Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Miradi mingi inapokamilika husubiria kiongozi flani kuzinduliwa ,sawa ni jambo sahihi kuweka alama ya kumbukumbu ya kihistoria lakini sioni kama ni sahihi kuzuia huduma kwani ni kukosa maana...
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Huo ndio ukweli police wetu Africa Mashariki wana uwezo mkubwa wa kuchunguza matukio ya uhalifu Fuatilia upelelezi wa mauaji ya mbunge Charles Were utakubaliana nami kwani Wauaji wanatajana hadi...
1 Reactions
9 Replies
456 Views
Anonymous
Barabara ya Kitunda - Banana imekuwa kero kubwa, yaani ni mashimo kiasi kwamba kuna gari nyingi zikiwemo Daladala wahusika wame-cancel route njia hiyo na kusababisha Watu wengi kukosa usafiri...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kitengo alichotoka akiwa Meja Jenerali halina ubishi kuwa anafaa na anastahili kuwa Mkuu mpya wa Majeshi nchini Tanzania. Na hata Kimuonekano tu anaonekana ni Mtu wa Kazi Kweli na nasikia (...
30 Reactions
90 Replies
15K Views
Kwa wafuatiliaji wa Bbc swahili dira ya dunia, kupitia matangazo yanayorushwa saa tatu usiku kuanzia jumatatu hadi ijumaa kupitia Star tv watakubaliana nami kuwa urushaji wa taarifa umekosa mvuto...
17 Reactions
42 Replies
3K Views
Hakika Jeshi la Tanzania limempata anayelijua vyema na anayeliweza na Kuwamudu Maadui zote wa Ukanda na hata wale wa Kimataifa wakithubutu Kujitokeza. Atalisaidia sana tu Jeshi letu la JWTZ.
12 Reactions
85 Replies
10K Views
Mara kadhaa nimewambia kuwa chadema ni genge la wahuni wapiga dili, wanatumia chama kama kitegauchumi. Mungu sio asumani leo hii leo hii tunawaona jinsi wanavyo tuhumiana wao kwa wao kula...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
  • Closed
Mama Maria Nyerere amelazwa hospitali kwa zaidi ya wiki moja sasa. Umri wake ni 96. Kwa hiyo tunamtakia speedy recovery. Naona it is a big secret. Amelazwa muda mrefu lakini habari nimezipata...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Umewahi kukutana janga la simu yako kufuatiliwa au kuingiliwa mawasiliano yako bila wewe kujua? Basi sasa unaweza kufuta ufuatiliaji wowote uliofanywa kwenye simu yako kwa kujua au kutojua. Pia...
26 Reactions
63 Replies
20K Views
Katika historia ya harakati za kisiasa duniani, mara nyingi mabadiliko ya kweli yamekuwa yakipatikana kwa gharama kubwa, ikiwemo maisha ya wale wanaojitolea kwa ajili ya haki na demokrasia. Katika...
1 Reactions
2 Replies
263 Views
Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto! Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi' Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa? Wanajua kuwa hivyo...
12 Reactions
130 Replies
8K Views
Wadau hamjamboni nyote? Ni mambo ya Imani na siwezi yabishia kwani wenyewe wanaamini hivyo Bado nawaza nifanyeje kwani nahofia.nosijeipanda miti hiyo kisha baadaye mayahudi wakaja jificha...
2 Reactions
1 Replies
266 Views
Sina hakika kama hii ni sheria ya kazi au la, lakini nimeona mara nyingi sana tena wakati mwingine hata magari yenyewe hawaendeshi wao. Utakuta anaendesha rafiki yake wa kike ama wa kiume ! Je...
8 Reactions
185 Replies
27K Views
Sijui kama zina jina jingine zaidi ya tulilolizoea tokea tukiwa wadogo! Arusha tulikuwa tukiziita SALADI. Na Mwanza napo pia zianitwa hivyo, japo ni watu wachache wanaozifahamu, na hata...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
NB: Wapo marafiki wema wataofurahia kwa dhati ila wachache sana. Huwa tunapopata mafanikio ama mipango tuliyopanga kufanikiwa tunapenda kuwaambia marafiki Utafika kwa rafiki utamwambia umepata...
2 Reactions
7 Replies
601 Views
Kuna zidi kunuka huko kenya inasemekana kuna wabunge wanahusika.Ila kwetu itelejensia ni CCM. https://www.youtube.com/watch?v=_rM8NExBTGw Mbunge Ong’ondo Were alipata majeraha matano ya risasi...
3 Reactions
3 Replies
386 Views
Ukifuatilia wanajeshi wengi utakuta hawapo tayari watu wanaowapenda wafuate nyayo zao. Wanajeshi wengi utakuta mtu analalamikiwa na wanafamilia wake kwamba hatumii nafasi aliyopata kuwezesha...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
1. Kama mjuavyo Japan Expo 2025 imeanza toka April 2025. Sisi wazee wa fursa tunawakilishwa na nani huko? Kwenye msafara tusisahau kubeba Korosho, Karafuu na Madera. 2. Bongo movies wasikose...
1 Reactions
3 Replies
442 Views
Mambo yote yanayofanywa na man made satellite yanafika na mwezi kwa gharama ndogo sana kupita maelezo kwa hiyo ntapiga marufuku man made satellite
3 Reactions
45 Replies
1K Views
Kura zimeanza wapendwa kuchagua pope wetu mpya Naona Moshi mweupe kwa Valentino Ngoja tuone Hivi ULE Moshi mweusi unatokeaga wapi
1 Reactions
6 Replies
253 Views
Back
Top Bottom