Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wamasai - Tanzania na Kenya. Wakurya - Tanzania na Kenya. Wajaluo - Tanzania na Kenya. Wanyamwanga - Tanzania na Zambia. Waha - Tanzania na Burundi. Wachagga - Tanzania Peke yake. Kwanini...
16 Reactions
182 Replies
9K Views
Kiukweli kwa kazi kubwa sana za hayo majeshi. Wanafanya kazi kubwa ya ulinzi na usalama wa nchi yetu, lakini maslahi yao hayaendani na kazi kubwa wanazozifanya. Lazima maslahi ya wanawake kwenye...
3 Reactions
67 Replies
21K Views
Tumetangaziwa kuwa siyo muda mrefu Daraja JPM (Kigongo - Busisi) karibuni litafunguliwa na Mhe. RaIs wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Daraja hili limejengwa kwa gharama kubwa takriban...
0 Reactions
3 Replies
380 Views
Isaya anatuambia huko kwenye mbingu mpya/Yerusalemu mpya Kutakuwa na maisha kama ya hapa duniani tu yaani anasema watu watajenga nyumba watalima Wazee hawatakufa kabla ya wakati (hivyo kumbe...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Siasa za kuelekea katika uchaguzi mkuu kwa Bukoba mjini mkoa wa Kagera zimeingia shubiri baada ya kikao cha jana usku kutaka kuvujika baada ya RC Fatuma Mwasa kueleza adhima yake ya kugombea...
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Naukumbuka sana Ugali wa Mzee Shedi baada baada kuutafuna viziri na maharage yenye funza jioni, unaondoka mdogomdogo kuelekea ng'ambo kusoma. Kama kawaida asubuhi ukichelewa morning paredi...
5 Reactions
100 Replies
13K Views
WE WANT CHANGES NOT REPLACEMENT. Kuna muda binadamu hupitia nyakati tofauti ambazo kawaida zinakuva vuguvugu la mabadiliko,wasomi Wanataka kuona walichosomeshwa kiwe practice na masikini wataka...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Leo mida fulani nimepigiwa na wife ananiuliza Mtendaji wa Kata anakuhitaji uende ukamuone ofisini kwani umefanya kosa gani? Nikasema sijui maana sikumbuki kama nna kosa lolote ngoja niende...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Kutoka kuitwa Mheshimiwa ama Boss mpaka kuitwa Marehemu, kutoka kuvaa cheni za Dhahabu na vidani vya Almasi mpaka kuveshwa Mataji, kutoka kutupia Pamba kali mpaka kuwekwa pamba puani. Kutoka...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini Iwapo Waafrika wanaapishwa kwa biblia na quruan na bado wanaiba na kutokuwa wakweli je bado kuna haja ya kuviamini vitabu hivyo ndani ya Afrika au turejee kwenye VIAPO vya ASILI yetu?
1 Reactions
11 Replies
775 Views
Mamlaka ya Mji Mdogo wa Maswa mkoa wa Simiyu imeitaka halmashauri ya wilaya hiyo kuiruhusu kukusanya mapato yake moja kwa moja kwa kupewa vyanzo rasmi vya mapato, ili kuboresha utoaji wa huduma...
2 Reactions
4 Replies
397 Views
Mvua ambayo imenyesha maeneo mengi ya Dar es Salaam tangu jana (Mei 8, 2025) imesababisha foleni sehemu nyingi, hapa ni maeneo ya Kimara Mwisho, Stop Over hadi Ubungo Kijazi, kuna foleni kubwa na...
2 Reactions
4 Replies
833 Views
Huwa najiuliza, viongozi wa hii nchi wana akili timamu kweli? Yaani wanajua kabisa raia wao wengi hawana elimu na wamejirundika Dar es Salaam kwa ajili ya jina. Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha...
15 Reactions
161 Replies
6K Views
Hii ni kwenu waajiri, yalinikuta ndo maana nimefanya hivi. Makampuni mengi binafsi na wafanyakazi hawajui haswa gharama za jumla mfanyakazi anazochukua kila mwezi, siku akifanyiwa audit na TRA au...
4 Reactions
4 Replies
513 Views
Benki ya Absa Tanzania imeandaa na kuratibu mkutano maalum kwa ajili ya uwekezaji (Investment Banking Breakfast), ambao umelenga kuwawezesha wateja wa kampuni na taasisi za kifedha kupata maarifa...
2 Reactions
0 Replies
285 Views
Nimetapeliwa na mtu aliyedai ni afisa mikopo wa Mo Dewji Foundation kwa kunilaghai nikope mikopo nafuu Kwa riba ndogo, ila nitoke dhamana ya asilimia 10. Nilitoa shs 35,000 na kulipa katika namba...
18 Reactions
98 Replies
6K Views
MADINI YA BILIONI 17.76 YALIKAMATWA YAKIWA YANATOROSHWA Serikali imeendelea kupambana na kudhibiti vitendo vya utoroshaji wa madini nchini unaofanywa na baadhi ya wachimbaji na wafanyabiashara wa...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
https://www.ewura.go.tz/uploads/documents/en-1746561549-Cap%20Prices%20for%20May%202025%20-%20English.pdf Petrol ilikua Tsh 3100 sasa ni 2947 Wakati diesel ilikua 2934 sasa ni 2868 per Litre
7 Reactions
27 Replies
2K Views
🌍 Aiseeeh Dunia bhana 😉, Jamani sio mimi ni watafiti hao walichokisema ni chakushangaza kabisa 🚒....!!!!! 💡 Mpaka kufikia mwaka 2050 wataalamu wanasema wataweza kufanikiwa kwenye teknolojia...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Mimi ni mmojawapo wa Wastaafu wanaopata pensheni kutoka Hazina. Mpaka tarehe ya leo pensheni yangu haijaingizwa kwenye akaunti yangu ya Benki. Kwa utaratibu pensheni inatakiwa iwe imeingia...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom