Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Lissu anayeshtakiwa kwa uhaini Lisu alimpigania sana Mbowe alipopatwa na kesi ya ugaidi ili aachiwe lakini sasa Mbowe yuko kimya kuhusu kumtetea Lissu aachiwe, Kelele ya Mbowe ingekuwa na nguvu...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Wasalaam! Kwa kweli hili jambo limekuwa linanipa shida sana tena kwa muda mrefu! Ni kwanini kusafirisha mizigo kutoka Japan kuja Tz ni gharama kubwa? Mfano: Mzigo usiozidi 2kg utasafirisha kwa...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwanzo nilijuaga labda usipojipaka mafuta ngozi itapauka au itapata shida ila nime prove mwenyewe baada ya kuishiwa mafuta na nikawa Sina hela ya kununua nimekuwa nikioga bila kupaka kwa zaidi ya...
2 Reactions
17 Replies
731 Views
*Jana wakati wa kusherehekea sikukuu ya Pasaka kulikuwa na Tamasha kubwa la muziki wa Injili katika uwanja wa Taifa jijini Dar, huku maelfu ya watu mbalimbali wakiongozwa na waziri mkuu Mizengo...
0 Reactions
73 Replies
8K Views
FUNGUKA! Huenda safari zako nyingi ni za usiku. 1. Je, uliwahi kukutana na Trekta, Guta, au mikokoteni ya ng'ombe na punda ambayo inahatarisha usalama wa barabarani? 2. Taja wilaya/mkoa, au eneo...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Hadi leo hakuna hata mmoja alieihifadhi bible na sasa kuna bible ya lugha ya kimasai imepatikana Ethiopia ,ndio mtihani umezidi ,na kwa nini wazungu wengi sasa wanaukubali Uislamu na huko Ulaya...
1 Reactions
7 Replies
371 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo April 15,2025 akiongea na waandishi wa Habari Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam wakati akikabidhiwa Jezi maalum ya kushiriki...
0 Reactions
6 Replies
638 Views
Alafu pia nimeota tembo mkubwa ameanguka nija panda na kufariki hebu nifafanulieni wajuzi wa ndoto
2 Reactions
6 Replies
415 Views
Kwanini gari za Serikali zikipata ajali wanawahi kutoka plate number faster? 😳
0 Reactions
2 Replies
341 Views
Mkazi wa kijiji cha Njiapanda, Malampaka kilichopo wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.Charles Mwiburi(50)amehukumia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa miaka...
0 Reactions
2 Replies
517 Views
Katika dunia ya sasa, kuna hali nyingi zinazoonyesha mateso ya watu wasiokuwa na hatia kwa sababu ya matendo ya wengine. Mfano wa wazi ni ugonjwa wa UKIMWI, ambao umeathiri maisha ya watu wengi...
1 Reactions
2 Replies
552 Views
Mkoa wa Kagera ni miongoni mwa mikoa michache hapa nchini iliyojijengea heshima kubwa katika utoaji wa elimu Bora na wataalamu wengi katika fani mbalimbali. Ndiyo maana hata Sasa hivi ukimuuliza...
1 Reactions
3 Replies
479 Views
Leo hii nani anawajuwa waliomuia Muamar Ghadafi? Ni wapi majina ya wauaji wa Che Guevara yameandikwa? Wapi kunaadhimishwa kumbukumbu ya wauaji wa Abeid Karume? Hivi Mwangosi na aliyempiga bomu la...
2 Reactions
12 Replies
600 Views
(Somo hili linawafundisha wanafunzi kuhusu Akashic Records, jinsi ya kuzifikia, na mchakato wa safari ya roho katika viwango tofauti vya uwepo wa kiroho.) --- 1. UTANGULIZI WA AKASHIC RECORDS...
0 Reactions
0 Replies
422 Views
SERIKALI YATAJA SARATANI TANO ZINAZOSUMBUA WANANCHI KANDA YA ZIWA, MBUNGE KABULA SHITOBELA AHOJI BUNGENI Serikali imetaja aina tano za saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa ambazo ni ya kibofu cha...
1 Reactions
1 Replies
388 Views
"Kipimo cha utayari wa kitaasisi unaweza kuona katika jinsi vyama hivi viwili vilivyojipanga na uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Wakati Dr. Samia na Dr. Nchimbi wameshaambia Watanzania kuwa kwenye...
2 Reactions
6 Replies
536 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Zuberi Homera, ameagiza Jeshi la Polisi wilayani Mbarali kuwakamata wafugaji wote wanaodaiwa kuingiza mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima na kuharibu mazao...
3 Reactions
4 Replies
533 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameamua kuifungua mikoa ya Kusini kiuchumi kwa...
0 Reactions
8 Replies
473 Views
Siku hizi ukiwa kijana tu wa miaka 25 na huna hata kiwanja, basi tayari kuna watu watakutazama kwa jicho la “Upo nyuma mno bro/sis!” 😂 Hivi imekuwaje kumiliki nyumba imekuwa kama sehemu ya...
3 Reactions
5 Replies
675 Views
Mungu wewe ni muweza wa yote. Tunaomba ulinzi wako siku ya leo na siku zote.. Amen
10 Reactions
9 Replies
495 Views
Back
Top Bottom