Wadau, nawapa tahadhari kuwa huu mkopo wa NMB wa Mshiko Faster, unapanda na kushuka utadhani bei ya hisa kwenye masoko ya hisa kwenye masoko ya hisa duniani. Kwahiyo, ukikopa, usitarajie kile...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Nimepewa Taarifa na washikaji zangu hapo Dar es salaam ya kwamba kuna watu (Mwanamke 1 & Wanaume 2) wananitafuta!
Nikiwa Niko hapa Mbeya takribani miezi...
Operesheni Mogadishu: Jinsi Marekani ilivyolazimika kuikimbia Somalia na askari waliovuja damu kwenye malori
Chanzo cha picha,Getty Images
Maelezo ya picha,Helikopta za Black Hawk zilitumika...
Habari,
Kumekuwa na changamoto kubwa nyakati za jioni kwa daladala za Buhongwa kwenda Usagara kwani abiria wote wanaoshuka njiani wanaliopishwa nauli sawa na anayefika mwisho wa gari hali...
Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema ndiyo watakao ingia
Kumekuwa na idadi kubwa ya wajinga...
Naam, habari wana JF, Naam ni mpango wa muumba kila kiongoz anayepatikana ktk sehem yeyote ilee huwa ni kusudio lake vyovyote awavyo.
Lakini kwetu sie watakiwa inaweza kuwa adhabu au iwe huruma...
Dini inayofuata kwa kukua ni ubuda au dini ya mabaniani na dini iliyoathirika mno ni ukristo.
Tukianza na dini ya uyahudi,dini hii inatumia nguvu na hadaa za kila namna hasa za maandishi ili...
jamaa siku ya kwanza kuripoti kazini kwenye kituo kipya anapewa kazi ya kupeleka wafungwa sita Gereza jipya , ni askari mzuri lakini wafungwa hao ni wakatili balaa
kizazasasa kinatokea baada ya...
Haki na Amani.
Wanasiasa wa Africa, au Tanzania malazote Kwenye majukwaa utakuta wanazungumzia tudumishe Amani.
Swali Huwa najiuliza, Mbona awazungumzii swala la Haki na Usawa, Maana Palipo Na...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Morogoro, Mhashamu Lazarus Msimbe amesema uongozi wa kweli hauna uhusiano na kutumia nguvu wala kulazimisha watu kufuata mawazo ya kiongozi, hasa kama mawazo hayo...
Salam kwenu Wajenga nchi na Wabomoa Nchi, wajinga kwa wenye hekima.Nchi hii ni yetu sote, tuvumiliane.
Nakerwa sana na tabia iliyoibuka ya kumuita Thomas Sankara eti Che Guevara wa Afrika.
Huo...
Tupo katika dunia ambayo kwa sasa maendeleo ya binadamu, miundo mbinu na ya sayansi yamekuwa yakionekana kuwanufaisha watu hata kiuchumi. Hapa arusha msafara wa viongozi ni kero kwa wataftaji...
Utafiti hupingwa na utafiti
Chuo kikuu hicho kimesema ikiwa wakoloni waliweza kufanya maendeleo makubwa kuliko tawala za wazawa.
Watafiti wakasema " Usimamizi mbovu wa rasilimali za nchi za...
Msafara wa magari ya serikali, kuna ushamba wa maspidi kupindukia.
Ajali msafara wa wabunge, watu 6 walifariki
Polisi watatu walifariki ajali msafara wa Magufuli
Ajali msafara wa Mkonda huko...
Na Mwandishi Wetu, JAB
Tanzania imepiga hatua katika viwango vya kimataifa vya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa kupanda kutoka nafasi ya 97 mwaka 2024 hadi nafasi ya 95 mwaka 2025.
Kwa mujibu wa...
Ndugu zangu Watanzania, kumekuwa na matatizo kadhaa yanayotukabili katika Taifa letu.
Kwa ufupi naomba tutathmini ikiwa njia tunazotumia kutatua tatizo ni sahihi kulingana na tatizo lenyewe au...
Habari Wakuu!
Bila kupoteza wakati.
1. Unamwomba mpenzi/ Mkeo Ngono.
Ukiona Mkeo au mpenzi wako anakupimia michezo ya kitandani na wewe unamwomba ujue wewe ni mwanaume uliyekata tamaa, usiye na...
Kama unatoka katika familia ya walevi, usimamishe wewe huo mzunguko. Usiache ulevi uendelee kwenye kizazi chako kijacho.
Kama unatoka katika familia ya watu ambao hawamalizi masomo, hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.