Tukisema afrika bado tunaitaji No reform No election mnaleta matamasha ya raisi.Haya waziri wajafo,mchengerwa na mwiguru uchumi mtauweza.
https://www.youtube.com/shorts/zorydKgciQY?app=desktop
Habari!
Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi.
Serikali ifuate procedure...
Habari wadau tupo siku zinakwenda na tunazidi kutatua matatizo mengi ya kiuchumi kijamii kielemu na zaidi.
Kuna kitu ningependa tujadili na huenda kikatuongezea silaha zaidi za kupambana na...
Baraza la Famasi kwa kushirikiana na Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma, Wizara ya Afya limeendelea na zoezi la kuelimisha umma kuhusu kazi na majukumu ya Baraza pamoja na kuhamasisha jamii juu ya...
ANZIA CHINI LAKINI KABIA JUU!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Humble beginnings! Anza kidogokidogo! Hapohapo ulipo na ulichonacho. Tumia ulivyonavyo kupata vile unavyovitaka ambavyo hauna...
MOI tumeanzisha ukurasa huu rasmi kwa dhumuni la kupokea Maoni, Malalamiko, Ushauri na Pongezi kwa ajili ya kupata mrejesho wa huduma tunazozitoa katika taasisi, pia kutoa ushauri kwa Umma...
Wanajamvi zoezi la kubadilisha pasipoti za Tanzania imekuwa ni kero kubwa, kuna maswali ya logic ambayo Uhamiaji wameshindwa kuyaona kama ifuatavyo;
1. Kama mtu ameshabadilisha passpoti yake mara...
Ilianza Wasafi FM 94.5 tokea mwaka jana, ikaja East Africa Radio 105.2 hii yapata kama mwezi hivi, imefuatiwa na Clouds FM 88.0 na E FM 93.7 hizi ni wiki hii na inayokatakata kwa sasa ni Radio...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Ruvuma imekabidhi rasmi gari aina ya ISUZU kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya matumizi ya serikali, baada ya kutaifishwa kutokana na...
Wasalaam
Juzi nimeona Kanisa Katoliki wamepeleka huduma za afya Kisarawe kupitia Caritas eneo ambalo asilimia kubwa ilionesha lina waislam wengi...walishukuru wanasema tangu uhuru hawakuwa na...
Wadau hamjamboni nyote?
Niombe moderator uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali
Sio lengo langu kubeza au kukashfu ila navyojua ratiba za mbinguni kwa maana ya siku, mwezi na mwaka hilo...
Kikundi cha Hisani cha Emma Kiduku Charity Group kimechangia matibabu ya watoto 6 wenye kichwa kikubwa na mgongo wazi wanaotibiwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Ubongo Muhimbili (MOI).
Kikundi...
Wakazi wa Kata ya Galapo, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wamegubikwa na huzuni, kufuatia taarifa za kubakwa na kuuawa kikatili kwa Suzana Samweli (13), mwanafunzi wa darasa la sita ambapo...
Jana tukijiandaa kuingia mahakamani, tulibishana hoja kadhaa na mawakili wenzangu, kuna Revised Edition 2023 ambayo Rais Samia alizindua hapa juzi na tukaambiwa inauzwa milioni 4, sheria hizo...
Karibu Tanzania nchi ambayo Mchina anaingia nchini anafanya kazi bila vibali hata miaka 6 fresh tu
Wewe mngoni nenda kariakoo fungua hata Ki Mpesa na huna leseni Utakiona cha moto.
Inawezekana...
Katika hali inayoibua maswali mengi kuhusu uzingatiaji wa sheria na maslahi ya taifa, maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam yameendelea kushuhudia wimbi la wageni wanaojihusisha na biashara bila...
Wachina wanakaribishwa kwa wingi Kariakoo ikibidi wafungue malls za kutosha pale Mnazi Mmoja na Jangwani ili wauze vitu nafuu tofauti na Walanguzi wa sasa. Shati la Tsh 5,000 Mkinga/Mangi anauza...
South African Airways (SAA) wanarejea Dar (JNIA) kuondoka Dar*JNIA 0510am kufika OR Tambo International Airport 0755am.
Timing nzuri (unatoka alfajiri straight to business meetings ,shopping)
Bye...
Asalaam alykum.
Ndugu waislamu mliofanikiwa kupata Darsa mbali mbali , naomba Fatawa katika hili , kutoka katika kitabu na Sunnah kwa ufahamu wa Waja wema waliotangulia.
Hii habari ni kwamba figo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.