Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Angalau viongozi wa dini wameanza kuwa wakweli na wameanza kuwaheshim waumini wao hii kuonyesha kwamba angalau Kuna mabadiliko makubwa kwenye jamii yetu. Naamini huu ni mwanzo tu huko mbele najua...
2 Reactions
6 Replies
348 Views
Sidhani kama uko nyuma ilikuwa kama ivi lakini sasa inaonekana kila kona udalali wa kila kitu ingawa hata kazi ya huo udalali huioni. Kwa kawaida maana ya udalali ni kwamba anakuwa mtu wa kati ya...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Maeneo kadhaa ambayo yamekuwa yakitumiwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kibinaadamu kando ya Ziwa Victoria upande wa Mwanza yamekuwa yana magugumaji ambayo yamekuwa changamoto na kukwamishwa...
1 Reactions
3 Replies
647 Views
Jimbo Katoliki la Same limeishusha hadhi Parokia ya Ugweno iliyopo Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro kuwa kigango kwa madai waumini wake wameshindwa kuonyesha ushirikiano kwa Paroko wa kanisa...
1 Reactions
5 Replies
778 Views
Historia ya taifa letu inatufundisha kuwa mapambano ya kudai haki yamekuwepo tangu enzi za ukoloni. Hasa kipindi cha utawala wa Wajerumani, jamii za Wakristo walionekana kuwa mstari wa mbele...
0 Reactions
10 Replies
499 Views
Papa anapofariki au kujiuzulu, mchakato wa kumchagua papa mpya huanza na kongamano, ambapo makadinali walio na umri wa chini ya miaka 80 hukusanyika katika Kanisa la Sistine Chapel. Baada ya kifo...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limeamua kuanzisha bustani za Wanyama pori kwenye kambi zake. Mpaka sasa vikosi vya Mbweni JKT ya DSM na Ruvu JKT ya Pwani tayari vina wanyama na mtu yeyote anaweza...
0 Reactions
3 Replies
436 Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amelaani, kukemea na kuchukua hatua za kisheria kufuatia kitendo cha Wasichana kadhaa walioshirikiana kumdhalilisha...
12 Reactions
39 Replies
3K Views
My Take Na mashaka na Hilo dhehebu, kama ni dini ya Imani ya ukweli au ni cover tu. https://www.instagram.com/p/DItJDA2oZ6a/?igsh=eGR1MDVtMG42ODd0
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba viongozi wangu wa dini wasitumie madhabahu kama majukwaa ya kisiasa kwani waumini tunao Sali ni wafuasi wa vyama mbalimbali hivyo matamko na misimamo ya kivyama...
2 Reactions
14 Replies
721 Views
Kuna habari imenishitua kama sio kunishangaza. Ni kwamba tulikuwa sehemu fulani tunapiga stori mara akapita Muuza Samaki kwenye Deri. Ndipo ikaibuka stori ya Pweza mbichi aliyevuliwa muda mfupi...
2 Reactions
8 Replies
754 Views
Fosili mpya iliyogunduliwa ya Vasuki indicus huko India imeleta mwanga mpya kuhusu ukubwa halisi wa nyoka huyu wa kihistoria. Inakadiriwa kuwa na urefu wa hadi futi 49 (sawa na mita 15), sampuli...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Haya nimeyakuta kwenye page ya Maduskodusko Entertainment huko TikTok kupitia Wimbo wa kiingereza unaoitwa " GODDESS LIL KIM", Ushahidi wa You Tube huu hapa: 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇...
5 Reactions
98 Replies
4K Views
Sasa hivi ukishakua na mtoto wa kike ni kama nusu hasara kibaya zaidi hata wale tunaowategemea wawe smart kichwani mfan wasomi wanavyuo n.k ndo wanafanya blunders . Kimsingi mabinti wengi...
12 Reactions
37 Replies
1K Views
Polisi uitwa Jeshi la kulinda watu na mali zao, lakini jeshi letu hili la polisi limekuwa ni jeshi la kulinda wanasiasa na familia zao. Hakuna watu nchi hii wanaogopa kupoteza kazi kama polisi na...
1 Reactions
5 Replies
358 Views
Kwa muda mrefu, betri zimekuwa chanzo kikuu cha nishati katika vifaa vyetu vya kila siku kama simu, kompyuta mpakato, na sensa mbalimbali. Lakini sasa, sayansi imevuka mipaka – kuna betri mpya...
2 Reactions
3 Replies
594 Views
Wanatia huruma ya kuhudumiwa, lakini katika upokeaji wao hawaji na appreciation ilio genuine, appreciation yoa inatoka mdomoni lakini haionganishi doti akilini mwao kuwa wanapaswa wakupe heshima...
3 Reactions
21 Replies
793 Views
Happy Easter Wana Jf, Twende kwenye mada! Kila nchi Ina Hela yake na bila shaka Kuna sehem ambapo hizo Hela wanaziprint then serikali inaziingiza katika mzunguko. MASWALI Hivi kwann licha ya...
3 Reactions
10 Replies
450 Views
Mimi ni Kijana wa mwaka 1995 . Nimeamua kuanzisha Movement inaitwa "Time for Youth" Lengo la hii movement ni kuondoa mifumo yote ya kitapeli iliyopo Tanzania . Kisiasa . Kijamii Kiuchumi Ikiwa...
6 Reactions
27 Replies
748 Views
Hivi Kuna watu wantuma pesa kirahisi kabisa mda huu Kuna jinga linatuma sms ya hivi aisee tanzania imeshindwa kuwashugulikia Hawa wajinga maana ni usumbufu sana aisee watanzania tufanye kazi hii...
1 Reactions
4 Replies
464 Views
Back
Top Bottom