Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kiufupi anasema UDSM ni kama Sekondari ya Kata, hakina hadhi ya Chuo Kikuu tena maana kimehama kutoka kwenye tafiti na mijadala na kuwa extended school 😂😂 Naunga mkono hoja ya ulimwengu.
20 Reactions
61 Replies
7K Views
Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa, Kuruthum Issa Runje, imefanya ziara maalum Wilayani Kilwa kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
DODOMA: Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amelitaka Jeshi la Polisi kukamilisha mchakato wa matumizi ya Kamera zitakazokuwa zikivaliwa na Askari wakiwemo wa Usalama Barabarani kwa lengo la...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Baada ya tukio lililotokea Aprili 29, 2025 ikielezwa kuna baadhi ya Wakimbizi walisababisha taharuki katika Kambi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma kiasi cha kusababisha Jeshi la Polisi kuingilia na...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Kuna huduma za chini chini kwa baadhi ya viongozi wa majeshi ukizitazama siyo afya kabisa kwa matumizi bora ya kodi! Sasa hivi nchi inalalamika kuwa deni la taifa limefikia tirioni 96 Lakini...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Bunge limepitisha haraka mswada wa kulipa mafao ya kustaafu wenza wa viongozi. Huzuni kubwa ni kuwa bunge limeshindwa kuibana serikali kulipa madai ya kustaafu wastaafu wa Posta na ATCL. Madai...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kaka yangu Waziri Mwigulu, Dada yangu Bonna, MB, Kwa heshima na taadhima kubwa, naomba niwajulishe kuwa wananchi wengi wa Kipunguni Airport wameanza kufariki dunia. Wengi wao walikuwa na nyumba...
0 Reactions
1 Replies
361 Views
Wakuu, najua mpo salama na Mungu awalinde sana. Mara nyingi huwa napita njia ya Tanga kuelekea Moshi kukatiza Wilaya za Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro. Kwa mfano Pale Same kinachondelea Pale...
8 Reactions
59 Replies
3K Views
Kwa mambo yanayoendelea duniani hili ni muhimu sana kama raia WA kawaida ningependa kujua vita kama hvo Ili likitokea la lakutokea tujue tunaenda wapi maana Kwa Hali ya Sasa vita ya iii ya dunia...
1 Reactions
7 Replies
612 Views
Kuna taasisi hii ya DIRECT AID SOCIETY (DAS). Ina makao yake makuu Dar, inamiliki vyuo vya Morogoro University of Muslim (MUM) pamoja na SUMAIT University kipo Zanzibar. Ukweli hiki chuo cha...
0 Reactions
1 Replies
330 Views
Wawili wafukuzwa Skauti kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha Jumatano, Mei 07, 2025 Mwenyekiti wa Bodi Skauti Tanzania Rashid Mchatta akizungumza na waandishi wa habari ambao hawapo pichani leo Mei...
0 Reactions
5 Replies
445 Views
Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo Siku zote katika maisha tunapokuwa wadogo tukubali...
1 Reactions
0 Replies
286 Views
NAIROBI, Kenya, May 7 — Businessman Philip Nahashon Aroko has surrendered to police at the Gigiri Police Station, moments after he was named by the Directorate of Criminal Investigations (DCI) as...
2 Reactions
0 Replies
287 Views
Kuna faida ya kuwa na namba ya simu isiyojulikana na Marafiki / ndugu . Ni special kwa watu wako wa kazi tu. Kuna muda unaombwa hela hadi unaogopa kupokea simu. Au wengine wanakushirikisha shida...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
Assalamu alaikum, Mheshimiwa Waziri wa Ardhi, Nimekuja huku kukuomba kwa heshima kubwa—tafadhali wekeni TAKUKURU kwenye haya mabaraza ya ardhi. Watanzania wengi wamepoteza haki zao kwenye haya...
0 Reactions
6 Replies
378 Views
Wakuu asalaam aleykum! Nguvu ya taifa lolote huwa ni vijana, katika rika hili wanaweza kufanya mambo mengi kwa usahihi na nguvu; kuanzia kufikiria kibunifu, kutekeleza mipango, nk. Mfano enzi ya...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Watanzania wanaofika zaidi ya million 60, wamekuwa makondoo na kukubali kutawaliwa na unyonywa jasho lao na kikundi cha watu wachache kutoka Chama chakavu Watanzania wako busy na story za Yanga...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Spacious 3 Bedroom Available For Rent Fully Furnished Location: Masaki Rent : $1,600 per Month Payment terms : 6 Months in Advanced 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Hii ni baada ya mh CHASHA FARMING kunitoa usingizi na ndipo nilipo kumbuka kwenye miaka ya 2004 tuliikata sana Ile miti lakini Bado nikakumbuka Kuna poli kama heka2-3 tulibakiza Kwa ajiri ya...
4 Reactions
7 Replies
708 Views
Hiyo sayari ni potential sana kwa miaka kadhaa ijayo, taifa la watu wenye akili ni vema tukapimiana viwanja tukiwa huku huku Duniani, tutakapoanza kwenda huko kazi yetu ni kuwalangua watu viwanja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom