Nyakitagara
Member
- Feb 7, 2019
- 57
- 91
Panda zako ndege kuepuka huu ujingaTupo safarini tunatoka Mbeya tunakaribia kuingia Mikumi tumesimamishwa kwasababu Rais anatoka Ifakara na bado hajatoka huko Ifakara.
Viongozi wa Afrika mnatesa watu wenu.
Kweli aiseePanda zako ndege kuepuka huu ujinga
HahahaTupo safarini tunatoka Mbeya tunakaribia kuingia Mikumi tumesimamishwa kwasababu Rais anatoka Ifakara na bado hajatoka huko Ifakara.
Viongozi wa Afrika mnatesa watu wenu.