secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,558
- 49,937
Maulidi yangu Leo hata sijaifurahia 🥲🥲
Ulitakaje ba mkali?Maulidi yangu Leo hata sijaifurahia 🥲🥲
Ema nchimbi ni kama alimwaga mchanga kwenye pilau yangu 🥲Ulitakaje ba mkali?
Nchimbi ndo kaiharibu kabisa yaani 🥲Yenyewe haikua na amsha amsha kwani Maulid inawakilisha jambo gani haswa huko kwa Musikiti
Au tumfuate hukohuko 🤔Ema nchimbi ni kama alimwaga mchanga kwenye pilau yangu 🥲
Ndiyo.Au tumfuate hukohuko 🤔