hasason
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 1,648
- 1,543

Hawa ndio wana wa Rothschild [Mayer Amschel Bauwer] alizaa watoto 10 wakike 5 na wakiume 5 ila aliwaingiza kwenye biashara wakiume tu ambao ni Solomon, Nathan, Jacob[James], Amschel, Karlman[Karl].

Hii ni family tree ya familia hii ya kiyahudi inayooneshakuanzia Mayer A schel Rothschild mpaka mkuu wa familiya hii kwa sasa.

Hapa ndipo HQ ya Rothschild ambapo walizaliwa Frankfurt Germany Rothschild [alijipachikia hili jina] ni mtoto wa Mosses Aschel Bauwer alikuwa ni money-lender na gold-smith aliyebobea on time.
Hii ni familia ya kiyahudi iliyolowea Germany ambayo inamiliki zaidi ya nusu ya uchumi wa dunia wanamiliki utitiri wa viwanda, mabenki, technology migodi, real estate, media, money,diamond & gold reserves, hawa ndio wanaokopesha serikali duniani, makampuni [pepsi cola na cocacola ni yao na mengine mengindio watekelezaji wa New World Order [NWO] ndio wanaoweka Marais wa ulaya na marekani madarakani, NATO ni mali yao na Marekani ndo mana huwezi kusikia America ikisema neno juu ya Israel [their home country], ukisikia vita yoyote duniani; they are behind wachunguzi wanasema Adolf Hitler ni mmoja kati ya famila hii,yani kwa kifupi hawa ndo World Domainers.
for more infore search .
