Haya walevi mumefikiwa 🤣🤣🤣👇👇
https://www.instagram.com/reel/DHV6LnwPb9v/?igsh=MTZjYjg4MXR0cWF6dg==
My Take
Ni upuuzi Kwa TBS kuongelea mambo ya ubora wa pombe wakati wakulima wanalia Kwa mbegu...
Wakuu,
Kila Jumapili moja kabla ya pasaka utakuta wakristo wakatoliki wamebeba majani ya mnazi wanakwenda kanisani
Utakuta wamechimbia mbele ya kanisa, nimeliona hili tangu miaka mingi takribani...
Waafrika hasa watanzania hawatii wala kuzingatia sheria za barabarani halafu wakishapata ajali au ajali ikishatokea wanaanza kupayuka na kutoa maoni kama wehu, Mungu tunusuru! Allah tuokoe! Yesu...
Hivi hapa Shinyanga kuna kiongozi wa mazingira? Viongozi wa mkoa wako wapi? Na wamafanya nini? Wale wa Wilaya vipi?
Kusema ukweli sisi wananchi wa Shinyanga tumekuwa tukiteseka kwa muda mrefu na...
Mwanajamii fuatilia huu mkasa kwa kina.
Kuna binti anaitwa Belith Adamu Mwangoka ambaye kwasasa ni Marehemu na amefariki leo hii majira ya saa kumi jioni katika hospitali ya Rufaa ya Kanda mkoani...
Habari wadau? Leo nilifika kwenye eneo lililochangamka ghafla kwa usafiri wa mabasi ya kwenda nje ya Dar es Salaam, pale Shekilango-Ubungo.
Safari yangu pale ilikuwa kusafirisha mzigo kwenda mkoa...
Hivi karibuni LATRA walitoa agizo la dharura kwa mabasi ya kutoka Dar es Salaam kwenda Lindi na Mtwara kupita Iringa Road hadi Songea kisha wazunguke kwenda kwao.
Unatoka Dar es Salaam hadi...
Mauaji ya kimbari au mauaji ya halaiki ni uhalifu unaotambuliwa kimataifa ambapo vitendo vinafanywa kwa nia ya kuharibu, kwa ujumla au kwa sehemu, kikundi cha kitaifa, kikabila, cha rangi au cha...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Cosato Chumi amesema kwamba katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024, watanzania wanaoishi nje ya Nchi (diaspora) walituma nchini...
Safari za usiku nazi-enjoy zaidi kama mimi ndiye naendesha. Lakini nikisafiri kwa basi, wasiwasi huanza pale ninapoona abiria wote wamelala—mpaka konda naye kalala! Yaani mtu ambaye angepaswa kuwa...
SAFARI 7 ZA SINBAD
BY RAJABU ATHUMAN
SAFARI SABA ZA SINBAD
SAFARI SABA ZA SINBAD
Katika nchi ya Baghdad kulikuwepo na kijana aliyejulikana kama Sinbad mbeba mizigo. Kijana huyu alijaaliwa kuwa na...
Wakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani anashindwa ndani akitoka jioni
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti...
Watu wanaukubali usemi huu wa Waswahili kwamba: "Lisemwalo lipo, kama halipo linakuja" lakini ni wagumu kukubali kuwa Yesu atakuja.
"Ninyi nanyi vumilieni, tena simameni imara, kwa sababu kuja kwa...
Habari wanajamvi.
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari, Adrian Stepp ambaye alikuwa mtangazaji wa EATV then Azam Tv.
Aidha, Adrian Stepp alikuwa mwanachama...
Kuna kale ka-sentensi maarufu mitaani:
“Wasichana siku hizi akili zao zote ni mapenzi tu.”
Swali la msingi ni… ni kweli ama tumewatengenezea label tu ya "Love Machines" bila kuwapa nafasi ya...
Stesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu, Dodoma.
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa...
Kama kuna mwiko (miko) ya kusongea ugali ambayo ni imported au ya chuma au madini yoyote aniambie. Mi sijawahi iona. Kwa hili tunaweza sana.
Miko yote ni miti na inatengenezwa hapahapa. From the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.