Epuka kumchezea Mzee snake Hata Baada ya kuhakikisha umemuua .....you will be playing with fire my friend coz Hata coz Hata Baada kifo Cha nyoka, inaweza bado kukusababisha shida.
Kichwa cha...
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, baada ya kumaliza shule ya msingi mwaka 1986, Sikuchaguliwa kujiunga na secondary ya serikali kwa maana nafasi zilikuwa chache na hata waliochaguliwa pia...
Watu wengi tunafurahia kujadiliwa kwa kesi ya Tundu Lissu Bunge la Ulaya, binafsi nafikiri ni hatua nzuri kwa ajili ya check and balance za uwajibikaji wa Serikali.
Ila taarifa hii kwa namna...
Salaam alleikhum ndg zanguni. Juzi kati kuna ndugu yangu alinitafuta akiwa kachafukwa mithiri ya kujitoa uhai.
Issue si nyingine ila ni alikuwa amebanwa na taasisi zilizoibuka nchini...
Wafanyabiashara wa Dar es Salaam nipeni siri ya kuuza nguo za ndani kwenye fremu ya milioni moja kwa mwezi, je mnawezaje kulipa kodi?
Hili jambo linanitatiza sana sipati majibu, wafanyabiashara...
Heshima zenu wasafiri wazoefu!
Ukiacha Shirika letu la ATCL, ni mashirika gani bora ya Ndege, hasa zinazomilikiwa na nchi za Kiafrika, kwa safari ya Dar - Dubai?
Daraja ni la UCHUMI...
📌Ni kupitia Mradi wa kupeleka umeme kwa wachimbaji wadogo na wa kati
📌Umeme umeleta ukombozi, uzalishaji madini waongezeka Geita
Mradi wa kupeleka umeme kwa wachimbaji wadogo na wa kati, Viwanda...
💡 Sijui Tajiri Amechanganyikiwa au 😏 lah!!
💭 Ila Tajiri Elon musk Ametoa Onyo kuwa Kuna siku moja jua 🌞 litaweza kuisambalatisha Dunia, ili Wanadamu wawe Salama inahitajika kujenga koloni...
NILikuwa naangalia wapiga kura wa kuchagua pope mpya
Kabla ya yotre ealieleza tukiona moshi mweupe ujue papa amekuja
Mweusi mjue shuhuli pevu
Sada nawaza huu moshi hutokea wapi
Na kama ni...
Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako
Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume...
Huko Mbeya tumeona watumishi wa TRA wakichepusha hela ya umma kuingia kwenye mtandao wa watu binafsi na kupiga hela. Huko Arusha tumeona mkutano wa Makonda mwananchi mlipa kodi (Halmashauri ya...
Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao...
Leo ni tarehe 9.1.2024 Wastaafu wa Serikali za Mitaa wanaolipwa na Hazina hawajapata pensheni yao ya Desemba, 2023. (1) Je, Serikali ina hali mbaya ya kifedha? (2) Je, Serikali haijui ni haki...
Mpaka tarehe ya leo sisi Wazee hatujapokea pensheni zetu toka HAZINA kulikoni?. Tuna maisha magumu na pensheni ndiyo tegemeo letu ili maisha yasonge mbele. HAZINA ifanye hima ili tupate...
Katika watu nawachukia ni madalali hata ukiwa na mali yako wanataka kupandisha kiasi kikubwa kupelekea hata kukosa wateja kwa wakati.
Tuje kwenye suala la nyumba za kupangisha:
Madalali wengi ni...
Mkurugenzi Mkuu LATRA wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), CPA Habibu Suluo amewaasa Wanahabari kutumia kalamu zao vizuri kuandika habari zinazohusu uchaguzi mkuu na kuepuka habari...
Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi...
Hospitali hakuna madawa, vitanda wala vifaa tiba
Mashuleni hakuna madawati, vitendea kazi, walimu pamoja na vyoo.
Vijijini na mijini hakuna maji pamoja na miundo mbinu mibovu ya barabara pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.