Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Hamadi Masauni atakua LIVE kwenye kipindi cha JAMBO TANZANIA cha TBC kwa ajili ya kuzungumzia wenyeji wa Tanzania katika Mkutano...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameshiriki Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
Familia ya Mariamu Ibrahim Juma, mkazi wa Mtaa wa Uwanja, Kata ya Nyankumbu, Mjini Geita, imeiomba serikali kupitia Jeshi la Polisi kusaidia kumtafuta mtoto wao, Abdurahman Yunusu (24), ambaye...
1 Reactions
5 Replies
745 Views
TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU. Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita. Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa...
22 Reactions
128 Replies
7K Views
Na huo ndo ukweli Wanaroga vibaya sana Nili ishi kule na kuna mazaibu yalinikumba sitosahau mpaka nikahama Je, kuna siri gani.. Nimegundua kuwa nilicho pitia ilikuwa ni dumba kabisa.
3 Reactions
54 Replies
672 Views
Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Department of State) kupitia mpango wa Rewards for Justice imetangaza zawadi ya hadi dola milioni 10 za Marekani kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa...
2 Reactions
6 Replies
222 Views
Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anatuhumiwa kumuua Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma. Uchunguzi wa awali kutoka Jeshi la Polisi, umebaini chanzo cha tukio hilo ni...
0 Reactions
25 Replies
376 Views
Tatizo ni majaji wanapokea rushwa. Haya ndiyo mawazo ya Talmud.( Rabbi Mirvis aliniambia ninayo ruhusa yake kuongea kuhusu Talmud) Tumejifunza katika Boraitha: Kama utaishi katika kizazi ambacho...
0 Reactions
2 Replies
78 Views
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la atheist nyakati hizi za kukuwa kwa technogy. Yaani wanaishi kwa Mitongozo ya screens and mashines Ila wa nasahau kuwa wazee wa zamani walijua kuwa mwanadamu...
0 Reactions
2 Replies
58 Views
Kufutia kifo cha anayedaiwa kuwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kuonekana akiwa na marais wa nchi mbalimbali za Afrika mashariki na ukanda wa kusini na hata akipiga nao picha ikulu za ajabu...
2 Reactions
1 Replies
121 Views
Wataalamu wa kiswahili mtusaidie tuondoe ubishi ni Akili mnemba au akili mnembe
1 Reactions
17 Replies
205 Views
Maricarmen Abascal, mwenye umri wa miaka 87, amefariki, kwa mujibu wa Muungano wa Wapangaji wa Madrid. Aliondolewa kwa nguvu kwenye nyumba yake mwezi Septemba akiwa amelazwa kwenye machela, baada...
0 Reactions
3 Replies
110 Views
Family Rule: dont bother the trouble if the trouble isnt bothering you Kuna kipindi niliwahi kuitwa kutoa ushauri wa tabia mbovu ya mtoto wa kaka ya kutofanya baadhi ya majukumu alipokuwa kwa...
1 Reactions
2 Replies
113 Views
1.raia wa Israel wanapotalii nchi za ugenini Hususani huku Afrika wahakikishe wasiwe kwenye makundi makubwa kuepuka shambulio la kigaidi. Wasiweke nguvu tu kwenye nchi za Ulaya,uarabuni au Asia...
3 Reactions
11 Replies
166 Views
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Mrufani katika shauri la Kikatiba dhidi ya Serikali, Zitto Zuberi Kabwe, ametoa tamko zito akisikitishwa na hatua ya Mahakama ya Rufani ghafla kusita...
3 Reactions
6 Replies
219 Views
Habari za muda huu wakuu, Leo muda huu nimekumbana na visa vya mauza uza wakati nipo katika usingizi ilikua kama ndoto lakini ni ndoto ya uwazi yani nikisema uwazi namaanisha matukio yaliyo kuwa...
7 Reactions
46 Replies
1K Views
Boa tarde camaradas. Tembea uyaone, zunguka ujifunze. Hivyo ndivyo ninavyoanza kwa leo. Mara nyingi nimekua msomaji tu humu ndani, ila leo kuna topic nimeisoma humu ndani iliyo nishawishi na...
190 Reactions
714 Replies
160K Views
Anonymous
Kero yangu ni umeme, nipo Mtwara Mjini, Mtaa wa Sino, leo ni siku ya tatu wanakata umeme jioni Saa 12:30 unaweza kuwaka tena Saa 4 Usiku ila pia asubuhi wanakata pia Saa 12 hatuna taarifa ni kwa...
2 Reactions
15 Replies
242 Views
Habari wapendwa. Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua. Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna...
29 Reactions
153 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…