Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hello Atheists! I want to begin with respect—genuine respect for your intelligence, your questions, and your skepticism. I know many of you value logic over emotion, evidence over tradition. I do...
7 Reactions
78 Replies
3K Views
Unaweza kutana na mtu kwa mara ya kwanza unashangaa hakupendi au kutokukubali tu. Hujamuumiza, hujamfanyia chochote kibaya. Wala sio issue ya first impression wala sio instinct, ila unakuta mtu...
0 Reactions
3 Replies
309 Views
Imenitoka kidogo naomba mwongozo
0 Reactions
3 Replies
278 Views
App ya Maktaba Sauti tumeanza kuandaa audiobooks. Sikiliza. 1&2. UTANGULIZI 3. MTU ALIYETAMANI DHAHABU
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Baadhi ya kampuni za mawasiliano acheni masihara, fungeni cable zenye uwezo wa kurusha 5G, na sio 5G ya maneno matupu wakati vipimo vinaonesha 3G Dunia ya leo sio ya kudanganya watu kwasababu...
0 Reactions
2 Replies
324 Views
Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu: Uchumi Wakazi na Makazi Historia Makabila Fursa za Uchumi Hali ya hewa Mahusiano n.k Nitajibu kila swali leo Mkoa wa Kagera...
16 Reactions
349 Replies
15K Views
Kwa wale mnaofanya kazi na mashirika ya kimataifa bila shaka mnajua sheria kali sana za Ulaya kuhusu rushwa, au dalili za kutoa rushwa au 10%, hasa kwenye mambo ya tenda. Ni wakali sana. Kwa...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
1. Utangulizi Vituo vya mabasi ni sehemu muhimu katika mifumo ya usafirishaji na uchumi wa nchi. Hata hivyo, vituo vingi vya mabasi nchini vimekumbwa na changamoto za usumbufu, wizi, na mazingira...
0 Reactions
2 Replies
356 Views
Katika siasa za Afrika, kuna tofauti kubwa kati ya majeshi ya baadhi ya nchi. Wengine hujiona kama watumishi wa dola, wengine kama watumishi wa watawala, na wachache kama wakombozi wa kweli...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Jaman nimekua nikisikia hizi aina za massage mara full body then four hands massage lakin hii Body to body ikoje na je ni lazima mfanye mapenzi baada ya massage au mapenzi ni sehemu ya hio masaage
3 Reactions
65 Replies
19K Views
Katika kijiji kidogo cha Mipotopoto, pembezoni mwa Pori la Akiba la Liparamba wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, simulizi ya nadra na ya kusikitisha imetokea simba mwenye rangi ya kahawia na nyeupe...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
UKAGUZI WA TAMISEMI, TAWALA ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Muhtasari huu unawasilisha matokeo muhimu ya ukaguzi, hitimisho na mapendekezo. Ukaguzi ulichunguza...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kifo cha mtoto wa miaka 6, Greyson Kanyenye aliyekuwa anaishi na mama yake anayejulika kama Jojo mjini Dodoma. IPPMedia wameandika: Kamanda wa Polisi...
19 Reactions
208 Replies
16K Views
Nipo Arusha yapata week ya pili kwa kazi zangu hizi za kuuza Unga wa lishe, nafaka na biashara ya kuleta Vitu huku Namkuta mtoto wa binamu yangu wa kiume kamaliza chuo kwa ngazi ya cheti...
16 Reactions
175 Replies
38K Views
Hii nimeitoa mahali mimi nimeileta ilivyo[emoji1313][emoji1313][emoji1313] *MUME WAKO AU MPENZI WAKO KAMA ANATEMBEA NA MASHOGA KWA SIRI UTAJUAJE?FANYA HIVI Jana kuna dada kaomba talaka yake kisa...
10 Reactions
105 Replies
16K Views
Tupo safarini tunatoka Mbeya tunakaribia kuingia Mikumi tumesimamishwa kwasababu Rais anatoka Ifakara na bado hajatoka huko Ifakara. Viongozi wa Afrika mnatesa watu wenu.
4 Reactions
15 Replies
894 Views
Haya mateso ni hadi lini? Hii barabara au foleni kwanini serikali haichukui maamuzi ya kuja na suluhisho la hii foleni?
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Hii barabara ni nyembamba halafu foleni ikitokea panakua na shida maana wanaotokea mbagala wanaingilia na hii njia ya kurudi mjini nayo wanaiendea Maana yake njia zote mbili ya kwenda mbande...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu nikatulia sehemu moja hivi ambapo kwa pembeni yangu kulikua na vijana mchanganyiko wanapiga story. Sikuwahi kufikiria kama itafika wakati wanaume watajitokeza hadharani na...
17 Reactions
105 Replies
4K Views
Wakati vijana wakikwepa kwenda veta kupata mafunzo ya kitalaamu. Pichani sio mbwa bali ni mbwa Afisa wa jeshi, msomi, jasusi na komandoo aliyefuzu mafunzo ya kimedani ya kijeshi anaitwa "K9police...
0 Reactions
2 Replies
303 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…