Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salaam! Kijana chunga vitu viwili la sivyo tutahangaika na tusijue wapi tulipokosea tutafute namna bora ya kutumia ulimi wetu si kila jambo tunaweza sema au nyeti tukazitumia kila mahala. kwan...
5 Reactions
4 Replies
451 Views
Siku nikipata access ya kushika mguu wa kuku.. Nitaondoka na kaki kadhaa.. Kama yule father of salander bridge Sina cha kupoteza.
7 Reactions
14 Replies
639 Views
Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa amesema Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika huku akiwataka watanzania kuendelea kuombea ili...
1 Reactions
1 Replies
591 Views
Miaka fulani kulikua na kampeni ya Kitaifa upandaji miti January Mosi ghafla ikahamishiwa Aprili ghafla ikapotea. Tumetoka mbali ndugu zangu
0 Reactions
4 Replies
341 Views
Ukiwa rais mzalendo Afrika na unania ya dhati ya kuleta maendeleo kwenye nchi yako, jambo la kwanza jifunze namna ya kujilinda, vinginevyo achia madaraka wakae wanao weza. Zaidi sana labda uwe...
0 Reactions
3 Replies
197 Views
Wakuu wa Jimboni kwa Waziri Mkuu mje mtuoneshe hayo mageuzi mliyofanyiwa huko. === Mkuu wa wilaya ya Ruangwa Nasoro Ngoma amesema aliyoyafanya Waziri Mkuu Kasim Majaliwa katika jimbo lake ndani...
0 Reactions
8 Replies
592 Views
Sababu Kuu Zinazowavutia na Kuzalisha Mbu: 1. Maji yaliyotuama Mabeseni, ndoo, madimbwi, matairi ya zamani, mitaro, chupa tupu au vifuniko vya plastiki vikiweka maji – haya ni mazalia ya mbu...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
namba kujua kama hich kitu kinaweza kua na Tija, yani mteja akiwa anakuja kunyoa namwambia aongeze jero kama charge ya network, naomba mnirekebishe hapa kabla sijaharibu pesa je nifanye vip ili...
4 Reactions
22 Replies
852 Views
Hapa ni Wilaya ya Mkuranga, Kata ya Mkuranga, Kitongoji Cha Miale, barabara hii hutumiwa na wakazi wa eneo hili, pia hutumiwa na Malori ya Tani zaidi ya 20 ya mchanga. Kipindi cha masika kama...
0 Reactions
2 Replies
516 Views
Wakuu nimevumilia nimechoka! Kuna Siri Gani kati ya jezi iliyoandikwa CREFISA na watoto wa kike? Au ninyi wenzangu huko mliko hamkutani nao? Najua na vijana wa kiume wanavaa ila sijawahi ona...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada itifaki yote imezingatiwa. Hapo jana huko Chatto mheshimiwa akitujia mubashara tokea kanisani, mbona ametuachia mengi fikirishi? Yeye mwenyewe...
11 Reactions
61 Replies
7K Views
Anonymous
Huko mkoani Kagera, katika Hospitali ya Jimbo Katoliki ya Mugana, wafanyakazi wa Mission Sector wanakutana na changamoto kubwa. Baadhi ya stahiki zao, ikiwemo michango ya NSSF, hazipelekwi ingawa...
1 Reactions
1 Replies
343 Views
Anonymous
Tungepewa uUhuru tuchague Kati ya TUGHE na TALGHU tujiunge na chama gani baada ya wote kutuelezea faida na maslahi tutakayopata endapo tutajiunga na chama husika. Lakini imekuwa tofauti...
1 Reactions
3 Replies
415 Views
Wadau wa JamiiForums, habari Natumaini wote ni wazima wa afya na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Leo nimekuja na hoja moja ya kipekee ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikinihangaisha...
28 Reactions
210 Replies
7K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa, amewataka wakuu wa mikoa kote nchini kutekeleza majukumu yao kwa ujasiri bila kumuogopa mtu...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Yesu alikufa bikra wa kiume hakutaka kujushughulisha na hisia,aliishi kukemea na kuabudu. tunapata picha kuwa sex ni inshu ya energy consuption ibilisi anaweza akakukosa wewe na akaingia kwa...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Anonymous
Tunahitaji msaada kwa kweli, sisi wakazi wa maeneo ya Honda na Mwajasi hapa vikindu, hili Daraja kila msimu wa mvua lazima tuji mobilize na kufanya marekebisho ili bajaji, pikipiki, magari madogo...
0 Reactions
5 Replies
389 Views
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amewataka Watanzania kumlilia Mungu ili roho za uovu dhidi ya watu wengine zipotee, huku akiwasihi kumuombea Padri Charles...
1 Reactions
8 Replies
798 Views
Wanawake wamejawa na uovu mwingi kuliko wanaume na ndio vinara hata kwenye ushirikina hata kwenye maombezi wanawake huwa wanaoongoza kuanguka mapepo kutokana matendo yao yanavutia zaidi pepo...
1 Reactions
5 Replies
330 Views
Habari.. Katika maisha yetu ya kila siku ni vyema kuwa na RATIBA yoyote inayoongoza maisha yetu kama ni kwa Wiki,Mwezi, Miezi au hata Mwaka...Almuradi tuu tusiache kuwa na RATIBA inayotoa...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Back
Top Bottom