Vituko na vioja vya wadada wa benki

katichi

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
2,011
1,177
Wakuu za mida hii?

Leo nimeona tuwaangazie hawa dada zetu wa benki ambao baadhi yao wanadharau sana kitu ambacho ni kinyume na maadili ya kazi zako.

Kuna kipindi rafiki yangu alienda benki moja kuulizia wamefikia wapi mchakato wa kuwaita kwenye " interview " cha ajabu yule dada akamjibu nanukuu " unadhani ukijipitisha hapa ndio utaonewa huruma" .

Mimi pia kuna dada benki teller alinidharau wakati ananihidumia nikamuangalia tu.

Je wewe umekutana na lipi kutoka kwa hawa Maofisa wa kike wa benki?

Nawasilisha.
 
Pamoja na huduma mbovu za baadhi ya wafanyakazi wa benki labda wateja wengine nao wana matatizo. Au wengine mnaenda benki tofauti kila siku?
Benki yako(yaani una akaunti hapo muda mrefu) lazima utakuwa unajulikana na wahudumu wengi tu na mnaweza kuwa marafiki kitu ambacho kitakusaidia kupata huduma nzuri ambayo unastahili kuipata hata ukiwa huna rafiki.
Mimi ninapo-bank nawajua wahudumu wote hadi branch manager kwa sababu hii labda ndio maana napata first class service,wafanyakazi wote wa bank hadi walinzi wa security company wananifahamu na ni 'marafiki'
Habari ya kuibiwa hela na teller ukishafahamiana na hawa watu haipo,tena muda mwingine unakuta foleni kubwa au system down unamuachia hela anakugongea tu muhuri system ikiwa fresh anamalizia transaction.
Tuwaheshimu wengine na sisi watatuheshimu.
 
Mkuu inategemea na wewe unajitambua vip.Mimi ninavyojitambua hao watumishi wa Benki hawathubutu kunizingua,labda kama hawataki kazi!
 
Katika dunia ya sasa Mteja ni mfalme, huitaji kujuana na mtu bank ili uhudumiwe hawa wa dada huwa wanajisahau saana ni management tu ya hizo bank huwa hazipati feed back juu ya wateja wanavyonyanyaswa lakini kama wanapata feedback hivi vijidada vinaweza hata kufukuzwa kazi
Sema wa Tz tunakuwa na kawaida ya kuchukulia poa, if someone is serving you and you are not happy about the service ipeleke kwa Management
Kwa taarifa yenu hivi vidada vinalazimika ku smile kwa wateja na havitakiwi kabisa kutumia sim vikiwa vibandani
Na ikitokea kimebania pesa cctv zinawa catch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na huduma mbovu za baadhi ya wafanyakazi wa benki labda wateja wengine nao wana matatizo. Au wengine mnaenda benki tofauti kila siku?
Benki yako(yaani una akaunti hapo muda mrefu) lazima utakuwa unajulikana na wahudumu wengi tu na mnaweza kuwa marafiki kitu ambacho kitakusaidia kupata huduma nzuri ambayo unastahili kuipata hata ukiwa huna rafiki.
Mimi ninapo-bank nawajua wahudumu wote hadi branch manager kwa sababu hii labda ndio maana napata first class service,wafanyakazi wote wa bank hadi walinzi wa security company wananifahamu na ni 'marafiki'
Habari ya kuibiwa hela na teller ukishafahamiana na hawa watu haipo,tena muda mwingine unakuta foleni kubwa au system down unamuachia hela anakugongea tu muhuri system ikiwa fresh anamalizia transaction.
Tuwaheshimu wengine na sisi watatuheshimu.
Kama unaweka mkwanja mrefu heshima na 'urafiki' lazima viwepo. Ila kama unapeleka 30000 hata huende kila siku hakutakuwa na huo urafiki. Zaidizaidi dharau ndiyo zitazidi.
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom