nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,058
- 15,125
Kuna mambo nayaangalia kwa kina na kwa uelekeo kuhusu kanisa kwa ujumla napata ukakasi.
Kanisa limekuwa kama kijiwe na kijiwe kimekuwa kanisa.
Inawezekanaje kanisa linashindwa kukemea ushoga lakini dudubaya anaweza?
Au ndiyo maandiko yanatimia kwamba mawe yatasema??
Hivi Bwana Yesu ni dhehebu gani?
Na ghafla akirudi unadhani kuna kanisa lolote litakuwa na UJASIRI wa kumkaribisha?..kiukweli atapindua meza kwa mara ingine..manake yanayoendelea...daaaah..
HII NI KWA KIFUPI...NGOJA NIMALIZANE NA HUYU MAMA MUUZA SAMAKI...... NITARUDI,,...NAONA LEO ANANITINGISHIA MAKALIO.