Wapenda Gym wengi na skendo za ushoga na waume za watu

mfichuamambo

Member
Jul 22, 2021
99
274
Hii nimeitoa mahali mimi nimeileta ilivyo
*MUME WAKO AU MPENZI WAKO KAMA ANATEMBEA NA MASHOGA KWA SIRI UTAJUAJE?FANYA HIVI

Jana kuna dada kaomba talaka yake kisa tu alimfumania mume wake anafanya mapenzi na mwanaume mwezie yaani shoga!Ukiwa na mwanaume ni mtu wa Gym sana hapo ujue kabisa hakosi kuwa anatongozwa sana na mashoga au anatembea nao kwa siri.....Wakaka wa Gym asilimia 90% ndo michezo yao

Ukiona mwanaume wako ana mwili wa mazoezi na anajipostigi mitandaoni sana au anaposti picha alivyojazia possibility ya kutongozwa kwa mashoga ipo kwa asilimia 99%

Wamama hii dunia imebadilika sana, wakaka wa Gym na walojazia do wanaongoza kwa kua mashoga maskini wengi wanapenda hela utakuta anataka kumfanya mtu au kufanywa ni hadi apewe hela

Kagua messenger ya baby wako ya fb ukikuta hakuna msg za mashoga wakimtongoza basi shukuru mungu maana hali ni mbaya

Kundi jingine ni wanaume wote wanaoweka picha zao fb kama baby wako ni handsome jua lazima wanamtongoza sana, kama baby wako ni mtu wa kuvaa vizuri smart na anapost juu wanamtongoza sana

Ingia messenger yake uangalie huko, halafu kibaya zaidi sikuhizi mashoga.sio kama wale kina james delicious au kaoge unakuta ni mtu na heshima zake mume wa mtu kabisa, wengine ni madaktari, wengine ni vigogo wa serikali watu na heshima zao lakini nao wanaliwa na hawa wapo tayar kuwarubuni wanaume wenzao kwa pesa ili wawafanye hii imewafanya wakaka wengi wa gym kuwa mashoga, wanashawishiwa kwa pesa wawafanye lakini wakizoea wanapandishwa dau nao wanafanywa

Sasa unaweza kushangaa kila siku fangas na uti haziponi kumbe mr wako anatoka na wanaume wenzake kwa siri...WAKATI SISI WANAWAKE TUNASUMBULIWA NA WAHINDI MESENJA WANAUME WAO WANATONGOZWA NA MASHOGA
 
mshikaj wangu mtu gym hizo kesi za kutongozwa amekutana nazo saana mpaka ikabidi sku moja aniulize mwanangu nina shida ganii mbona mashoga wanani dm sana ,nkamwambia apunguze kujiposti kifua wazi mnoo, sema yeye wazungu na wasouth ndo walikua wanamfatilia sana .sijui kama mpaka sasa amesalimika
Mwanaume Rijali kujipost post ni aina nyingine ya Ushoga. Aidha anawala au unaliwa. Full Stop.
 
mshikaj wangu mtu gym hizo kesi za kutongozwa amekutana nazo saana mpaka ikabidi sku moja aniulize mwanangu nina shida ganii mbona mashoga wanani dm sana ,nkamwambia apunguze kujiposti kifua wazi mnoo, sema yeye wazungu na wasouth ndo walikua wanamfatilia sana .sijui kama mpaka sasa amesalimika
Umeona sasa
 
wanashawishiwa kwa pesa wawafanye lakini wakizoea wanapandishwa dau nao wanafanywa
emoji24.png
emoji24.png
emoji24.png
Hii mbona kali yaani wanaingia chumbani kama mabasha halafu wanaongezewa pesa kidogo nao wanainamishwa
 
Back
Top Bottom