Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari Zenu wakuu. Nimekuja Iringa mara moja kikazi, sasa usiku wa kuamkia leo mwili ni kama ulibadilika nikapata kitu kama homa kali sana, ilikua ni kama saa 9 usiku hivi nikasema ngoja...
3 Reactions
11 Replies
838 Views
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni...
11 Reactions
57 Replies
32K Views
Namiini Shetani hajiiti shetani kama tunavyomuita huku, anajiita lucifer ingawa ana matendo ya kishetani. Ni kwa kiasi gani mwanadamu ni mnafiki? Sometimes tuna stahili yanayotukuta kwa maana...
2 Reactions
0 Replies
242 Views
Ukiziangalia Ulaya, Marekani, India, China, Korea, Vietnam, Uarabuni ni jamii ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa na tamaduni zao za dini kwa karne nyingi zimefanikiwa sana tofauti na wengine...
1 Reactions
1 Replies
278 Views
Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote🫠
4 Reactions
51 Replies
2K Views
Wakati familia mbalimbali za jamii flani zinapokuwa kwenye misururu ya foleni ya kwenda vijijini kwao unajua sikukuu za mwisho wa mwaka zimekaribia, watu hao hutoka kila kona ya dunia kusherehekea...
3 Reactions
10 Replies
605 Views
Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sababu yenyewe ni kutokubali kukosolewa. kukosolewa ni kuoneshwa makosa unayoyafanya yaani kuoneshwa mapungufu yako. Watu wengi hawapendi...
5 Reactions
12 Replies
547 Views
#habarini humu naomba kujua nivipi naweza pata blue tick
5 Reactions
15 Replies
870 Views
Ukiangalia kwa haraka unaweza kuchukulia poa how come pale juu hakuna taifa lolote la Waafrika weusi? Kwa Nini chini mwa Sahara desert hakuna tena nchi ya kiaarabu? Niamini Mimi Kuna namna watu...
7 Reactions
15 Replies
849 Views
Destination Ile Ile (3-4hours) ila tofauti ya nauli inazidi 200USD anyway kupanga ni kuchagua!! Nionavyo ni kama tunamfanyia Promo Malawian airlines bila kujua Hope ndege yetu inajaa!
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Karibu mzazi wa mwanamali na mzazi wa mwanamali mtarajiwa.
11 Reactions
127 Replies
5K Views
Zipo Apps mitandaoni zinahamasisha ushoga ambapo zinaunganisha watu walio eneo moja mfano Sinza. Ukiingia humo dakika 10 nyingi mtu anakuja na Bodaboda ulipo huku anahema juu juu na unapata wa...
14 Reactions
164 Replies
26K Views
Tito ambaye ni Mfanyakazi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) inadaiwa ametekwa maeneo ya Mwenge, Jijini Dar Yaelezwa amechukuliwa na watu 5 waliovalia kiraia ambao walimfunga pingu...
12 Reactions
325 Replies
43K Views
Ili kupunguza changamoto ya foleni katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025 ilieleza kwamba itaanza/ kukamilisha barabara za juu (flyovers)...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Takbiiir wakuu uislamu hatimaye umepata ushindi mkoa wa Iringa aisee makundi makundi ya watu wameingia kwenye uislamu hii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki na imepata ushindi Aisee Takbiiir
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Watanzania kuna mambo mengi sana hawajui, na wamekuwa wakidhani na kujisifu kuwa ni wagunduzi wa mapishi mbalimbali, jambo ambalo si la kweli, ila kwenye mapishi ya asili ni kweli hayo ni ya kwetu...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Nimeona kwa wenzetu inawezekana. Vipi kwa huku kwetu? Labda unataka kufanya siri kwa lengo la kuepuka "umaarufu". Hutaki marafiki, ndugu zako, mkeo na watoto wako wajue mwanzoni, ingawa unaweza...
0 Reactions
2 Replies
286 Views
Naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa cheti cha ndoa cha Rita je! Kinaweza kupatikana hta kwa hawa viongozi wetu wa dini au ni Rita tu peke yake?
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari zenu, Leo mimi kama member of JamiiForums nimekuwa na muda kupita ofisi za RITA halmashauri ya wilaya ya Kongwa, kiukweli nimesikitishwa na namna watumishi wake walivyo kosa weledi wa...
1 Reactions
5 Replies
614 Views
Niko katika kampeni ya kupinga vikali nadharia za uongo either kwa kutokujua au kukujua Nikiwa Rais watoto watafundishwa Jupiter na Saturn zinamfumo wake na haziko kwenye solar system na...
8 Reactions
90 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…