Afande Muliro usipojiangalia kwa kauli zako nyepesi na majibu rahisi utakuwa unajiwekea wakati mgumu kwa wananchi na Polisi Tanzania nzima.
Mpaka sasa ni wazi polisi mshakuwa na mifumo ya...
Habari ya jion Leo mchana nimejarbu kumuuliza Binti yangu ndoto yake ni ipi katika maisha yake huwezi amini anasema atamni kuja kuwa POLISI
Je kama mzazi naweza kubadili au kisitisha...
Naomba kufahamu, kama kesi ilienda mahakama ya kadhi na TALAKA ikatoka kupatiwa mke, Je wakiridhiana wanaweza rudiana, au nini hatma yake!?
Nawasilisha
Katika dunia ya leo inayobadilika kwa kasi, changamoto ya ajira kwa vijana imekuwa ni tatizo sugu linalokabili nchi nyingi, ikiwemo Tanzania. Kila mwaka, maelfu ya vijana wanahitimu vyuo vikuu...
Mara paaaap unaulizwa kitu gani kinachokukwamisha? I know you will stick on the point of financially,so Unazani kwa fikra zako pesa ni tatizo au changamoto kwetu?
Tujifunze kiswahili na fikra kidogo
Wakuu,
Nimeacha uhuni nimemrudia Mungu mkuu anitiaye nguvu.
kuanzia jumapili iliyopita niliokoka na kutube dhambi zangu na kuanza upya,nimekuwa mtu wa kusoma Biblia,mtu wa maombi na mtu wa...
Moja ya vitu ambavyo mpaka leo sijafanikiwa kuacha ni usomaji wa vitabu mbalimbali Fiction na Non- Fiction. Nimekutana na waandishi mbalimbali ndani na nje ya Tanzania kwa kupitia Vitabu vyao na...
Kumekuwa na matumizi mabaya ya kukera ya simu.
1. Mtu anakupigia simu hujapokea anaendelea kupiga tena na tena. Ukija mpigia baadaye unamuuliza shida nini anakwambia alikuwa anakusalimia tu...
Wakuu habari zenu.
Naomba kujua hela yangu halisi/iliyopo kwenye acc yangu ya Nmb ni ipi.Kuna gap kama la elfu 50 kati ya salio lililopo na salio halisi kwenye acc yangu ya NMB.
Nikiwa chuo mwaka wa tatu nilipata nafasi ya kwenda kwenye interview Marketing agency flani hapa Dar. Walikuwa wanataka Social Media Manager unfortunately nikakosa ile nafasi. Wiki iliyofuata boss...
Nlikuwa nmeajiriwa Kampuni flani miaka hiyo ya 2010s ndani ya miezi 3 tu Uongozi uliona nafaa kuwa kiongozi katika kitengo cha manunuzi. Walimtoa aliyekuwepo ambaye mpaka muda huo alikuwa na...
Kuna sehemu toka jumatatu kuna kampeni ya uchangiaji damu. Huwa kunakuwa na mashamsham yake,nderemo ,hoi hoi na vifijo kem kem.
Basi nikawa nmepark gari yangu pembeni nataka kufanya huduma ya...
Mimi ilikuwa na shida sana toka zamani mpaka sometime natamani nirudishe siku nyuma nibadilishe matukio. Ukiacha ile ya kudindisha wakati tumetekwa na majambazi tukavuliwa nguo kuna "INSHU"...
Nawazungumzia wanawake ambao ni wazazi/wenye watoto ambao wamefikisha umri wa miaka 18+ na 25+ Ambao mpaka watoto wao wanafikia umri huo, wamekuwa na maadili ambayo ni mfano mzuri wa kuigwa Kwenye...
Nliacha kabisa kucheza draft.kipindi cha nyuma uncle wangu mmoja alinifundisha draft nikawa vizuri sana.kiukweli niliweza kuwagonga gonga baadhi ya watu kiroho mbaya.
Maeneo flani Kino clan...
Natumaini nyote wazima, naomba kujua gharama za kupatata Hati ya kiwanja ambacho kimeshapimwa na kupatiwa block number, kiwanja kipo chanika. Au kama kuna mtu anaweza nisaidia nikapata nitashukuru...
Sio kila aliye ku follow , au anaye ku view WhatsApp status ni rafiki yako / anakupenda .. wengine wanga na hafurahii movement zako be cautious.
Usidhani majambazi , wachawi , watu wenye husda...
Serikali kupitia wizara ya Maji imehaidi kutuma timu ya wataalam na mitambo ya kisasakufanya utafiti maalum wa upatikanaji wa maji baridi katika maeneo yenye changamoto ya maji chumvi hususani...
Hawa ndio wana wa Rothschild [Mayer Amschel Bauwer] alizaa watoto 10 wakike 5 na wakiume 5 ila aliwaingiza kwenye biashara wakiume tu ambao ni Solomon, Nathan, Jacob[James], Amschel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.