Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wauguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) washiriki Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani kwa kutoa elimu kwa wazazi jinsi ya kijikinga na watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa...
2 Reactions
0 Replies
273 Views
Kufuatia kuongezeka kwa miamala ya fedha za kigeni katika manunuzi ya bidhaa na huduma mbalimbali nchini, Wizara ya Fedha kupitia Sheria ya Benki Kuu, Sura ya 197 imetangaza Kanuni za Matumizi ya...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Changamoto na vikwazo katika maisha ya wanaume huenda vikawa visivyo na faraja, lakini vinaweza kuwa kichocheo cha kugundua uwezo na nguvu zako zilizojificha. Ni muhimu kuvumilia nyakati ngumu ili...
13 Reactions
74 Replies
2K Views
Mabilionea wengi hutofautiana na watu wa kawaida kwa namna wanavyotazama fursa, kutathmini changamoto, na kupanga mikakati. Badala ya kufikiria tu jinsi ya kupata pesa kwa sasa, wao hufikiria kwa...
1 Reactions
0 Replies
329 Views
Kwani aliemzalisha singomaza alafu yeye bado yuko single anapaswa kuitwaje? Au usingofaza ni hadi pale mwanaume anapo achiwa watoto na mzazi mwenza? Single dads mpo?
2 Reactions
12 Replies
502 Views
Nashangaa sana napokuta mtu mwenye ngozi nyeusi kutoka Africa hakiwacheka waarabu eti wavivu, wahajaelimika na maendeleo Yao mengi wanawategemea wazungu, Yaani nikisikia kauli hizi ndo pale...
7 Reactions
52 Replies
2K Views
Wanaukumbi kwa wale tulio'apply bahati nasibu ya kuingia marekani kwa program ya US DV-Lottery. Matokeo ya bahati nasibu hiyo ni leo tarehe 03/05/2025 majira jioni, probably kuanzia saa 1 usiku...
2 Reactions
109 Replies
4K Views
KUNA MWANACHAMA WA CCM AMEANDIKA KUWAAULIZA WANA CCM WENZAKE MSOME👇 Hivi Tatizo letu ni Chadema Kweli? Wana CCM wenzangu naomba tujiulize, hivi wanaotusumbua ni Chadema kweli au ni Wananchi...
3 Reactions
4 Replies
459 Views
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza kuwa watahiniwa 134,390 wamesajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita, huku 10,897 wakitarajiwa kufanya mtihani wa ualimu kuanzia Mei 5 hadi 19...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Wakuu Bwana Yesu asifiwe, Natumai ibaada ya leo jumapili imeenda kama Bwana alivyopanga Ndugu zangu wakristo na wa dini zote mnakaribishwa,huu ni uzi wetu sote,kuuliza maswali ambayo kwa namna...
2 Reactions
57 Replies
2K Views
Kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi nao huingilia kati na matokeo yake ni uchafuzi, kwa sasa nchi yetu inaelekea kwenye uchaguzi mkuu....yatupasa kuelewa kuwa wapo maadui wasio itakia mema...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Katika harakati za hapa na pale nilifanikiwa kuiona DSM kwa mbali aisee ni kajiji kadogo sana. Yaan magorofa vya posta kwanza yanayoonekana ni kama matatu tu, mengine kama ya kkoo yanaonekana ni...
1 Reactions
6 Replies
524 Views
RAIS SAMIA HAHITAJI TENA MKALIMANI WA HASIRA! Anaandika Ndimi Luqman MALOTO HONGERA jeshi la polisi kwa kutimiza miaka 60. Yupo mtu aliniandikia ujumbe WhatsApp, unaosema: “Polisi...
18 Reactions
68 Replies
4K Views
Hapa Pangani kuna kivuko kinachounganisha Pangani na Bweni kimekuwa na hitilafu za mara kwa mara na sasa kimegeuka kuwa chanzo cha usumbufu mkubwa. Wiki moja iliyopita, kivuko hicho kilipata...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Wa gwaan, Jah Rastafarai, Selasie I King. Wakush mpo? Ni amanii? Swali hili linawahusu pia ma-vegetariano (sio ma-vegan), watu wote ambao kwa sababu zao na za ki-maadili hawali wanyama (ila...
0 Reactions
4 Replies
875 Views
Achana na hiyo sauti ya jamaa
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Salaam zenu wanaJF, Historia inatufundisha hakuna utawala hatr na wa kutisha kama wa firaun lakini bado watu wake hawakuandamana walisubir mpaka pale muumba wao alipowanusuru Unajua kwasabb...
2 Reactions
6 Replies
408 Views
Mtoto wangu ameniambia wapeleke 3000 ya mtiani wa moko darasa la nne ila hawatoi risiti vp TRA wanapataje mapato yao?
5 Reactions
85 Replies
3K Views
Hata CCM na Samia wake wakisema Waungane na Walutheri, Waanglikana, Wasabato, Walokole (TAG) na Waislamu Shia na Simu bado hawatatimia Idadi Kubwa ya Wakatoliki waliopo nchini Tanzania. Na wenye...
57 Reactions
174 Replies
8K Views
Najaribu kuwaza tu asubuhi hii hapa. Pengine ni matokeo ya mihemko ya kimwili ya wazazi wetu ikapelekea mimba zetu zikatungwa. Hawakutarajia. Labda washua wetu walikuwa na ile mentality ya...
7 Reactions
26 Replies
936 Views
Back
Top Bottom