Hesabu za MAGAZIJUTO kwenye maisha (Parody)

Hesabu za MAGAZIJUTO kwenye maisha (Parody)

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,228
Reaction score
10,745
Kusaidia fundi kwa siku ni 7,000/=
Kwa wiki ni 7,000×7= 49,000/=
Kwa mwezi ni 49,000×30 = 1,470,000/=
Kwa Mwaka ni 1,470,000×12 = 17,640,000/=
Toyota IST used bei yake ni 6,000,000/=
Swali ni je, mbona huna gari?

----------------------------------------------
Kauli za watu walioshiba makande na kwenda vijiwe vya kahawa! Kutazama maisha ni kama mepesi kwa hesabu za MAGAZIJUTO.
1743790188865.jpg
 
Madhara ya punyeto ni mengi sana, kumbuka mtu aliyezoea kujichua maana yake anamiliki wanawake wengi wa kufikirika, hivyo unapofikia wakati wa kuwa na mke halisi fikra hutatanika kwa kukumbuka wapenzi wale wa kufikrika aliofanya nao ngono kwa njia ya kujichua. Na kwa kuwa mke halisi ni mmoja na wale wa kufikrika ni wengi, akili hushindwa kutambua upande upi ni bora kwake, hivyo uume kushindwa kusimama vyema kwa sababu ya mwathiriko wa kisaikolojia.
 
Kumbuka tendo la ndoa hufanyika tu pale akili inapokuwa na utulivu. Madhara mengine ya mtu aliyejichua kwa muda mrefu ni;

1.Kuathirika(kusinyaa) kwa mishipa ya uume, hivyo kushindwa kujaa damu inayopelekea kusimama kwa uume wakati wa tendo la ndoa.
2.Kuathirika kwa mfumo wa mkojo, jambo linaloweza kusababisha tezi dume.
3.Kupungua kwa hisia za kufanya tendo la ndoa.
4.Kuathirika kwa mfumo wa uzalishaji wa mbegu za kiume.
5.Maumivu ya kichwa, mgongo, kiuno na uchovu mwingi kila wakati.
 
Madhara makuu zaidi ya mtu aliyeathirika na punyeto ni kupungukiwa nguvu za kiume na hivyo kupelekea kufika kileleni mapema zaidi wakati wa tendo la ndoa, Kwani mishipa ilishasinyaa na hivyo haiwezi kustahimili kubeba damu inayopelekea maumbile kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.
 
Kumbuka tiba ya Malaria siyo kulala kwenye chandarua wakati tayari una malaria, tiba ni kutumia dawa ili malaria ipone, na ushauri ni kulala kwenye chandarua ili usiumwe na mbu ukaugua malaria tena.
 
Hivyo kama ulifanya punyeto na imepelekea upungufu wa nguvu za kiume, suluhisho ni kutafuta tiba, na ushauri usirudie tena kufanya punyeto.

Ikiwa umeshindwa kabisa kuachana na zoezi Hilo au umekwishakupata madhara yatokanayo na zoezi Hilo,usisite kuandika hapa ili upate msaada zaidi
 
Kusaidia fundi kwa siku ni 7,000/=
Kwa wiki ni 7,000×7= 49,000/=
Kwa mwezi ni 49,000×30 = 1,470,000/=
Kwa Mwaka ni 1,470,000×12 = 17,640,000/=
Toyota IST used bei yake ni 6,000,000/=
Swali ni je, mbona huna gari?

----------------------------------------------
Kauli za watu walioshiba makande na kwenda vijiwe vya kahawa! Kutazama maisha ni kama mepesi kwa hesabu za MAGAZIJUTO.
View attachment 3293352


Maths una ++F

Rudia umefeli vibaya ✂️✂️❌❌❌❌❌❌❌❌⭕️%
 
Ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze, Kwa ground mambo ni tofauti kabisa.
 
Watu waliokimbia hesabu ndiyo hawa ,, rudia kupiga hesabu yako,,,alafu eti ndiyo waziri wa fedha au gavana-----Twafwa
 
Hizo hesabu zingekuwa sahihi ningeshapaki BMW kwa bi mkubwa
 
Kusaidia fundi kwa siku ni 7,000/=
Kwa wiki ni 7,000×7= 49,000/=
Kwa mwezi ni 49,000×30 = 1,470,000/=
Kwa Mwaka ni 1,470,000×12 = 17,640,000/=
Toyota IST used bei yake ni 6,000,000/=
Swali ni je, mbona huna gari?

----------------------------------------------
Kauli za watu walioshiba makande na kwenda vijiwe vya kahawa! Kutazama maisha ni kama mepesi kwa hesabu za MAGAZIJUTO.
View attachment 3293352
Huo mwezi wenye majuma 30 unapatikana sayari gani?
 
Eti Kwa wiki 7,000×7=49,000 alafu kwa mwezi 49,000×30( kwahiyo mwezi una wiki 30?)

Ungerahisisha kuchukua 7,000×365=2,555,000
Hela ambayo hata bodaboda hununui
 
Kusaidia fundi kwa siku ni 7,000/=
Kwa wiki ni 7,000×7= 49,000/=
Kwa mwezi ni 49,000×30 = 1,470,000/=
Kwa Mwaka ni 1,470,000×12 = 17,640,000/=
Toyota IST used bei yake ni 6,000,000/=
Swali ni je, mbona huna gari?

----------------------------------------------
Kauli za watu walioshiba makande na kwenda vijiwe vya kahawa! Kutazama maisha ni kama mepesi kwa hesabu za MAGAZIJUTO.
View attachment 3293352
Kwaninin 49,000 x 30? kwani kwa siku anapata 49,000?
 
Kusaidia fundi kwa siku ni 7,000/=
Kwa wiki ni 7,000×7= 49,000/=
Kwa mwezi ni 49,000×30 = 1,470,000/=
Kwa Mwaka ni 1,470,000×12 = 17,640,000/=
Toyota IST used bei yake ni 6,000,000/=
Swali ni je, mbona huna gari?

Mkuu,

Siku 1: 7,000/=

Kwa wiki (sawa na siku 7): 7x7,000=49,000/=

Kwa mwezi (sawa na wiki 4): 49,000x4=196,000/=

Kwa mwaka (sawa na miezi 12): 196,00x12=2,352,000/=
 
Back
Top Bottom