Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aisee huwa nashangaa sana wanaosema ardhi ni Mali eti nunua ujenge usibiri miaka ipite uje uuze hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kununua mchanga na cement aisee kweli mtu mweusi akili zero...
14 Reactions
185 Replies
9K Views
Hivi watumishi wa ikulu huwa hawastaafu? Juzijuzi kuna mtumishi mmoja wa kisiwa cha Caribean amekufa akiwa na miaka 66 Mtumishi huyo amewahi kuwa mtangazaji maarufu wa TV na Radio Sheria za...
7 Reactions
11 Replies
952 Views
Kumekuwa na nadharia tangu enzi za Nyerere mpaka sasa kwamba ajira ni utumishi wa umma tu, kisa kikubwa eti kuna security. Lakini ukiangalia wengi wa hao watumishi, ni watu wanaostruggle sana...
17 Reactions
74 Replies
4K Views
Mrehani hutumiwa kawaida katika mazoea ya kiroho kwa ulinzi, ustawi, na upendo. Mara nyingi hutumiwa katika mila kuzuia uovu, kuvutia bahati nzuri, na kukuza nguvu chanya. Mrehani pia...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani. Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis...
29 Reactions
253 Replies
14K Views
Kwamba...... Unapoingia chooni au hata upenuni kwa ajili ya haja ndogo... Utasimama au kuchutama (kwa wanawake) ukielekea au kutazama kule unakokojoa.... Lakini ikiwa ni haja kubwa, unapochutama...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Umoja wa Wanawake Machinga Dodoma(UWAMADO) wamempongeza, Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa ujenzi wa soko la kisasa la Machinga Complex na miundombinu ya kisasa ya soko hilo ambalo ni la kipekee...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Hata Yuda alijua vipande vya pesa alivyopewa alijua ndio mwisho wa kumchoma yesu lakini alijikuta kama ameshiriki kifo cha Yesu. Vitendo vya kukubali au kubariki watawala kuanzia wananchi...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Maisha hubadilika kabisa Kucha zake huwa ndefu sana na zimepinda - haziwezi tena kushika mawindo ya wanyama Mdomo wake unapinda sana - hauwezi kurarua chakula. Manyoya ya kifua na mabawa yake huwa...
12 Reactions
18 Replies
1K Views
Siyo siri, ujenzi wa mradi wa Dar es salaam Rapid Transport(DART), una matatizo makubwa. Mkandarasi barabarani hana vifaa kabisa vya kukidhi kazi hizi kubwa. Kwa observation ya wazi ni kwamba...
7 Reactions
8 Replies
589 Views
Napenda kutoa mfano mchache tu wengine mtaweka hapa. Watawala wakishafika kujenga genge la kuwasimamia kila kona kuna siku watapenda nao nafasi uliyopo washike wao endapo mkipishana. Swala la...
0 Reactions
2 Replies
274 Views
Mi kwa sasa siwezi lalamika mzungu,mwarabu na wachina wakituita nyani.Kama tunashindwa hata kuishi kama wao kwa nini tukatae. Mfano leo kuna viongozi wanaweza kuja kubisha kauli zao za nyuma kuwa...
2 Reactions
2 Replies
261 Views
Je, Tumeshauzwa? Zaidi ya asilimia 90 ya apps za mikopo hapa Tanzania zinamilikiwa na makampuni ya Kichina — lakini udhibiti uko wapi? Riba ni kubwa kupita kiasi, na wakopaji wanaposhindwa...
1 Reactions
0 Replies
480 Views
Enyi Wakristo! Wapi ambapo mimi Yesu nilisema "Mimi ni Mungu" au "Niabuduni"? Niliwaamuru katika Marko 12:29 kuwa muabudu Mungu wa kweli, nami pia nilimuabudu Mungu huyu wa kweli, Luka 6:12...
0 Reactions
6 Replies
396 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amewataka watendaji wa Tume ya Madini kuongeza ubunifu kwenye usimamizi wa Sekta ya Madini hasa katika kuongeza ushiriki wa watanzania...
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amewataka watendaji wa Tume ya Madini kuongeza ubunifu kwenye usimamizi wa Sekta ya Madini hasa katika kuongeza ushiriki wa watanzania...
0 Reactions
0 Replies
329 Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameelekeza kuwa ifikapo tarehe 12 Mei 2025, saa 6 usiku, ujenzi wa minara ya mawasiliano vijijini uwe umekamilika na...
1 Reactions
4 Replies
598 Views
27, 000 20, 007 Wadau hamjamboni nyote? Usitoe maoni unachotakiwa ni kuzitaja hizo namba hapo juu kwa usahihi wa maneno ya kiswahili na kiingereza
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Iko wazi kabisa hakuna Jibu la kueleweka.. Hapa tutapuyanga sana kutafuta wakwe Halisi wa Adam na Eva ni kina nani 👇👇👇👇👇
2 Reactions
17 Replies
694 Views
Boom ni 600k, toa 156k kulipa deni la boom advance toa Kodi, toa chakula toa nauli toa book na stationary...!! Kifupi namaliza chuo sina hata mia, na sio mia tu sina hata business idea...
11 Reactions
45 Replies
2K Views
Back
Top Bottom