Nikiwa Rais wa Tanzania yatafanyika maboresho kwenye shule za msingi kama yafuatayo;-
Kuongeza wigo wa masomo ya kingereza
Kuongeza somo la compyuta
Kuongeza vigezo vya walimu wa msingi
Wakati wa Sala katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani, Sheikh alieleza kuwa licha ya kuwa ulimi si mfupa lakini unavunja mifupa, na pia ulimi siyo upanga lakini unamwaga...
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua.
Waziri...
Mjadala kuhusu maendeleo ni mtambuka sana. Watu wamegawanyika juu ya dhana hii, wapo wanaodhani maendeleo ni upatikanaji wa huduma za kijamii kama vile hospitali, barabara, umeme, elimu nk...
Huyu hapa Prince Al-Waleed bin Khaled bin Talal, ambaye anafahamika ulimwenguni kwa jina maarufu la “Sleeping Prince” April 18 mwaka huu, alitimiza umri wa miaka 36, ambapo umri huo umemkuta akiwa...
Wakuu naomba mtu mwenye uelewa na mambo ya Madini pamoja na Mikataba anieleweshe ili nami nipate kuelewa !
Tanzania imebarikiwa Kuwa na Madini tofauti tofauti ambayo bila shaka yangetutoa kwenye...
Hii mahususi kwa watu wangu hasa kizazi Cha miaka ya 70, mpaka 80 hivi enzi hizo nchi Tanzania mikoa mingi bado mapori, watu wakimaliza darasa la saba kama wapo wanafunzi 200 wanachaguliwa kwenda...
John Huss: Kichwa cha Mapinduzi ya Kidini na Vita dhidi ya Kanisa Katoliki
John Huss alikuwa mchungaji na mwana-theolojia kutoka Bohemia (leo inajulikana kama Jamhuri ya Czech), ambaye...
Wadau hamjamboni nyote?
Toka wiki iliyopita tumekuwa na mjadala mzito usioisha unaohusu Ushahidi wa Kibiblia uliotabiri ujio wa Mtume Mohamed
Hapa tulipo hakuna anayebisha kuhusu uhalali wa yeye...
Na Mwandishi Wetu
CHAMA cha Wafanyakazi katika Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binaadamu nchini (THRDC) wamelaani kuanza kuibuka matukio ya waandishi wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel, ambayo ni kampuni tanzu ya Kampuni ya...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kijamaa ya VietNam zimeafikiana kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano wa kiuchumi na Kijamii ikiwa ni juhudi za kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi...
Wadau na Waandishi wa Habari wakifuatilia uwasilishaji wa mada na majadiliano katika siku ya kwanza ya Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari lililofanyika leo tarehe 28...
Habarini wanajamii..
Mimi ni mkristo wa moja ya madhebu ya kikristo, huwa napenda kuheshimu kila imani ya mtu, hata kama haamini vile namini. Kilichonifanya kuja hapa; ni mashambulizi ya kihasira...
Habari wadau.
Binadamu ana mahitaji mengi sana, na mojawapo ya hitaji la lazima la sasa ni elimu.
karibu Mahitaji yote ya binadamu yanahitaji Fedha kupatikana.
Kipato chako kinapaswa uweze...
Habari wakuu,
Kwenye maisha Kuna mambo mengi na mengi bado hayafamiki,lakini Kuna msemo wa wahenga kua ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni.
Mimi ni kijana mwanaume ambayo katika pitapita...
Baada ya hivi karibuni matokeo ya mtihani wa leseni ya wafamasia kuzua mijadala mingi miongoni mwa wadau, Baraza la Famasi Tanzania limeamua kufanya siri hata muhutasari wa matokeo hayo kwa hofu...
Tekinolojia na miungu ya kale.
Kuna movie moja niliona, inaongelea project ya mwaka 2050. Kwamba miaka hiyo kutakuwa na magari ya kupaa na maraboti yanayojiongoza(artificial intelligence). Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.