Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Septemba 2019, Serikali ilianza kutekeleza ujenzi wa Soko Kuu la Kisasa-Mwanza ikiwa baada ya kutiwa saini Julai 2019, ambapo Wafanyabiashara zaidi ya 500 waliokuwa wakifanya biashara kwenye soko...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limechangia huduma tiba na afya kwenye hospitali ya Jiji la Berberati iliyoko nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati tarehe 14 Aprili mwaka 2025. Akizungumza...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Salaam wakuu! Januari mwaka huu mimi mwenyewe niliundiwa kesi ya kutengenezwa, wenyewe waliita "plan". Nikakamatwa na Polisi na kupelekwa mahabusu ambako nililala siku moja kabla ya kupata...
3 Reactions
108 Replies
17K Views
Wazee wa vita takatifu dhidi ya marekani na israel na blah blah nyingi ili waonekane civilized ila kiuhalisia wao ni matapeli, makatili na wauaji. Unaendaje kusaidia mtoto wa malaya unaetembea...
2 Reactions
10 Replies
575 Views
Habari wana Jf, niende moja kwa moja kwenye mada ya leo,ishara tano zinazoweza kumtokea mtu anayekaribia kufa, kabla sijaanza kupitia ishara hizo tano kwanza ningetoa mfano mmoja ambao Ni tukio la...
16 Reactions
60 Replies
7K Views
Katika moja ya pita pita zangu mitandaoni nimekutana na video [emoji116] ikimuonyesha mwanaume mmoja wa makamo akitaka kujinyonga hadi kufa kwasababu ambazo hazijawekwa wazi huku baadhi ya...
0 Reactions
12 Replies
901 Views
Salamu Wana JF. Naomba ushauri wa hatua za kuchukua katika mazingira haya. Asanteni.
1 Reactions
78 Replies
5K Views
Habari, Kwa watumiaji wa barabara ya Bagamoyo, Ali Hassan Mwinyi pamoja na viunga vyake vya Sam Nujoma kuna ujenzi unaendelea wa BRT phase ya 4. Awamu iliyopita bwana Humphrey PolePole alisema...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo nimetega job naenda kuangalia eneo linauzwa huko bahari beach lina document zote so sina wasiwasi kama ni utapeli. 

 Sijawahi kudeal na madalali, hivi huwa inakuwaje, nini niwe nacho makini...
1 Reactions
10 Replies
552 Views
Amani kwenye nchi lazima kuilinda kwa gharama yeyote. msikilize Shehe Mwaipopo yaliyomkuta Somalia Atoa wito kutunza amani iliyopo https://youtu.be/cSmbJy1JPjg?si=xRERPaWLVpQ-tz0_
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Shule ya Sekondari ya Mwambisi Forest iliyopo Kibaha, mkoani Pwani, imeibuka mshindi wa kwanza kitaifa katika kampeni ya upandaji miti iliyoandaliwa na Benki ya NMB, na kuzawadiwa Shilingi milioni...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
GENTAMYCINE nilidhani baada ya Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti Taifa basi asingeacha kuwa karibu na aliyemshinda Freeman Mbowe. Yawezekana kabisa kuwa Tundu Lissu alimhitaji zaidi Mbowe na baadhi ya...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Kuna Vijana hapo mjini Kariakoo kazi yao nikuuzia watu simu used kwa bei za dukani. Pia wanauza simu fake kwa bei ya juu. Je, Hapa Tanzania hamna shirika la kupambana na simu feki?
2 Reactions
6 Replies
641 Views
Pamekuwa na ujenzi wa barabara ulioanza karibuni ambao umeleta usumbufu na hata kuhatarisha maisha ya Wananchi wa eneo husika katika Mtaa wa Mindu, Kata ya Upanga Magharibi, kwani haujazingatia...
1 Reactions
4 Replies
909 Views
Mbunge wetu RUHORO amekamilisha ahadi yake ya kutoa Simu Janja na komputa moja kwa wananchi wa kata ya Mabawe. Ahadi hizo alizitoa kwa nyakati tofauti tofauti alipokuwa ametembelea Kata ya Mabawe...
0 Reactions
2 Replies
271 Views
Kwangu binafsi naona ni mwendelezo wa unafiki wa Polisi Tanzania. Umesikia hata siku moja pale inapotokea ajali ya gari za serikali, hasa hizi Landcruiser ST.. wakisema ajali imesababishwa na...
1 Reactions
13 Replies
977 Views
Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili? Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa...
34 Reactions
125 Replies
7K Views
Umewahi kukutana na mazungumzo mtandaoni yaliyo katika ujumbe mfupi yakihusisha watu maarufu au viongozi wa kisiasa mathalani kutoka makundi sogozi ya Whatsapp? Je, umewahi kujiuliza kuhusu...
1 Reactions
1 Replies
385 Views
Katika Sheria ya Usajili wa Uwakala wa Habari, Magazeti na Vitabu Namba 5 ya Mwaka 1988 iliyofanyiwa marekebisho na Sheria no 8 ya Mwaka 1997 yapo maneno kadhaa yaliyotumika ambayo yanaonekana...
0 Reactions
2 Replies
406 Views
Back
Top Bottom