Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
KERO YA UKOSEFU WA UMEME WA MARA KWA MARA KIGAMBONI, DAR ES SALAAM. Katika story za hapa na pale, mara kadhaa nimekuwa nikikejeliwa na ndugu zangu huko mikoani kama kweli naishi jijini Dar es...
0 Reactions
5 Replies
713 Views
Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER". Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake Hawa...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
unaweza hisi n utani yaan hizi ofisi zina mengi sana kuna jamaa nilikwenda ofisin kwake nilipofika akaniomba kantolee kitu kwenye drw br kufika pale doh kushoto nkakutana na bamboo nkatoa...
2 Reactions
11 Replies
632 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia mtuhumiwa Abdallah Ramadhan Mnolwa (24) Mdigo wa Iringa kwa kosa la kutoa taarifa za uongo. Akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini...
6 Reactions
21 Replies
935 Views
Ifike pahala sasa watu wa Bunju A Dar es salaam waanze kupaza sauti kuhusiana na kukatika kwa Umeme uku Bunju A. Utafikiria tuko Mkoa ama Nchi nyingine. Kila kukicha umeme lazima ukatwe Bunju A...
2 Reactions
4 Replies
527 Views
Juzi tarehe 10,march, alikuja mtu kituo cha polisi fulani, (tabata) kuripoti suala la mmasai fulani kuwa kero nje ya nyumba yake, basi baada ya kuripoti polisi mmoja alikwenda kuona atatatuaje...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
“Yah, they deserve it”, this is the final moment when you realize someone is living his/ her consequences. You may not stop showing compassion to person but purely understand why they live the...
4 Reactions
10 Replies
525 Views
Kwa hesabu za haraka haraka nilizopiga, kwa kutumia known constants za mzunguko wa dunia, ni kwamba baada ya miaka milioni 200 ijayo kutoka sasa, siku moja itakuwa na masaa 25 badala ya masaa 24...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Serikali Ina useless people wengi Sana . Hakuna kitu wanaweza hawa watu wa serikalini . Huduma zao 90% ni ovyo Sana .
18 Reactions
55 Replies
3K Views
Sijui sisi watu wa Kagera tuliwakosea nini serikali? Pamoja na kuwa na kila kitu ila serikali imeufanya mkoa wa Kagera kuja na kuchuma mapato na kuutelekeza Serikali ipo kutawala na kunyonya...
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar ea Salaam, Albert Chalamila amemtaka mkandarasi anaefanya upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia eneo la ubungo mataa hadi kimara kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara hiyo ili...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Watu wengi wamejaa fadhaa kutokana na mambo mbalimbali yanayoendelea huku na kule duniani: vita, magonjwa ya kutisha, ukosefu wa ajira, njaa, uhalifu, matetemeko, gharama kubwa za maisha, nk...
5 Reactions
17 Replies
712 Views
Wapo Radio vipindi vyenu kuanzia saa moja na robo ausubuhi hutangazwa na kundi la watanazaji watau, hawa watangazaji hupenda kutumia muda mwingi wakichekacheks! Badala ya kutangaza kinachotakiwa...
1 Reactions
3 Replies
421 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro (CCM), Mhe. Esther Malleko, ametimiza ahadi yake kwa wanawake wa mkoa huo kwa kuwakabidhi jumla ya mashine 169 za kutotolesha vifaranga vya kuku...
2 Reactions
4 Replies
463 Views
Kuna mtangazaji Nguli, mwanadada Glory Robinson wa kipindi Cha Showtime wakiwa na kidebway na Bonanza sehemu ya pili sijui alipoteleaga wapi tangu alivyokuwaga RFA. Sijawahi isikia sauti yake...
10 Reactions
88 Replies
10K Views
Baada kucheleweshwa kwa muda mrefu kuachiwa kwa update ya Android version 15 kwenye baadhi ya vifaa vya Samsung device hatimaye wametoa list la simu inabidi wafanye update kupata android Version...
0 Reactions
2 Replies
887 Views
Dodoma. Tarehe 10 Aprili 2025: Baada ya ufanisi mkubwa kwenye mauzo ya Samia Infrastructure Bond yaliyohitimishwa mapema Januari, Serikali imewataka makandarasi kote nchini kuchangamkia mikopo...
0 Reactions
12 Replies
835 Views
Anonymous
Barabara ya External kwenda Majichumvi eneo la Migombani (Majichumvi) inayopita OBAMA BAR kuanzia Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mianzini kutokezea njia Panda ya Bonyokwa na Segerea inatutesa sana...
1 Reactions
4 Replies
588 Views
Anonymous
Hali ya Barabara Kwa Fundi Baiskeli (Kigamboni) ni mbaya, huu ni mwezi wa 6 tangu Bango la Mkandarasi liwekwe na hakuna kinachoendelea JF tunaomba mtusaidie kupaza sauti kwa Serikali ya Kigamboni...
1 Reactions
4 Replies
992 Views
WAFANYABIASHARA Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu wameiomba Serikali kuingilia kati sakata la Wakala wa Vipimo Mkoani humo kuwakamata na kuwaweka Mahabusu kwenye Ofisi za Wakala huo, zilizoko...
1 Reactions
5 Replies
728 Views
Back
Top Bottom