Nimeona kijana tajiri aliyekuwa na biashara kubwa akizikwa kiurahisi kabisa baada ya kufa ghafla.
Nikiwaza Ile fahari aliyokuwa nayo, nasema hapa duniani tuishi kwa upendo na unyenyekevu maana...
Elizabeth Munisi ambaye ni Mke wa Mfanyabiashara aliyepotea tangu December 11,2024 Jijini Dar es salaaam, Daisle Simon Ulomi, ameiomba Serikali kupitia Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuendelea na...
Anaandika mzee Joseph Jandwa
Leo 3/5/2023 imetimia miaka 25 tangu ajali ya basi iliyosababisha vifo vya abiria 96 na majeruhi 9, ilipotokea jioni ya tar 3/5/1998. Kihistoria haijawahi kutokea...
MATATIZO YANAYOIKUMBA VETA TANZANIA NA NAMNA YA KUYATATUA
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) nchini Tanzania ni taasisi muhimu inayotoa mafunzo ya ufundi kwa vijana ili kuwapa...
SERIKALI imewasihi Wanawake na jamii kwa ujumla kuacha tabia ya kutupa watoto na endapo itatokea kuna mtu ameshindwa kutekeleza jukumu la malezi ya mtoto basi atoe taarifa katika Mamlaka za...
Lengo la huu Uzi sio kubeza wala kudharau taasisi muhimu hii ya Elimu ya juu nchini, bali kutoa ushauri kwa lengo la kuboresha mazingira ya chuo,ambayo kimsingi hayavuti Sawa na hadhi ya Chuo...
Huyu alikuwa farasi mkubwa wa mbao wa kutengenezwa.
Alitengenezwa na jeshi la Ugiriki.
By then kulikuwa na vita baina ya Wagiriki na Troy.
So baada ya kupigana sana, mwisho wa siku Wagiriki...
Mkuu wa Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro, Jabiri Makame, amewataka vijana nchini kujiuliza na kutambua sababu ya uwepo wao duniani, akisisitiza umuhimu wa kila kijana kujiwekea malengo ya maana na...
Ugonjwa wa MPOX unaenezwa kwa njia ya ngono.
Hii siyo njia pekee isipokuwa kwa kiasi kikubwa watu wazima wanapata ugonjwa huu katika mchakato wa ngono au tendo la ngono lenyewe. Vimelea hukaa...
Kwa Waziri,Mh Mohamed Mchengerwa,Waziri wa TAMISEMI.
Sisi wafanyabiashara wa mji wa Maswa kunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu utaratibu unaoendelea wa kuchangishwa fedha na Katibu Tawala...
Kwenye taasisi nyingi iwe serikalini au private sector , asilimia kubwa ya watu wa uhasibu na masijala wanasumbua sana, muhasibu kukamilisha malipo hadi umbembeleze kama vile hiyo pesa inatoka...
Adhimisho la Ibada ya Misa takatifu katika mahafali ya 27 ya Chuo Kikuu cha Mt. Agustino cha Tanzania, yanafanyika leo Desemba 21, 2024 katika Viwanja vya Raila Odinga, chuoni hapo
Ibada hiyo...
Leo hii kalamu yangu itapaa na kusafiri hadi mbali, katika bara la Ulaya kusini mashariki. Kuitafuta nchi ya Ugiriki ambapo nitasafiri kilomita 9329.2 kwa muda wa masaa 126 hadi kufika kwenye nchi...
Heshma zenu wadau,
Kumekua na sintofahamu nyingi sana kwa wadau wengi wanaotaka kufungua kampuni za ujenzi kutokana na ufinyu wa habari zinazohusiana na mambo haya ya ujenzi,sasa leo nitawajuza...
Hello habari za majukumu!
Niliajiriwa serikalini (kama mwalimu)miaka miwili iliyopita lakini baada ya miezi 6 nikaacha kazi si kwa kupenda ila kutokana na mazingira magumu ya kazi na kujikuta...
Nadhani ndugu zangu Wana jamii forum mnajionea kwa Haya yanayoendelea..mwanzoni ccm walijificha kwenye kichaka Cha 'amani" amani' amani" waliiminya haki huku wakiimba wimbo wa amani na yeyote yule...
1. Tanzania imetangaza kuchora ramani yake vizuri.
2. Malawi kaanza chokochoko, ukiingia kwenye discussion zao, wana hasira sana na Tanzania sio tu kwa sababu ya mazao ila kwa sababu ya ziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.