Arusha Ushoga na Usagaji umeshamiri hadi Bar za kuuza mashoga zipo

mfichuamambo

Member
Jul 22, 2021
99
274
Nipo Arusha yapata week ya pili kwa kazi zangu hizi za kuuza Unga wa lishe, nafaka na biashara ya kuleta Vitu huku

Namkuta mtoto wa binamu yangu wa kiume kamaliza chuo kwa ngazi ya cheti simuelewi elewi ndio naambiwa ni shoga na ana mashoga wenzake

Jioni moja kaja na marafiki zake wa kiume kama watano na wote ni mashoga hapo nyumbani wapo wanacheka cheka kama wanawake

Hali ya Arusha ni mbaya sana niliuliza wamama wenyeji baada ya kuona hayo waliyoniambia nimebaki mdomo wazi Arusha inatisha kwa ushoga bora hata Dar

Huko mitaani hali ndio mbaya na mashoga wengi wapo Arusha siku hizi huko sakina na mianzini kuna hadi bar za kuuza mashoga

Vijana wanajiingiza kwenye ushoga wakiwa wadogo sana na wasagaji ndio usiseme arusha matom boy ni wengi na kuna mama ananiambia ashatokewa na kutongozwa na wanawake wasagaji sio chini ya 15

Arusha nimenyoosha mkono juu Dar pana nafuu
 
Inasemekana pia Kuna njemba zinaharibu vijana kwa nguvu na vijana haribiwa wanakuwa hawana namna zaidi ya kuendelea kuliwa.

Tamaa na ulevi wa pombe unaharibu vijana.

Serikali Arusha Ifungue macho kwa kukumbuka Ule msemo usemao "Vijana Taifa la Kesho"
 
Nipo Arusha yapata week ya pili kwa kazi zangu hizi za kuuza Unga wa lishe, nafaka na biashara ya kuleta Vitu huku

Namkuta mtoto wa binamu yangu wa kiume kamaliza chuo kwa ngazi ya cheti simuelewi elewi ndo naambiwa ni shoga na ana mashoga wenzake

Jioni moja kaja na marafiki zake wa kiume kama watano na wote ni mashoga hapo nyumbani wapo wanacheka cheka kama wanawake

Hali ya Arusha ni mbaya sana niliuliza wamama wenyeji baada ya kuona hayo waliyoniambia nimebaki mdomo wazi Arusha inatisha kwa ushoga bora hata Dar

Huko mitaani hali ndo mbaya na mashoga wengi wapo Arusha siku hizi huko sakina na mianzini kuna hadi bar za kuuza mashoga

Vijana wanajiingiza kwenye ushoga wakiwa wadogo sana na wasagaji ndo usiseme arusha matom boy ni wengi na kuna mama ananiambia ashatokewa na kutongozwa na wanawake wasagaji sio chini ya 15

Arusha nimenyoosha mkono juu dar pana nafuu
Hiyo bar iko wapi?tunaoishi hapa hatuijui wewe ndio utujuze tujitenge nayo
 
Kadiri unavyozidi kuliongelea jambo ndivyo unavyozidi kulikuza badala ya kupunguza.

Nyuzi za kuwaongelea mashoga humu zimekuwa ni nyingi sana.

Mkiwaignore na wao wataona aibu kufanya huo uchafu maana wataona hakuna mtu mwenye habari nao.

Vitu vingine unapita unaviacha tu kama hujaona vile.

Mnawapa kick sana mashoga walioko humu ndani, wanajisikia fahari kuzungumziwa.
 
Mwandishi acha roho mbaya. Yaani kuona mjomba wako ni pust basi unakuja kutuandikia hapa kwamba mapust ni wengi.

Hao watano shukuru umewaona kwa macho. Hutoona wengine tena. Labda uwe na kampani nae huyo.

Acha watu wale raha. Acha vijana waenjoy ww upo wapi?
 
Huko Arusha si ndio wanajidai mahadiko, wenyewe wanaiita Arusha "chuga"
 
Factor ni nyingi ila mojawapo Mwingiliano Mkubwa na mataifa mengi. Mashoga wengi wamehamia uko ili kuwinda wageni usisahau wakenya pia wapo wengi sana Arusha kuanzia kwenye hotel za kitalii mpaka English medium schools, Sote tunajua dada zetu wa Kenya wengi ni bisexual na Homosexual
 
Inasemekana pia Kuna njemba zinaharibu vijana kwa nguvu na vijana haribiwa wanakuwa hawana namna zaidi ya kuendelea kuliwa.

Tamaa na ulevi wa pombe unaharibu vijana.

Serikali Arusha Ifungue macho kwa kukumbuka Ule msemo usemao "Vijana Taifa la Kesho"
Hii niliisikia, chanzo hali duni ya maisha na ukosefu wa Ajira unafanya vijana wengi kujitafutia hela kwa njia mbadala.
 
Sipingi kabisa!
Sad truth!
Mimi ni wa huko na naelewa vizuri! Vijana watanashati kabisa kwa muonekano ila ukija kushangaa ni mashoga na mabinti wazuri sana wa kuolewa ila kushangaa wanasagana! Watu wa Arusha tukubali tukatae ila huo ndio ukweli! Kuhusu kulingana au kuipita Dar sina uhakika na ila kuwa wapo wengi hilo linawezekana!

Sijui kizazi hiki tutaangamizwaje
 
Back
Top Bottom