Mtangazaji wa Radio 47 Kenya, Captain Emmanuel Mwashumbe, ameibua maswali kuhusiana na uamuzi wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kutangaza kujiuzulu na kustaafu siasa kuanzia...
It's me JamiiForums member (Nina Akili Ndogo Sana)
Nilichomwambia Rais Samia (23 October 2025) Kabla Ya Uchaguzi Mkuu: CCM ikikaa meza moja ya mazungumzo na CHADEMA, utakuwa ni ushindi mkubwa...
Kama maombi kweli kweli yatatatua matatizo, basi umaskini ungeisha, magonjwa yangeponywa, rushwa ingeisha, na majanga yangezuiliwa kwa kuomba tu kwa bidii.
Lakini uhalisia haupo hivyo.
Watu...
Ukichunguza vizuri hasa Afrika wajumbe wengi ni wachumia tumbo wakipewa posho tu kwisha habari ni kupitisha tu au kupinga tu hakuna wenye uwezo wakuchakata jambo (tazama wajumbe simba na yanga...
Mimi hapa kuna kitu nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu boss wangu.
Kuna muda anaweza kukaa kimya kabisa, hata kazi ikiwa ipo, hanitafuti. Lakini akiona status yangu nimeenda sehemu fulani...
Mwanafunzi wa UDSM , semister imeisha akaamua kubaki Dar kutoa ushamba na kufanya Filed kiwanda cha kusafisha maji taka Tabata Dampo.
Pichani ni jioni baada ya taarifa ya Habari , Shem na Mumewe...
Edina Chaula (23), mkazi wa Mtaa wa Kihesa, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amekutwa amefariki dunia ndani ya chumba chake baada ya kudaiwa kukosa hewa kutokana na kupaliwa na chakula.
Kamanda wa...
Baba mtumishi
Tunaomba tuwekewe watafsiri wanaojua kingenge vzuri kwenye kutafsiri kiswa kwenda kinge wasiwe wanabahatisha ama kumumunya mdomo
Tunaojua kingereza pekee tunateseka sana kuwaelewa...
Wakuu, siku hizi imekuwa kama fashion — mwisho wa mwezi watu fulani wanajitokeza ghafla kukutafuta, si kwa sababu wanakukumbuka, bali wanatafuta namna ya kukuomba hela kwa ujanja.
Utagundua mtu...
KUSITISHWA KWA LESENI YA GAZETI LA MWANAHALISI KWA KIPINDI CHA MIEZI SITA (6)
Idara ya Huduma za Habari (MAELEZO) inapenda kuujulisha Umma kuwa leseni ya gazeti la MwanaHALISI imesitishwa kwa...
Nimekuwa nikifikiria jambo moja
Kama kuna maisha baada ya kifo, je, maisha hayo yanaweza kuwa na matokeo ya namna tulivyoishi hapa duniani?
Kwa mfano, kama mtu alikuwa akiwaonea na kuwatesa...
Professor Godius Kahyarara is a Permanent Secretary in the Ministry of Transport. He is a Professor of Economics, and a distinguished alumnus and former academic at the University of Dar es Salaam...
Aiseee , mweny uelewa aniambie,
Kipindi Cha nyuma nilikuwa cjielew. Yaan kichwa kinakuwa kizito moyo wangu hautulii nikasoma TikTok kila siku nachoma udi na naogea chumvii aisee yaan...
Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye...