Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Arusha bado kuna wahuni wa kila aina na wengine wajiweka tofauti na kujiita wadudu. Wadudu wamepata nguvu kubwa kwa RC Makonda ila tokea kupata nguvu yani ukifungua mtandao wa youtube mara wameiba...
2 Reactions
4 Replies
590 Views
Nimepgiwaa na namba + 25509000010000 sijapokea ila nimeshindwa kuitambua.
2 Reactions
11 Replies
900 Views
Nianze kumpongeza Waziri Jafo kwa kwenda Kariakoo na kukuta wachina bado wanafanya kazi za wazawa Wako waliokutwa hawana hata vibali vya kuishi vya kazi, Mh. Jafo akasema alikutana na watu...
1 Reactions
5 Replies
536 Views
Leo wachungaji wa mchongo kina Mwamposa na mafuta yao tuwapumzishe kidogo tuangalie upande mwengine. Nimekuwa katika magroup ya tiba naona kuna hivi vikaratasi watu wanapewa ama kuelekezwa...
34 Reactions
161 Replies
15K Views
Fatwa Kutoka: ‘Allaamah Swaalih Ibn Fawzaan Al-Fawzaan Swali: Tunataka uwape vijana Nasaha kuhusiana na kuchunga wakati wao katika Ramadhaan? Jibu: Waislamu wote sawa Vijana na wengine wote...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Wahhabi ni wafuasi wa harakati ya Wahhabism, ambayo ni mtazamo wa Uislamu wa Sunni ulioanzishwa na Muhammad ibn Abd al-Wahhab mnamo karne ya 18 katika eneo la Najd, Saudi Arabia. Harakati hii...
14 Reactions
323 Replies
14K Views
Mda mrefu sana sijamuona huyu mzee humu ndani. Alikuwa mtaalamu sana wa mambo ya elimu ya gizani yeye na pacha wake mshana jr, ila kwa sasa sijui yuko wapi. Je kabadili id au naye alipewa lift...
2 Reactions
8 Replies
675 Views
Niliandika barua nikiwa Mahabusu 2018 Butimba gerezani ya kumuomba Rais wa Tanzania wakati huo John Magufuli ambaye sasa Yuko Motoni mwa milele (Fact spiritually). Nikimuelezea chanzo Cha Serikali...
19 Reactions
78 Replies
7K Views
SERIKALI ya Tanzania imetangaza mageuzi makubwa ya sekta ya ardhi yanayolenga kuboresha usimamizi, kuchochea ukuaji wa uchumi, na kulinda haki za wananchi wake. Akizungumza katika siku ya pili...
1 Reactions
11 Replies
761 Views
Al Jazeera wanaripoti Uchaguzi wa Papa wa Katoliki unafanyika Leo katika mchakato utakaohusisha SALA na SIASA Kuna mwanaJF anaweza kutudadavulia Siasa inahusikaje hapo? Hawachanganyi Dini na...
2 Reactions
6 Replies
350 Views
Ukitaka uielewe science kiundani sana basi kuwa msomaji wa biblia huyo aliyesema science na dini hasa ya ukristo havina uhusiano alitukosea sana sisi wanadamu ni wa kulaaniwa Kama dunia...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Habari hivi naweza pata usafiri huo kwa usikuu huu? Na shida kidogo kwenda Morogoro
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Anonymous
Waziri wa Ardhi nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Napende kukutumia ujumbe wa utapeli au uporaji wa ardhi kwa wananchi wa Mbopo wilaya ya kinondoni na watu wanaojiita DDC...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Los Angeles, Mei 7, 2025 – Mr. Smith ameweka historia kwa kuwa miongoni mwa watu wachache waliopokea upandikizaji wa kifaa cha Neuralink – teknolojia ya hali ya juu inayowezesha mawasiliano ya...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Inaripotiwa kuwa ajali mbaya imetokea maeneo ya Katikati ya Wami Dakawa na Dumila, huku gari aina ya Land Cruiser ikionekana kuharibiwa vibaya. Aidha inasubiriwa taarifa rasmi kutoka kwa mamlaka...
4 Reactions
58 Replies
4K Views
Tukio litafanyika ila lengo la tukio halitatimia kwa asilimia 100, kwasababu huyo kigogo wa idara hiyo hakuwepo. Kitengo cha accommodation (kinachohudumu sehemu ya kupumzika wageni) kulaumiwa...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo kila staa anamlaumu said said kias kwamba aliwakera kweli na kutama jana kukimbia ktk ukumbi wa masaki dom.. Ni hivi nilimsikia Said Said kwa kupita radio tbc taifa akichekesha na...
1 Reactions
4 Replies
607 Views
Kwa wapenzi wa kupanga train ya mwendo kasi, kuna mabehewa fulani tulitunua kwa kodi za wananchi, tukatumia garama kubwa kusafirisha toka korea hadi hapa, ila sijaona yakitumika. Zipo fununu...
0 Reactions
1 Replies
269 Views
KOSA WANALOFANYA WATU WENGI NI KUITUPA FIMBO ILIYOWASAIDIA WALIPOKUWA VIPOFU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unakuta kijana kasoma kimazabe kutokea shule za kayumba, mwalimu mmoja, hakuna...
6 Reactions
6 Replies
589 Views
Usioe mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA. Usifanye biashara na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA. Usipange nyumba moja na mwanamke wa kichagga anaitwa MANKA. Fanya yoooote na wanawake wa...
10 Reactions
54 Replies
3K Views
Back
Top Bottom