Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Lagos Nigeria - Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation na Mkurugenzi wa MahusianowaBenki ya CRDB Bank, Tully Esther Mwambapa, ametajwa kuwa Kiongozi Anayeongoza kwa Uwezeshaji Barani Afrika...
1 Reactions
1 Replies
443 Views
Maoni yako Tafadhali
1 Reactions
12 Replies
620 Views
* Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani. Kwa mujibu wa Einstein kuna watu wakiondoa...
12 Reactions
38 Replies
2K Views
1.Hutamkuta akichanganya matumizi vyombo yaani kwa mfano beseni la kufulia hilohilo aoshee vyombo hata kama an umaskini ila atatafuta njia nyingine sio kushare matumizi. 2.Akimaliza kula au...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Ni takriban week tatu sasa kisiwa cha Mafia kilichopo ndani ya mkoa wa Pwani, kimekumbwa na kukosekana kwa mawasiliano ya mtandao wa Halotel, ambapo wanachi wanapata kadhia ya kushindwa kuwa na...
1 Reactions
1 Replies
538 Views
Ndugu katika mapambano. Leo jumatatu nimestuka saa tisa usiku naona mvua ipo kidogo nimejilaza naamka saa 11 mapema haijapoa. Nimeshindwa kutoka mpka naandika huu Uzi hapa na nmesogea nilipo...
0 Reactions
4 Replies
526 Views
Huu mtaa wa loresho jijini Nairobi unaonesha kuna pengo kubwa kati ya masikini na matajiri au ni mwanya mkubwa?😁😁😁 Wakenya tunaomba mkija Tanzania kila mkitembea hatua 5 mpige saluti
2 Reactions
8 Replies
504 Views
Kila mara tunaelezwa kuwa shillingi yetu ni HIMILIVU na inafanya vizuri. Kila Jumatano ya kwanza ya mwezi Serikali inatangaza bei mpya ya mafuta na tunaelezwa kuwa bei ya mafuta huko ughaibuni...
0 Reactions
2 Replies
281 Views
Wanajamvi hivi hizi kampuni ni za familia gani maana naambiwa na baadhi ya matrafic kwamba zikivunja sheria hazipigwi faini na wala hazilipi kodi pindi zinapoingiza magari yao hazilipii kodi ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF, Ngoja nisonge kwenye mada, kwa kipindi cha miezi ya hivi karibuni nilikumbwa na changamoto iliyohitaji fedha ya haraka. Basi katika pita pita zangu nikaangukia kwenye kampuni za...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) Desemba 19, 2024 umetembelea Mradi wa Kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere kujionea kasi ya maendeleo ya ujenzi unavyoendelea na kuweka mkazo kwa...
0 Reactions
2 Replies
516 Views
Habari wanajamvi, Kwa maisha yalivyo na yanavyoelekea huko mbeleni nimeamua kuwaandalia wanangu mali hii ije iwasaidie baadae Nina watoto wawili wa kiume mmoja Miaka mitano na mwengine Miaka...
58 Reactions
96 Replies
5K Views
Uislamu ni dini ya haki na ya amani iliyoletwa na Mwenyezi Mungu kupitia Mtume Muhammad (SAW) kwa ajili ya wanadamu wote. Neno "Uislamu" linatokana na neno la Kiarabu "Islam", ambalo maana yake ni...
8 Reactions
55 Replies
2K Views
Kuna miandiko humu jukwaani unaiona kabisa huu ni mwandiko wa mzee, ila anajifanya joined 2024. Hata uvae kaptula, ushazeeka. Sledi pendwa!
11 Reactions
37 Replies
1K Views
Habari ndio hiyo. Wakatoliki ukigusa mtu wao hua wanaangalia angle ipi wamuokoe. Kardinali Rugambwa tayari Yuko Dar na wanasheria wao wamempa ripoti. Yeye kazi kubwa ni kuituma kwa Papa na...
7 Reactions
100 Replies
3K Views
Kila siku maelfu ya ng'ombe wanasababishiwa maumivu makali unnecessarily..!
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Inamaanisha nini? 1. Tundu Lissu atakuwa Rais wa JMT? 2. Tundu Lissu ataleta mageuzi ya kisiasa nchini? 3. Tundu Lissu atasababisha Katiba ya Wananchi kupatikana? 4. Tundu Lissu ...?
3 Reactions
4 Replies
383 Views
Wakuu amjambo! Naleta shukrani zangu za dhati Kwa wote ambao mlinipa michango yenu nilipoleta Uzi wangu wa kuomba ushauri wapi ntapata vibarua vya saidia fundi, Vibarua nilivipata nimefanya miezi...
16 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari wakuu. Kuna tabia nimeiona kwa hawa maafisa usafirishaji hasa bodaboda na bajaji, ndani ya wiki 2 nimetumia sana usafiri wao ukifika mwisho wa safari ukampa hela inayohitaji kurudi chenchi...
7 Reactions
101 Replies
3K Views
Back
Top Bottom