Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nataka niwaulize tu, Kwanini mnaamini kuwa kuna Mungu? Nawatakia wakati mwema.
1 Reactions
59 Replies
3K Views
Habari Wana JF, naomba kuleta malalamiko yangu hapa maana najua kuna Viongozi pia wanapita kusoma taarifa zetu hapa. Ni muda mrefu sana Barabara ya kutoka Mbezi Luis kwenda Mpiji Magohe ni mbovu...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Anonymous
Angalia hali hii ilivyo mbaya kabisa. Barabara zimejaa mashimo, matope na maji kila kona, hakuna dalili yoyote ya matengenezo. Wananchi na watumiaji wa barabara hii tunateseka kila siku, hasa...
0 Reactions
13 Replies
777 Views
Mitaa mingi ya huku kwetu Pemba kuna changamoto ya kukosekana kwa huduma ya gari la kunyonya maji taka (kinyesi) hali ambayo kiafya sio nzuri na inaweza kuchangia kuibuka kwa magonjwa ya...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Nilizaliwa, nikakua mtaa. Nikapigwa jua nikiwa mdogo nikihangaika na school kama soldier kwenye mission ya kutafuta life bora. Nilisoma shule ya msingi hadi sekondari kwa tabu, vumbi na njaa...
11 Reactions
20 Replies
1K Views
WanaJF salam! Kuanzia mwishoni mwa mwaka jana Utumishi ilizuia mfumo wa manual wa kupitisha makato kwa watumishi wote na kutaka mfumo wa kielectronic kupitia ESS pekee ndo utumike katika kukopa...
6 Reactions
58 Replies
5K Views
Anonymous
Hospitali ya wilaya ya Tunduru vyoo vya wagonjwa vichafu na pia hakuna maji yapata mwezi Sasa , je viongozi hawalioni hili?
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Ndugu hii dunia ina mambo ya ajabu unaweza yakakukuta usijue yalianza vipi mpaka yakafika hapo yalipo. Mimi ni mtumishi wa serikali yaani kifupi ni Mwalimu Idara ya Sekondari, sasa kulingana na...
40 Reactions
129 Replies
14K Views
Yametoka usiku huu. Mwenye nayo atuwekee hapa tafadhali Mitihani ya Law Shool imekuwa changamoto kubwa sana kwa vijana wetu. Wanafeli kama vile hawajawahi soma sheria.
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesisitiza kuwa ni dhamira ya serikali ya awamu ya sita katika kuwawezesha, kuwazingatia na kutoa kipaumbele kwa makandarasi wazawa kama ambavyo wabunge wameshauri...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Serikali imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi ambapo jumla ya...
1 Reactions
10 Replies
863 Views
Wananchi wa Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi wamepongeza Serikali kupitia Wakala wa barabara nchini Tanroads Mkoa wa Lindi kwa kuanza kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya kudumu ya barabara na...
2 Reactions
2 Replies
300 Views
Nikuhusu barabara ya Ndungu-Lugulu. Barabara hii, tangu iharibiwe na mvua za El Nino mwaka 2023, haijawahi kutengenezwa. Barabara hii ni muhimu sana kwa wakazi wa kata ya Lugulu na kata ya Mtii...
3 Reactions
4 Replies
503 Views
Nawashangaa sana. Kuna Hela Huku halafu nyie mmelala tu hadi mnataka kujiua sababu ya ugumu wa maisha. Sajili Line Mpya kabisa kisha itumie ku download Hela
12 Reactions
47 Replies
2K Views
Sisi Wakazi wa maeneo ya Viwege na Pugu Kinyamwezi, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam tumekuwa na changamoto ya kuwa na barabara mbovu, ikinyesha mvua ndio kabisa hali inazidi kuwa mbaya kuliko...
0 Reactions
6 Replies
947 Views
Watu watatu katika kijiji cha Mbokomu, wilayani Moshi wamefariki dunia kwa kufunikwa na kifusi baada ya maporomoko ya udongo yaliyotokea usiku wa kuamkia leo kufuatia mvua kubwa zinazoendelea...
1 Reactions
6 Replies
749 Views
Unakuta mwalimu amekopa Microfinance kama 3. Mshahara ukitoka siku mbilli hana kitu. Kinachofuata ni kubeti mikeka 20 kwa siku ili kulipa madeni. Kwa ujumla madeni yanatuletea fedheha walimu.
10 Reactions
36 Replies
2K Views
NA MUITA KRISTO BWANA ATAKAYE NI HUKUMU , ASHUHUDIE KWAMBA KURA YANGU IMETOLEWA KWA YULE AMBAYE KULINGANA NA MUNGU NAAMINI ANA FAA KUCHAGULIWA. Hayo ni maneno ambayo kila kadnali anayerusiwa...
13 Reactions
21 Replies
1K Views
Wivu wivu wivu wa mapenzi unazidi kutoa roho za watu wengi waliopo kwenye mahusiano ya kimapenzi jamani. ===================== Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamshikilia Castory Abusalam Kindole...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Yaani Mtu ana Elimu duni na alisomea Kozi dhaifu na kuwa Stenographer leo hii anadiriki Kuwafunda Waandishi wa Habari duniani (hasa Afrika) hivi hii ni Akili au Matope? Na kwanini hao hao...
2 Reactions
4 Replies
409 Views
Back
Top Bottom