and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,007
- 39,194
Wameivunja?Comfort haipo tena💔
Yah sijui nini kilimoata mmiliki maana yalibaki magofu tu mwisho hakuna kituWameivunja?
Duuh! Hatarii Sana. Mlifikaje sasa safari yenu baada ya basi kuunguaMwaka fulani nikiwa mtoto nilisafirishwa kutoka Dar kwenda Songea, nikapandishwa kwenye Hilo Basi, mweeh kufika Tanangozi Basi likashika moto. Abiria wote tulinusurika, lkn hakuna aliyefanikiwa kutoka na kitu
Hata Kiswele aliacha watoto ambao walishindwa kuendeleza. Nahisi wengi walikuja kufa na UKIMWI maana walikua watu wa bata tuYah sijui nini kilimoata mmiliki maana yalibaki magofu tu mwisho hakuna kitu
Paliungua, kuna dada alikua mfanyakazi mwishomwisho hapo ndio anapikia kwake Kwa order hua napitia msosi wa 15000 navuka nao hadi ndola, walikua na chakula bora sanaComfort haipo tena💔
Kuna muda alikua na madude engine Iko nyuma yaani mi bus flani kama Iriza la AzamEnzi hizo tunasoma Songea Boyz tunakwea KISWELE COACH Stendi mnazi mmoja breki ya kwanza Comfort Hotel - Kitonga (Kula dakika 10 Tu) chuma inatambaa. Daah. Hakika miaka imeenda.
**Zamani raha sana
Dar-Songea kwa njia ya Njombe mbali aiseKuna muda alikua na madude engine Iko nyuma yaani mi bus flani kama Iriza la Azam
Ukishuka humo kwenye Kiswele..unatembea kwa miguu km 5..hakuna Boda..ukibahatika unaingia kwenye hii Mess Tin(Mustin)Enzi hizo tunasoma Songea Boyz tunakwea KISWELE COACH Stendi mnazi mmoja breki ya kwanza Comfort Hotel - Kitonga (Kula dakika 10 Tu) chuma inatambaa. Daah. Hakika miaka imeenda.
**Zamani raha sana
Tulikuwa na mke wa kiswelle kwenye basi, baada ya kadhia ile akatuma mtu aende Iringa mjini akakodi Basi sikumbuki ulikuwa Basi gani, tukaendelea na safari.Duuh! Hatarii Sana. Mlifikaje sasa safari yenu baada ya basi kuungua
Njia ya Lindi ndio mbali zaidi mkuu.Dar-Songea kwa njia ya Njombe mbali aise
lindi ni karibu kwa pungufu ya 100kmsNjia ya Lindi ndio mbali zaidi mkuu.
Ukipita lindi ni mbali zaidi mkuuDar-Songea kwa njia ya Njombe mbali aise