Mkurugenzi
Polen na KAZI Bwana Yesu asifiwe na asllam alyekum
KUNA MSIBA umetutokea. Marehemu n member WENU
Wakati WA MSIBA akatokea NDUGU MMOJA na kusema Pssf wanatoa pole kwa marehemu mkirudi...
Kuna jambo ambalo waliopo nje ya Zanzibar hawaelewi utamaduni wa Wazanzibar katika shughuli za Maziko awe ni Mzanzibar Mkristo au Mwislamu.
Ni Hivi Wazanzibar ni watu ambao wana utamaduni wa...
Taasisi nyingi za tafiti za masuala ya kisiasa, kitaifa na kimataifa zipo katika michakato mballimbali ya kitafiti ya kukusanya maoni na mtazamo ya wanainchi kuhusu mustakabali wa matokeo ya...
Naomba ushauri nasaha juu ya chakula cha mbwa (German Shepherd) mwenye umri wa miezi 2-3. Nitashukuru pia ukinielekeza duka lenye bei rafiki kwa hapa Dar
Ni Muda Mwafaka wa Shule Zetu za Binafsi na Vyuo Binafsi Kuanza Kutumia Maroboti Kufundisha Ili Kubana Matumizi
Katika ulimwengu wa sasa unaoendelea kwa kasi kiteknolojia, matumizi ya maroboti na...
Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar...
Kwa kutumia mfumo huu wa ‘Human UBER Service’ (HUS) mtu anakuwa Na uwezo wa kwenda hadi Dodoma toka Dar ‘Virtually’ bila kusafiri, ambapo atafanya kazi zake Dodoma na kurudi Dar, muda wote hio...
Assalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu.
NB: No place for racism
Habari yenu wanaJF,
Kama kuna wanaJF waliosoma shule ya msingi Forodhani na kumaliza 1992 au 1993 tujulishane.Nakumbuka mwalimu alikuwa mwalimu Mbuya,kuna baadhi ya walimu kama mwalimu Julius...
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO), Anslem Namala amesema meli ya New MV Victoria inaendelea na maboresho na kwamba hivi karibuni wanatarajiwa kutoa tamko...
Aisee hii nchi sijui inaongozwa Kwa akili Gani yaani nimepiga simu nikaambiwa kitambulisho cha nida kimetoka ila mijitu haijatuma sms tunaenda kufuata vitambulisho vyetu tunaambiwa mpaka sms...
China ni nchi kubwa zaidi inayoendelea duniani, na ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, ikiifuata Marekani. Pamoja na maendeleo makubwa, China imekuwa mstari wa mbele kuzisaidia nchi...
Pesa, Ardhi na Mapenzi.
Hivi ni vitu vilivyo mwaga damu sana, vilivyo karibisha ushetani, vilvyo vunja utu na vilivyo tengeneza uhasama mkubwa sana.
Lakini bado ni vitu vyenye thamani kuliko...
Wachimbaji na Wafanyabiashara wa Madini wa Mkoa wa Geita wamempongeza Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia sekta ya madini katika kipindi cha miaka minne ya...
Hivi karibuni, rais wa Marekani Donald Trump alitangaza nyongeza ya ushuru kwa nchi kadhaa, zikiwemo nyingi kutoka bara la Afrika, na hivyo kuvuruga utaratibu wa biashara ya kimataifa. Wakati...
Aman iwe watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Geita, imemuhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Imani Salehe (23) baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mtoto wake...
Timu ya 34 ya Madaktari wa China waliopo Zanzibar hivi karibuni imekamilisha upasuaji mitano ya midomo iliyopasuka juu na upasuaji 19 ya matatizo ya kaakaa kwa watoto ndani ya siku tano tu, huku...