Kwanini mabinti(wanafunzi) wasipewe hata mwaka mmoja jela?

jozee jose

Senior Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
147
Reaction score
360
Matukio lukuki yamekuwa yakiendelea juu hizi kesi za watu kutembea na wanafunzi na ufumbuzi wa changamoto hii umeonekana ni mdogo saana.

Pamoja na kuweka kifungo cha miaka 30 kumeonekana ni sheria ambayo hukata upande mmoja wa Mwanaume tu huenda ndo maana hili jambo halikomi kirahisi.

Ni lazima tutambue ya kwamba hawa mabinti ambao hulindwa na hizo sheria ,Wao wenyewe hawana mpango wa kujilinda kabisa ni wanapenda ngono kama wanavyopenda Chips mayai, ukikutana na kitoto cha form two kinajua SAMBALIYOKA zooote, kwa hili kwa nini vijana wa mtaani wasichanganyikiwe?

Kama kweli serikali au jamii inawapenda kwa nini nao wakibainika na Skendo za ngono wasipewe adhabu hata ya kifungo labda cha mwezi, miezi 3, mwaka na nk ili nao wawe na tahadhari ya maisha yao.

Waonaje mdau?
 
Mkuu women are an angels don include them in such f**kin sin.
Laws, jails, war, deaths, any othe risk works and troubles are for them men only.
Mkuu unashangaa hilo la mahakama hivi huoni wanaume tukifumaiana kwa maden/wake(watu wazima) zetu huwa tunahukumianaje?
 
Inapaswa kua hivyo na hapo ndipo watakua wametibu tatizo, yani unakuta kabinti kanatoka kwao kwa miguu au kameitiwa boda hadi geto au gesti kanavua kenyewe na ikichomoka kanairudishia ndani walioko nje hawakusikia kelele kwamba anabakwa alafu akipata mimba eti kosa ni la mwanaume peke yake ushenzi huo, suhuluhisho ni kuweka ndani wote
 
Matukio lukuki yamekuwa yakiendelea juu hizi kesi za watu kutembea na wanafunzi na ufumbuzi wa changamoto hii umeonekana ni mdogo saana.

Pamoja na kuweka kifungo cha miaka 30 kumeonekana ni sheria ambayo hukata upande mmoja wa Mwanaume tu huenda ndo maana hili jambo halikomi kirahisi.

Ni lazima tutambue ya kwamba hawa mabinti ambao hulindwa na hizo sheria ,Wao wenyewe hawana mpango wa kujilinda kabisa ni wanapenda ngono kama wanavyopenda Chips mayai, ukikutana na kitoto cha form two kinajua SAMBALIYOKA zooote, kwa hili kwa nini vijana wa mtaani wasichanganyikiwe?

Kama kweli serikali au jamii inawapenda kwa nini nao wakibainika na Skendo za ngono wasipewe adhabu hata ya kifungo labda cha mwezi, miezi 3, mwaka na nk ili nao wawe na tahadhari ya maisha yao.

Waonaje mdau?
Inapaswa kua hivyo na hapo ndipo watakua wametibu tatizo, yani unakuta kabinti kanatoka kwao kwa miguu au kameitiwa boda hadi geto au gesti kanavua kenyewe na ikichomoka kanairudishia ndani walioko nje hawakusikia kelele kwamba anabakwa alafu akipata mimba eti kosa ni la mwanaume peke yake ushenzi huo, suhuluhisho ni kuweka ndani wote
Mkuu hicho ndo kitu sahihi kinachopaswa kufanyika haraka iwezekanavyo maana hawa wanawake kwenye kudai haki Sawa wako vizuri. Hili ndilo suluhisho kwa mimba za utotoni japokuwa wana JF wenye vitoto vya kike watakuja kupinga kwa hoja za kipuuzi.
 
Mkuu women are an angels don't include them in such f**kin sin.
Laws, jails, war, deaths, any othe risk works and troubles are for them men only.
Mkuu you are surprised by this court case, how do you see men when we *** each other with our wives (adults)?
thank you for your contribution, always the thoughts of a person are not rejected, because as a person is in his soul, so is he.
Can you give me any quote that proves that women are Angels? Or what do you mean by that statement,
 
Matukio lukuki yamekuwa yakiendelea juu hizi kesi za watu kutembea na wanafunzi na ufumbuzi wa changamoto hii umeonekana ni mdogo saana.

Pamoja na kuweka kifungo cha miaka 30 kumeonekana ni sheria ambayo hukata upande mmoja wa Mwanaume tu huenda ndo maana hili jambo halikomi kirahisi.

Ni lazima tutambue ya kwamba hawa mabinti ambao hulindwa na hizo sheria ,Wao wenyewe hawana mpango wa kujilinda kabisa ni wanapenda ngono kama wanavyopenda Chips mayai, ukikutana na kitoto cha form two kinajua SAMBALIYOKA zooote, kwa hili kwa nini vijana wa mtaani wasichanganyikiwe?

Kama kweli serikali au jamii inawapenda kwa nini nao wakibainika na Skendo za ngono wasipewe adhabu hata ya kifungo labda cha mwezi, miezi 3, mwaka na nk ili nao wawe na tahadhari ya maisha yao.

Waonaje mdau?
Assumption ni kwamba hawajafika miaka 18 bado.

Hiyo ni statutory rape.
 
kwani sheria haiwezi rekebishwa kukidhi mahitaji msingi
Mahitaji msingi ya nani?

Wasomi wa ubongo, saikolojia, malezi wamekubali kuwa mtu aliye chini ya miaka 18 kuna mambo mengi sana hajayafikia na hivyo, hususan kwenye mambo haya ya mapenzi, asihukumiwe kama mtu mzima.

Ndiyo maana hata hiyo statutory rape sehemu nyingi ikiwa wanafanyana wao kwa wao watoto walio miaka chini ya 18 kwa tofauti ndogo ya miaka, mfano miaka 17 na 16, haichukuliwi sawa na mtu mwenye miaka 30 na mtoto wa miaka 16.

Hayo ni mambo ya sayansi, si sheria.

Hayo ndiyo mahitaji ya msingi.
 
thank you for your contribution, always the thoughts of a person are not rejected, because as a person is in his soul, so is he.
Can you give me any quote that proves that women are Angels? Or what do you mean by that statement,
Actually u can't get a quote to validify the statement, bu u can prove it on bases of society view .
As i hav mentioned in my comment society always assume the woman an innocent when it comes to illegal sexual even when both male and female are of the same status.
Such as both are married, both are students.
 
Back
Top Bottom