Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu.
1: Kuongezeka upotoshaji katika dini
2: Kuongezeka kwa hali ngumu...
Aisee nianze kwa kuwaomba radhi wanangu wa KIGOMA kwa hili nitakalosema. Nguruka pamezidi kwa wizi hasa wa kwenye treni. Majambazi wakubwa bongo wote asilimia kubwa wanatokea Kona zile.
Binafsi...
Assalaam alleykum!
Wakuu hali inaelekea kubaya katika equity market ya u.s. DOWJONES, S&P 500 na hata cryptocurrencies kama DOGE n.k graph inainama. Sijui hali itakuwaje miaka kadhaa ijayo lakini...
Maisha ni magumu, gharama za maisha zimepanda, lakini bado kuna familia zinazoishi na bajeti ndogo. Swali ni moja: Ukiwa na 5000 hadi 10,000 tu kwa siku, unaweza kupata milo mitatu kwa familia...
Mawazo yako ndio fomula ambayo yatafanya maisha yako yawe ya namna gani
Kila wazo ni picha halisi ambayo inaenda kuhifadhiwa katika subconscious mind yako kwa ajili ya matumizi ya baadae
Kila...
Matukio lukuki yamekuwa yakiendelea juu hizi kesi za watu kutembea na wanafunzi na ufumbuzi wa changamoto hii umeonekana ni mdogo saana.
Pamoja na kuweka kifungo cha miaka 30 kumeonekana ni...
UPAGANI WA KALE KATIKA USASA
Ibada ya hija bila kuvaa chupi
Wapagani wa Maka naam makureshi walikuwa wanafanya hija wakiwa watupu (uchi wa mnyama). Na Waislamu leo wanahiji bila kuvaa nguo za...
JAPAN KIBOKO AISEEE ๐ฏ๐ต
Japan ni moja ya Nchi ambayo Iko vizuri sana kwenye masuala ya Teknolojia Ulimwenguni baada ya China sema Wazungu ๐wanajifanya wanakaza mafuvu.
Japan katika kupambana na...
Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote ulimwenguni.!
Naomba msaada wadau maana nimehangaika tangu zamani bila mafanikio.
Miaka ya nyuma Kuna jamaa yangu aliniwekea app ilinisaidia...
Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Mbeya, imemuhukumu adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela, Hamphrey Ngogo, baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mpenzi wake Faraja Shabani, bila kukusudia.
Katika...
Tumekua tukishare ideas mbalimbali, ni muhimu kufahamiana japo kwa picha unashanga siku umeenda kijijini Mpwayungu unapokelewa vizuri na Faiza ๐ฆ Fox....... Tuanze sasa mm yakwangu ntapost mwishoni
Nipo Nawaza na kutafakari kila siku namkimbia na kuponyoka na story kibao, Leo naskia wapangaji wanaongea kwamba kaja ameshararuka na kuwa mkali na kesho hataki kuskia story za abunuasi kwa...
Idara ya Uhamiaji Nchini imethibitisha kuwa Kaimu Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) Wallace John Karia ambaye ni Mgombea Urais wa TFF katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...
Mimi nipo Moshi natafuta shekhe anayejua kutoa majini sifa yake awe mtu mzima makamu anayejiheshimu kabisa na anayejua kazi yake.
Naombeni msaada ni waharaka
Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda amesema anakereka na tabia za baadhi ya watu wakiwemo viongozi wa kidini kuwa na tabia za kusifia sana viongozi kupindukia(chawa)...
Hii ni picha ya Wazulu wa Malawi, inayoitwa "Ngoni." Wanazungumza na kutekeleza lugha na utamaduni wa Kizulu na kufuatilia asili yao hadi KwaZulu. Sote tunawafahamu Wandebele (Wazulu wa Zimbabwe)...
Habari za muda mrefu wana jukwaa, ni matumaini yangu mu wazima wa afya kwa wenye changamoto mbali mbali Mungu awafanyie wepesi.
Leo ni sikukuu ya Eid kwa ndugu zetu waislamu, Eid Mubarak. Kama...
Ninawasalimu kwa jina la Chama pendwa, CCM.
Kwanza tuanze kufahamu nini maana ya PRANK. Kwa tafsiri nyepesi ni mzaha wa kumfanyia mtu ili kujifurahisha. Yaani kama utani tu. Sio jambo geni...