Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii picha ni kutoka Kenya, saaa Nipashe nazani sijui hata kama wana app za kuweza kuta.bua source ya picha au la au wako ki uchwa zaidi. Gazeti kubwa kama hili kufanya upotoshajibwa wazi kabisa...
1 Reactions
8 Replies
660 Views
Qur'an – Surah Al-Ahqaf 46:9 "Sema: Mimi si wa kwanza katika Mitume, wala sijui yatakayofanywa kwangu wala kwenu. Mimi nafanya ila kufuata yanayofunuliwa kwangu..." Hapa ameamua kunawa kuwa...
4 Reactions
43 Replies
1K Views
Habari wana JF. Naomba tuzungumze Kwa hoja je black people tunaweza au tamaa tu? Ikiwa kuendesha na kusimamia mambo yetu madogo madogo tu kwenye Nchi zetu ni shida je hicho cheo tutaweza au...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Kiasili koo za Kiafrika hazilindwi na malaika, bali spiritual animal "wanyama mwitu wa kimizimu" Kuna koo zinalindwa na simba, fisi, chui, majoka na nyuki n.k. Wanaokuroga usiku hawakufikii mpaka...
3 Reactions
8 Replies
523 Views
Nayasema haya ni kutokana na kukutana na biblia ya ndugu yangu ambae ni mkatoliki, sasa wakati naisoma nikaona mbona inautofauti. Utofauti nimeukuta kwenye baadhi ya vifungu ndani ya biblia...
2 Reactions
207 Replies
10K Views
Jumla ya malalamiko 265 kati ya malalamiko 287 yaliyopokelewa na Mamlaka ya udhibiti wa usafiri Ardhini LATRA yametatuliwa kwa mwaka 2024/25 (mpaka kufiki mwezi march 2025) ikiwa ni saw ana...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Awali ya yote shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kujalia makadnali kumchagua kiongozi mpya wa kanisa kwa muda mfupi kuliko ilivyo dhaniwa. Shukrani na pongezi kwa Pope mpya kwa jina la Leo wa 14...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Balozi Stephen P. Mbundi leo tarehe 8 Mei, 2025 ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya...
1 Reactions
0 Replies
246 Views
Protase Kardinali Rugambwa tayari ametua Vatican kwa ajili ya mchakato wa Papa Mpya. Anatajwa kumrithi Papa Francis. Tunamuombea apeperushe Bendera ya Tanzania Kimataifa. **Huu ni mwaka wetu...
14 Reactions
160 Replies
8K Views
Kila mtu alijua baada ya mangi kunyimwa nafasi ya kuliongoza duka la ukoo kwa mara nyingine, atatengeneza mkakati ambao utawahusisha wafanyakazi wa dukani waliokuwa mabest zake ili kumpa wakati...
3 Reactions
11 Replies
607 Views
Maisha yanatupa nafasi ya kufanya maamuzi kila siku. Tunafanya maamuzi juu ya kila kitu kinachotuzunguka. Tunaamua muda wa kuamka na muda wa kulala, nini tufanye na nini tusifanye… Karibu kila...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Ana andika, Robert Heriel Mtibeli Mimi ni miongoni mwa wale Watu àmbao wakati nilipokuwa mwanafunzi sikuwahi kuibia mtihani tangu naanza Shule mpaka namaliza Chuo Kikuu kwasababu nilikuwa...
1 Reactions
3 Replies
778 Views
Haitakuwa jambo la kushangaza kuona serkali ikisema haina nia ya kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Sababu ni kwamba inavyoonekana upande wa mashtaka...
3 Reactions
3 Replies
431 Views
Dunia ina mengi na unapaswa kuendana na mengi hayo. Katika kuutafuta utajiri zipo njia nyingi na ni vyema kujaribu zile zinazofaa. Tumekuwa tukisikia matajiri wengi wana siri nyingi, ni kweli...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Ofcourse najua hayo mashtaka yatafutwa ila what if Lissu akapelekwa Exile?...
0 Reactions
11 Replies
561 Views
Kipindi cha umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati wa changamoto nyingi maishani. Watu wanapitia hali ya kujuta na mawazo mengi kuhusu jinsi walivyotumia miaka yao ya 20's. Baadhi ya majuto ya...
16 Reactions
83 Replies
5K Views
Ikiwa Pasaka Inaishia niseme kisa cha Pasaka hii cha kweli sijui JF wa tafuta maana mada nyingne wanafuta mno bila actual reason. Kuna mahali huwa napenda kunywa kinywaji mida ya jioni. Soda ni...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Kampuni ya Mamba Minerals Ltd yenye Leseni ya uchimbaji Madini adimu (Rare Earth Elements) imesema itaanza ujenzi rasmi wa Mgodi huo Disemba,2025 na uzalishaji wa kwanza kufanyika mwisho wa mwaka...
0 Reactions
0 Replies
288 Views
Kufa kwa nyani miti yote huteleza.ndicho nachoweza kusema. Leo hii CCM wapo mbele kupambana na kanisa katoliki Tanzania. CCM wanaminya democracy na haki za raia katika uhuru wa kujieleza na...
2 Reactions
9 Replies
560 Views
Waadventist wanatafsiri ya baadhi ya maandiko hasa kitabu cha ufunuo kwamba ,taifa kubwa kabisa litaungana na kanisa kubwa kusimika utawala wa mpinga kristo. Juzi kuna picha ya kiongozi mmoja...
2 Reactions
11 Replies
645 Views
Back
Top Bottom