Kuna hii stori huwa watu wanapenda kuibonga kila siku, eti “Hiki kizazi kimeharibika mbaya!” Wanatuzushia sisi wa kizazi cha amapiano,kana kwamba tumezaliwa na chuki ya ndoa, mapenzi ya ajabu, na...
Soma vizuri ni USEMBE sio SEMBE
Hii ni aina ya uchawi ambao husambazwa kwa kupulizwa uko kwenye mfumo wa unga unga (sio madawa ya kulevya)
Usembe ni mbaya usembe hapigwi mtu mmoja bali kikundi...
Salaam, Shalom!
Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi.
Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi ni...
Ndugu Yohana Mashagala ametoa Ushahidi wa Nguvu ya asili kuleta mvua kijijini, baada ya mfungo, na maombi ya kanisani kushindwa kufungua milango ya mvua,
akanikumbusha juu ya Hekima za huyu...
Nianze kwa kusema kuwa, Moja ya Entertainment/burudani wananchi wanayopata ni kufikia msimu wa Uchaguzi, ni msimu ambao tunasisimua mishipa ya raha hasa katika ufuatiliaji wa zoezi la uchaguzi ...
Salaam, Shalom!!
Baada ya Pope wa Katoliki kuwadissapoint waumini, Mzee wa Upako,kama anavyojiita, Tingatinga, ametoka hadharani na kuhalalisha pombe Kwa waumini wake.
Ameongea hayo madhabahuni...
MIMI PIA 🥺 tena nikaumia sana kuja kuona mtaji wangu ndio wa majaribio.Hiyo ilikuwa 2024 kariakoo.
Hapa kuna mfano mwingine wa ujumbe wa kuhamasisha watu kununua kitabu chako:
Nikasema imetosha...
Watanzania wengi maisha yetu hatuishi kwa kujiajili wengi tumeajiliwa na waajili
Lakini katika kuajiliwa huko wapo ambao wameajiliwa na watu sahihi lakini wapo ambao wameajiliwa na watu wasio...
Wanaofikiri ni wengi ila wanaoanza ni wachache! Unajua kwa nini? Kuanza ni kazi ngu sana!
Watu wana mawazo mazuri ila wameshindwa kuyabadilisha kuwa pesa, kuwa mali, kuwa mtaji, kuwa maisha...
Awali ya yote kwa moyo wa dhati tunamtakia kupona kwa haraka baba mtakatifu Fransisco na kujerejea katika utumishi wake wa kanisa kama mchungaji mkuu .
Sote tunatambua jitihada hazishindi kudra...
1. Nigeria vs Ghana
Haya mataifa Huwa kama Simba na Yanga, huwa hawakubaliani Kabisa, kuanzia kwenye siasa, uchumi michezo n.k
Mfano kwenye michezo mitandaoni Kuna ubishi wa nani Bora kati ya...
Habari wanajamiiforum
Heri ya Pasaka,
Je wote pia ni wazima kabisa
Samahani ndugu zangu Jana nilitumiwa sms kutoka shule anayosoma mtoto na Mwl wake Toka January alianza chekechea sms hii
Ndugu...
Nashindwa kuelewa Kigoma tuna bahati mbaya gani kwa sababu Tanzania nzima serikali imewasaidia wahanga wote lakini Kigoma hatujasaidiwa, tunaomba tu Serikali itusaidie na sisi" - Mwananchi.
Wananchi zaidi ya 8,000 Katika Kijiji cha Ndogomi , Kata ya Magenge ,Wilayani Gairo Mkoani Morogoro wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya Maji safi na salama mara baada...
Wakuu.
Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgogoro mkubwa wa kibiashara kati ya Malawi na Tanzania, mgogoro ambao ukiuangalia kwa umakini, madhara yake yanaweza kuwa makubwa hasa kwa upande wa...
Si bure hata Watanzania wenyewe wanaamua kusaka wafanya kazi Kenya, Uganda na hata Rwanda, mwanzo sikuwa nawaelewa ila kwa sasa nawaelewa sana na nawaunga mkono sana.
Ni mwekezaji fala atakuja...
Wakuu kuna mambo ambayo kisheria yako sawa ila kiustaarabu yana ukakasi. Kwa mfano hili suala la wazee wa zaidi ya miaka 60 kuwa na mtoto mdogo na kabinti. Yaani kabinti kadogo kanachopaswa...
Hili swala linaniwazisha sana. Inakuwaje haya mataifa ya wenzetu kupata kazi ya kufanya yoyote sio big issue sana. Ilhali nchi zingine kama kenya ,rwanda ,zimbabwe na nchi zingine za huko asia...
Zipo bendera za Taifa duniani zenye kuvutia,
Lakini tuweke sawa kumbukumbu, hivi hapa duniani, Kuna bendera nzuri ya Taifa kuliko Ile ya Tanganyika?
Nakupenda sana Nchi yangu Nyikani ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.