Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) linakanusha vikali waraka wenye kichwa cha habari "WARAKA WA KICHUNGAJI KUSOMWA KATIKA PAROKIA ZOTE, VIGANGO, NA JUMUIYA NDOGONDOGO ZOTE NCHINI TANZANIA...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umewakutanisha wanahabari 150 kutoka maeneo mbalimbali nchi ili kuwawezesha kuelewa sheria za uchaguzi,maadili ya kazi,usalama kazini na...
Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna Nchini ya Tanzania inavyokuza na kulinda Haki za...
Ustadh Mazinge anasema amesikia kuna mtu anaiamrisha serikali kwamba imto mtu ambaye yupo katika kesi. Amesema mbona wao wamewahi kukaa jela na habari kama hizo hawakuzisikia
"Unaposema wewe...
Kosea vyote ila usikosee kuoa na kuchagua course ya kusoma chuo kikuu, utakuwa umeua future Yako.
Nauliza hii bachelor degree in Gender and Development kwa nchi kama Dubai Qatar Canada Sweden...
UTANGULIZI
Biblia inasema wazi kwamba damu ya mtu asiye na hatia hailali kimya. Husema, hulia kutoka ardhini ikiomba kisasi. Katika Mwanzo 4:10, Mungu anamwambia Kaini baada ya kumuua nduguye...
kuangalia miamala yako unatakiwa kulipia pesa 400, Utafyekwa elfu 20 sijui card fees kila miezi 6, kila mwezi kuna makato ya account, bado kuna vi elfu tatu mara elfu nane visivyo na sababu...
Kama Watanzania tungekuwa tunajua kufuatilia mambo ya maana tungeendelea hata kwa kiwango kidogo ajabu ni kwamba watu wanaangalia vichekesho tu vya kina side na Leonardo jamani crip za Simba na...
Habari zenu wadau, naomba niwarudishe nyuma kidogo juu ya swala hili la nyongeza ya mishahara
Niwatake ndugu, jamaa na marafiki wawe tu watulivu kwa hawa walengwa walioongezewa 35.1% ambayo ni...
2 Mei 2025, Dar es Salaam, Tanzania – Benki ya Exim Tanzania imeanza mwaka kwa mafanikio makubwa, baada ya kuhitimisha robo ya kwanza ya mwaka 2025 kwa matokeo chanya yanayoonesha kasi ya ukuaji...
Picha: Mchungaji Eliona Kimaro
Semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60...
Asilimia 90 ya Watanzania ni vijana na Kati Yao asilimia 80 ni Gen Z.
Gen Z hawanaga mambo ya dini.
Mambo ya dini ni ujinga ujinga tu.
Ni Sisi tulio zaliwa miaka ya themanini, wadogo zetu wa...
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hili Padre Charles Kitima amesema wanatafakari na kujiuliza...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia ni Kiongozi ambaye Ameletwa na Mungu kuleta Furaha kwa Watanzania,Ni mama mwenye upendo, ni mama mwenye huruma ,ni mama mwenye kuguswa na Maisha ya...
Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi...
Familia ya Marehemu Ediga Mwaniwe wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi kwa siku sita imekataa kwenda kuchukua mwili wa ndugu yao kwa ajili maziko uliohifadhiwa katika hospital ya Manispaa hiyo kwa...
Nilitaka kusajili laini leo, zaidi ya mara 3
Naambiwa taarifa zangu hazipo NIDA,
Hawa NIDA 😰😰 kwahiyo me nitoke kigoma nikafate kitambulisho Temeke daah
Meta inatishia kufunga Facebook nchini Nigeria kutokana na kutozwa faini kubwa
Watu nchini Nigeria wanaweza kupoteza ufikiaji wa Facebook na Instagram baada ya kampuni mama ya Meta kusema...
Makala maalum;
Je, wajua kuwa Mwanamke au Msichana akibakwa na kupata ujauzito, akitolewa au kutoa ujauzito huo anaweza kudondokea kwenye mikono ya jinai? wakati ukitafakari hilo, hivi unafahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.