Haitakuwa jambo la kushangaza kuona serkali ikisema haina nia ya kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu.
Sababu ni kwamba inavyoonekana upande wa mashtaka...
Dunia ina mengi na unapaswa kuendana na mengi hayo. Katika kuutafuta utajiri zipo njia nyingi na ni vyema kujaribu zile zinazofaa.
Tumekuwa tukisikia matajiri wengi wana siri nyingi, ni kweli...
Kipindi cha umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati wa changamoto nyingi maishani. Watu wanapitia hali ya kujuta na mawazo mengi kuhusu jinsi walivyotumia miaka yao ya 20's.
Baadhi ya majuto ya...
Ikiwa Pasaka Inaishia niseme kisa cha Pasaka hii cha kweli sijui JF wa tafuta maana mada nyingne wanafuta mno bila actual reason.
Kuna mahali huwa napenda kunywa kinywaji mida ya jioni. Soda ni...
Kampuni ya Mamba Minerals Ltd yenye Leseni ya uchimbaji Madini adimu (Rare Earth Elements) imesema itaanza ujenzi rasmi wa Mgodi huo Disemba,2025 na uzalishaji wa kwanza kufanyika mwisho wa mwaka...
Kufa kwa nyani miti yote huteleza.ndicho nachoweza kusema. Leo hii CCM wapo mbele kupambana na kanisa katoliki Tanzania.
CCM wanaminya democracy na haki za raia katika uhuru wa kujieleza na...
Waadventist wanatafsiri ya baadhi ya maandiko hasa kitabu cha ufunuo kwamba ,taifa kubwa kabisa litaungana na kanisa kubwa kusimika utawala wa mpinga kristo.
Juzi kuna picha ya kiongozi mmoja...
Tufungue Pamoja Uwezo Wetu wa Kweli!
Karibu kushiriki katika uchambuzi wetu wa kipekee:
"TUNAUWEZO MKUBWA—TUNAWEZA KUFANYA YOTE TUKIUTUMIA!"
Kwa nini kushiriki?
1. Pamoja, tunaweza kuvunja...
Mbinguni kuna makao mangapi
Wakati Bwana Yesu alipokaribia kuondoka duniani, alisema:
Yohana 14:1 Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi.
2 Nyumbani mwa Baba yangu mna...
Nimefanya uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali nimebaini mambo ya ajabu sana yanafanywa na baadhi ya walimu kwa watoto!
Kuna tabia za ajabu ajabu kutoka kwa baadhi ya walimu ambao...
Papa Leo I (ambaye huitwa pia "Leo Mkuu") alikuwa mmoja wa Mapapa muhimu sana katika historia ya Kanisa Katoliki.
Alitawala kama Papa kuanzia mwaka 440 hadi 461 BK, na alijulikana kwa hekima...
Wanayazungumziaje matukio kama haya?
1. Uebert Angel alitabiri kuwa Trump atashinda uchaguzi wa Marekani na ikawa hivyo!
2. Uebert Angel alitabiri kuwa Papa Francis ataaga dunia Jumatatu Asubuhi...
Jamani jamani, wiki iliyopita nilibahatika kupanda kivuko cha Azam pale Ferry Dar es Salaam. Kivuko kinajaa sana na hakuna kinga yoyote iliyoandaliwa pindi tatizo likitokea.
Tafadhali, idara ya...
Papa ni moja ya kiongozi mkubwa sana wa kiimani na kidunia!
Papa anasimama kama kiongozi mkuu wa kiimani katika kanisa katoliki,
Papa anasimama kama mfalme au rais katika mji wa Vatican (roma)...
I will be short
Nime safari sana hivi karibuni , Barabara ni mbovu mbovu mbovu .
Hizi pesa za Barabara Nani Ana kula ??
Amna high way hata moja smooth . Zote zimejaa pot holes /mashimo tu ...
Waziri wa uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, amewasihi Watanzania kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC), kuilinda na kuitunza miundombinu ya treni ya kisasa ya Umeme (SGR).
Prof. Mbarawa...
Chadema tayari imesha kufa KIFO CHA MENDE.
Kama una macho, masikio na akili haina haja kuambiwa kila kitu.
Kama Salum Mwalimu, Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge wameamua KUJITENGA NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.