Tufungue Pamoja Uwezo Wetu wa Kweli!
Karibu kushiriki katika uchambuzi wetu wa kipekee:
"TUNAUWEZO MKUBWA—TUNAWEZA KUFANYA YOTE TUKIUTUMIA!"
Kwa nini kushiriki?
1. Pamoja, tunaweza kuvunja...
Mbinguni kuna makao mangapi
Wakati Bwana Yesu alipokaribia kuondoka duniani, alisema:
Yohana 14:1 Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi.
2 Nyumbani mwa Baba yangu mna...
Nimefanya uchunguzi wangu katika shule za msingi za serikali nimebaini mambo ya ajabu sana yanafanywa na baadhi ya walimu kwa watoto!
Kuna tabia za ajabu ajabu kutoka kwa baadhi ya walimu ambao...
Papa Leo I (ambaye huitwa pia "Leo Mkuu") alikuwa mmoja wa Mapapa muhimu sana katika historia ya Kanisa Katoliki.
Alitawala kama Papa kuanzia mwaka 440 hadi 461 BK, na alijulikana kwa hekima...
Wanayazungumziaje matukio kama haya?
1. Uebert Angel alitabiri kuwa Trump atashinda uchaguzi wa Marekani na ikawa hivyo!
2. Uebert Angel alitabiri kuwa Papa Francis ataaga dunia Jumatatu Asubuhi...
Jamani jamani, wiki iliyopita nilibahatika kupanda kivuko cha Azam pale Ferry Dar es Salaam. Kivuko kinajaa sana na hakuna kinga yoyote iliyoandaliwa pindi tatizo likitokea.
Tafadhali, idara ya...
Papa ni moja ya kiongozi mkubwa sana wa kiimani na kidunia!
Papa anasimama kama kiongozi mkuu wa kiimani katika kanisa katoliki,
Papa anasimama kama mfalme au rais katika mji wa Vatican (roma)...
I will be short
Nime safari sana hivi karibuni , Barabara ni mbovu mbovu mbovu .
Hizi pesa za Barabara Nani Ana kula ??
Amna high way hata moja smooth . Zote zimejaa pot holes /mashimo tu ...
Waziri wa uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, amewasihi Watanzania kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC), kuilinda na kuitunza miundombinu ya treni ya kisasa ya Umeme (SGR).
Prof. Mbarawa...
Chadema tayari imesha kufa KIFO CHA MENDE.
Kama una macho, masikio na akili haina haja kuambiwa kila kitu.
Kama Salum Mwalimu, Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge wameamua KUJITENGA NA...
Bwana mmoja aitwaye ABDUL MALIK mwalimu wa hisabati katika kijiji kimoja huko nchini india.
Bwana Abdul alijizolea umaarufu na kutwaa jina la utani kama TUBE MASTER kwa kile kinachodaiwa kuwa...
WAKULIMA wa zao la alizeti wametakiwa kuzingatia viwango vya ubora wa uzalishaji ili kuongeza thamani ya mazao yao na kuvutia masoko ya ndani na nje ya nchi.
Afisa kilimo wa wilaya ya...
Nimeona kwenye mtandao kuna mzee anawataja watu (ASIKARI) kwa majina Ya "X" na " Y" Kuwa walimfuata na kumpa Kazi ya kijasusi, wamuoneshe alipo Mdude Nyangali Kisha Wao watimize jambo lao...
Jambo la kwanza naombeni tumpe sana Mungu nafasi katika maisha yetu ikiwa tunayahitaji sana amani,,Tusiache kumwamini Mungu hata kama nafsi zetu zimebeba majuto , Maana kumwamini Mungu kunaleta...
Naomba kuuliza kwa wanaofahamu. Je kabla deed poll haijasajiliwa wizara ya ardhi je inakubalika kuitumia? Nauliza kwa sababu inabidi niitumie kwenye application ya kazi na kule ardhi wanasema...
Mtu hyu amekuwa na matukio mengi ya ajabu mara kurekodi picha za uchi , mara kutembea na wanafunzi mara kudhalilisha wake za watu yaani ni mtu Mjinga mjinga tu lkn ndio huyu huyu anapewaa ubalozi...
Ukisikia bangi inaumhimu wake fanya Kazi ya mochwari usivute bangi utaelewa !
Uhalisia wa mochwari sehemu ya kwanza
Hapo zamani kazi ya Mochwari attendant ilikuwa siyo ya kusomea (Sauti ya mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.