Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna wakati warembo wetu hawakutaka kusikia kitu kinaitwa soka ila soka la bongo lilipo fanyia investment na promotion ya nguvu basi dada zetu hao wakatia kambi🤣 ili wawe na show off na gears za...
1 Reactions
12 Replies
541 Views
Katika kumuenzi kijana jasiri aliyeokoa watu kwenye ajali ya ndege ingefaa Bukoba Airport ipewe jina lake kwa heshima na kumbukumbu ya vizazo vijavyo (MAJALIWA AIRPORT).
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Serikali ilianzisha uzalishaji wa ngano toka mashamba ya Hanang' Complex Mkoani Manyara na uzalishaji ulikuwa mkubwa sana. Serikali ilipoanza ubinafsishaji mashamba haya yaliuzwa kwa bei ya...
1 Reactions
4 Replies
425 Views
Vijana changamkieni fursa adhimu ya kwenda na Kuishi Marekani. Full Raha kule hakuna mateso kama Nangurukuru
14 Reactions
301 Replies
24K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kila kitu Kiko wazi kuwa Kristo atarudi na kuivunja mifumo yote mibovu duniani hivyo tusifadhaike! Hakuna sababu ya kutishana na kutiana hofu kujadili mifumo ya duniani...
2 Reactions
8 Replies
300 Views
Bonde la Ziwa Victoria chini ya Mkurugenzi, Dkt Renatus Shinhu waliandikiwa barua na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa kupitia kwa Katibu Tawala Wilaya, Athuman Kalaghe yenye Kumb Na. AB. 73 /171...
1 Reactions
1 Replies
719 Views
Sawa mrembo umefanikiwa kupata bwana mwenye pesa uliekuwa unataka, kwanini sasa usiishi kwa kumu-appreciate yeye na ubora wake huo uliokuwa ndoto yako Rather unamtumia ili ushindane na kunogeshea...
4 Reactions
16 Replies
549 Views
Rafiki wa mtaani, shuleni, chuo, n.k. mlikuwa washikaji sanaaaa kujuliana hali kila siku, muda mwingi mpo wote, kushare siri, n.k. lakini leo mmebaki kuchunguliana view stutus, Halafu hata...
33 Reactions
156 Replies
8K Views
Sasa mpaka vijijini wamefikiwa, mchina kajaza slots machines. M Machine zake nyingi ni sh. 200 ambapo yeye huweka sh. Elfu 60 tu , sawa na sarafu 300 tu za sh. 200 ya Kitanzania. Akiweka...
9 Reactions
24 Replies
1K Views
Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeeleza kuwa kuna shule kadhaa zinazofundisha masomo ya sayansi bila kuwa na maabara, hali inayotia wasiwasi hasa ikizingatiwa...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Fee ya utalii iwe moja tu nikimaanisha mgeni akilipa aweze kutembelea mbuga zote na hii itaondoa usumbufu na inconvenience kwa mgeni na itakuwa ni rahis kutangaza utalii
2 Reactions
2 Replies
203 Views
Wanajukwaa habari ya jumamosi. Naombeni wenye uzoefu wa KUUZA MAYAI mnipe uzoefu nataka kuanza na mtaji wa 2M niwe na flem naombeni changamoto zake pia bei ya kununua sokoni na KUUZA
2 Reactions
7 Replies
601 Views
Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao...
1 Reactions
3 Replies
349 Views
Je ulikuwa unaijua habari hii kumuhusu Adam na Eva? Karibu utoe mchango wako Source Jehova tv 😁
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Hata kama pengine bungeni kuna muda wa kuchekesha au kusema utumbo utumbo ndo useme hivi kweli ? Mwisho wa siku ulipwe posho ?
0 Reactions
1 Replies
266 Views
Kupitia wasafi FM baba levo naona amekuwa kero sana yani mnawezaje kumpa mambo ya uchumbuzi kuanzia uchumi,michezo mpaka kimataifa wakati sio taaluma zake. Uwezi kukashifu watu na kutaja majina...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa. Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni...
26 Reactions
223 Replies
9K Views
Wakuu vp huko kwenu mshahara tayari umeingizwa wale ambao tunatumia NMb? Maana kwangu bila bila aisee
2 Reactions
13 Replies
893 Views
Uongozi wa Kampuni ya China Tanzania Security umetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Mwanachana wa JamiiForums.com aliyeandika kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambao ni Walinzi wanaosimamia Vituo kadhaa...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ametoa wito kwa madaktari na wauguzi kote nchini kuwa na utu wanapowahudumia wagonjwa, hususan wale wanaoshindwa kulipia...
1 Reactions
7 Replies
569 Views
Back
Top Bottom