku, wakati nimefika nikakuta vijana wawili ambao ni...
Ee Mungu mwenye uwezo wote, tunakuja mbele zako kwa unyenyekevu na shukrani kwa nafasi ya kuwa sehemu ya mchakato wa kidemokrasia ndani ya chama cha Chadema.
Mwenyezi Mungu mwenye rehema na...
HESHIMA YENU WAPENDWA UNAWEZA KUSOMA HUU UZI THEN KAA UTULIE JARIBU KUTAFAKARI HATA KIDOGO KILICHOANDIKWA.
Ni kosa kufikiri kwamba muda unaenda.
Muda hauendi. Muda upo hadi mwisho wa dunia.
Ni...
Barabara ya Bariadi - Itilima ambayo ilielezewa na Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa ni kero kwa Watumiaji, akaomba Mamlaka zinazohusika ziboreshe kwa kuwa shughuli nyingi za Kiuchumi na Kijamii...
Nina ndugu yangu alikuwa ameacha pombe kama miaka minne hivi iliyopita.
Sasa hizi sikukuu za juzi: Akaniambia: "Aisee, ngoja niinjoi kinywaji kuanzia krismasi mpaka mwaka mpya tu, halafu mambo...
Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba...
Mimi ni mmoja wa Wanachama wa Maktaba ya Vitabu ambayo ipo hapa Mjini Unguja, changamoto kubwa iliyopo hapa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharib ni kukosekana kwa huduma ya maji.
Naomba Wizara ya...
Ukiona mfanyakazi wako anamiliki vitu havilingani na mshahara unaomlipa lazima upate wasiwasi , mfano haiingii akilini kwa mtu anayelipwa laki 3 halafu ananunua Gari la milioni 60 , au anaishi...
Habari za jioni ndugu zangu nimekaa nikaona tushee kidogo uzoefu mbalimbali ktk utafutaji wa maisha yaweza ikawa shule nyingine bila kujua inaweza kuja kusaidia wengine.
Leo bhana nilikuwa...
Wakuu za mida hii?
Leo nimeona tuwaangazie hawa dada zetu wa benki ambao baadhi yao wanadharau sana kitu ambacho ni kinyume na maadili ya kazi zako.
Kuna kipindi rafiki yangu alienda benki...
Kuna mwamba aliwahi kuja na uzi humu akasema "kujifariji sana ni tatizo, utajifariji mpaka uongo"
Mfa maji maji utapa tapa, sasa nyie INTIFADA wa matumbe mnatapa tapa kutafuta vijihabari vinavyo...
Experts to share knowledge tufanye research zenye tija kwenye field ya gene cloning,vilevile either tufanye cloning ya wanyama,vilevile in ethics tufanye cloning ya binadamu
Nikiwa mmoja wa Watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika nashauri Mkurugenzi wa Halmashauri awalipe vijana wanaojitolea pesa zao ili kuhudumia taasisi, wanakaa hadi miezi miwili bila posho...
Toleo maalum la mambo ya kiroho, ushirikina na imani juu ya miujiza..Hii itakuwa mada kubwa na pana kwakuwa hapa chini nitaweka titles za vitabu na machapisho mbali mbali vyenye kuhusiana na...
Jambo la kusikitisha zaidi kuhusu usaliti ni kwamba hautokani na adui zako.
Sio lazima Lissu achaguliwe ila mpinge mwamba kwa hoja maalum, tena kwa heshima kubwa, ila sio kwa dharau na kejeli...
Habari, kwanza kabisa nitoe salam zangu za pole kwa majirani zetu Kenya kwa msiba wa CDF na wafuasi wake katika ajali ya ndege ya kivita iliyotokea tarehe 19/04/2024 wakiwa katika ziara za kikazi...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.), amesema wizara anayoiongoza imefanikiwa kuunganisha Mfumo wa Kidijitali wa Anwani za Makazi (NaPA) na mifumo mingine...
Nini hasa kinachowachochea watoa taarifa (informants) au mawakala (agents) kushirikiana na mashirika ya intelijensia?
Tunajua kuwa kazi ya intelijensia na upelelezi inategemea sana taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.